Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ โฃ๏ธNikiwa Rais Watanzania watalimia meno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ โฃ๏ธNikiwa Rais Watanzania watalimia meno.
Watanzania wengi hawachukui tahadhari ndugu yangu. Sijui Kama umeshaona usafiri wa imma ulivyo, nenda kwenye maeneo Kama kariakoo, tandika ilala, sokoni Hakuna anayejali watu wanesongamana bila kuchukua tahadhari yoyote.Ni ajabu kulaumiana kwa vifo vya watawa huku historia ya Rome 2020 ikijulikana. Kwangu mimi kila mtu anatakiwa kuchukua tahadhari, kula vizuri, mazoezi na kumwomba Mungu sana
Pole Sana Mkuu. Halafu bado Kuna watu wanafanya masihara. Inauma!Kati ya hao Mapdre 25, mmoja Ni kaka yangu baba mmoja mama mmoja. Rest in Peace Our first Born.
Msg zako za Whasap nazisoma Sana naona kama upo hai brother![emoji24][emoji24]
Masista na mapadre hawachanganyiki sana na watu watakuwa Corona wanapeana wenyewe sababu wai huenda sana Roma italia kwa papa
Corona ingekuwa ipo wabanana kwenye daladala na mwendo kasi na masokoni na mikutano ya kisiasa wangekufa kama kuku lakini hakuna mitaani uswahilini hali shwari ndicho kitu cha ajabu.
Wanakufa mapadre na masisita wanaoishi maisha ya kujifungia na kukaa mbali na watu wakizingatia social distance kati yao waitwa na Yesu na watu wa kawaida!Mapdre wanahudumia wagonjwa wanawatembelea hospitali na kuwapaka sakramenti ya wagonjwa.
Vyote viende pamojwTukifuata njia za kisayansi tunakufa,tukifanya maombi twafa,si bora ya kufa tu
Hakuna binadamu asiyeogopa kifo, ukiona masoko ya kariakoo, tandika ilala yamejaa na hakuna anayejali msongamana wala kuchukua tahadhari yoyote.... kuna la ziadaWatanzania wengi hawachukui tahadhari ndugu yangu. Sijui Kama umeshaona usafiri wa imma ulivyo, nenda kwenye maeneo Kama kariakoo, tandika ilala, sokoni Hakuna anayejali watu wanesongamana bila kuchukua tahadhari yoyote.
Kuna kitu usichokifahamu.Hakuna binadamu asiyeogopa kifo, ukiona masoko ya kariakoo, tandika ilala yamejaa na hakuna anayejali msongamana wala kuchukua tahadhari yoyote.... kuna la ziada
Haiwezekani jirani zako wacoronewe kila siku halafu uendelee kuisogelea corona
Usipanic basi...Hivi unaelewa unachoandika, au unajipigia pigia tu kujaza maneno yasiyokuwa na maana?
"...abortion na wala family planning, je hiyo siyo science"? Nani kasema ni sayansi au ni sayansi, na inahusu nini na mjadala uliopo hapa.
Andiko lote, hata kama lingeandikwa na mtu aliyekwenda shule, lakini akawa ameliandika baada ya kilevi fulani lisingeweza kuwa mchanganyiko kama hili uliloleta hapa.
Sasa sielewi wewe ni mtu wa aina gani!
Fanya utafiti uje na majibu kwanini masoko ya kariakoo, tandika ilala yamejaa na hakuna anayejali msongamana wala kuchukua tahadhari yoyote....Kuna kitu usichokifahamu.
Pale mwanzo, March/April 2020, hakuna ambaye alidharau waliyotangaziwa na serikali wayafanye. Watu walivaa barakoa na mikono walisafisha.
Unaweza kueleza ni kipi kilibadilika hadi kufikia leo watu hao hao wanaona sio muhimu tena kuchukua kinga?
Ukiwa muungwana, utaliwazia hili kwa makini na kupata jibu sahihi.
Kilichobaki sasa ili watu hao hao wafuate yote ya kujikinga bila ya shurti ni kama baadhi yao wakianza kudondoka humo humo Kariakoo na kwingineko wanakobanana. Hutawaona tena wakidharau hata bila kuhimizwa na hao wenye wajibu wa kuwahimiza.
Nisome taratibu, sitaki ubishi.
Sasa unadhani wewe ni mjanja na kukwepa hoja rahisi tu niliyokutupia; au unataka nkuchukulie kuwa kilaza?Fanya utafiti uje na majibu kwanini masoko ya kariakoo, tandika ilala yamejaa na hakuna anayejali msongamana wala kuchukua tahadhari yoyote....
Haiwezekani jirani zako wacoronewe kila siku halafu uendelee kuisogelea corona
Sasa unadhani wewe ni mjanja na kukwepa hoja rahisi tu niliyokutupia; au unataka nkuchukulie kuwa kilaza?
Kwa nini nifanye utafiti na sababu yenyewe inajulikana. Unadhani unapofumba akili usikubali kuiona sababu hiyo ndivyo na wengine watakuwa hawana akili kama wewe?
Nilikupa nafasi utumie akili, lakini naona akili zimenyofolewa na kumkabidhi huyo unayedhani yeye hawezi kufanya makosa; tena makosa ya maksudi kabisa kwa sababu ya kiburi tu!
Na huku watu wanapoteza maisha, nyinyi ni kama mnashangilia!
Bure kabisa
Hopeless!! Sasa unataka tukusaidie nini wewe tapeli wa karne.
Pole ndugu yangu. Mungu awe nawe na mgonjwa wako. Awape ufahamu madaktari ili wampe mgonjwa huduma sahihi ya kumsaidia mgonjwa.
Nashangaa sana kanisa linapotuhumu "watu kusali bila kuchukua tahadhari". Mbona rais na serikali wanasisitiza "watu kusali na kuchukua tahadhari". Anyway, makanisa yenyewe hakuna hata moja lililoachwa na kristo. Yote ni kazi ya binadamu. Acha wafanye kazi yao. Walianza kwa kusambaza hofu. Sasa ugonjwa unapotea wanataka kurejesha hofu tena! Magufuli anapata taabu sana. Maadui kila upande, mpaka kanisa.Kanisa limepoteza Imani hivyo wanavuna walichopanda.
Tunasahau hata wimbi la Kwanza hatukulishinda kwa nguvu zetu.
Petro alianza kuzama majini baada ya kupoteza imani.
Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima amesema kuwa ndani ya miezi miwili iliyopita zaidi ya mapadri 25, masista na manesi 60 na wenyeviti wawili wa Baraza la Walei wamefariki dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo changamoto ya upumuaji.
Ameongeza kuwa vifo vinaendelea na kuwataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari na kuacha mzaha katika katika suala zima la Corona.
Huyu Mungu si hirizi, anataka kila binadamu awajibike na atumie uwezo wake kufikiri. Corona ipo, unaambiwa chukua tahadhari unasema mimi nasali. Mungu wetu anataka watu wawajibike, si kusema tu, tunasali - Ameongeza Padri Charles Kitima
Akifanikiwa utasikia ni Mungu wao, lakini wakati wa kumtumainia anakuwa si Mungu wao, wanye wakwao yule kwenye sinema za weupe...Taabu kweli kweliNashangaa sana kanisa linapotuhumu "watu kusali bila kuchukua tahadhari". Mbona rais na serikali wanasisitiza "watu kusali na kuchukua tahadhari". Anyway, makanisa yenyewe hakuna hata moja lililoachwa na kristo. Yote ni kazi ya binadamu. Acha wafanye kazi yao. Walianza kwa kusambaza hofu. Sasa ugonjwa unapotea wanataka kurejesha hofu tena! Magufuli anapata taabu sana. Maadui kila upande, mpaka kanisa.