Nimefuatilia hotuba ya Dk Kitima katibu wa TEC, ni padri na kiongozi wa dini- kasisi.
Analalama kuwa masisita na mapadri wamefariki kwa ugonjwa unaohusiana na Covid 19. Madhara ya ya changamoto za kupumua.
Ni kama Dk Kitima analaumu kuwa serikali haikuchukua hatua hatua stahiki ndio maana masisita na mapadri wamefariki.
Je, Tec haikujua kuwa mapadri na masisita wana muingilianano na mapadri,masisita,na waumini wenzao wa kimataifa? Mfano Italia kwa Papa ni moja ya nchi zilizoathirika kikubwa ba Covid 19. Je, kanisa katoliki halikupaswa kuchuku tahadhali kuepuka wageni wa nje?
Mapdri na masisita wanaokutana na wageni toka ndani na nje ya nchi walotegemea serikali iwalinde? Mungu sio hirizi.
Idugunde of Igunga