Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
Unataka atekwe?Padri nae anaogopa kusema kuwa wamekufa kwa Corona? Anasema changamoto ya upumuaji halafu mwisho anasema Corona ipo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka atekwe?Padri nae anaogopa kusema kuwa wamekufa kwa Corona? Anasema changamoto ya upumuaji halafu mwisho anasema Corona ipo!
Hata wewe mzee wa Magufulification? Huyo mtu wako ni pasua kichwa. Karibuni utatangaziwa kuwa unawashwawashwa. Hajui na hajui kuwa hajui. Mshirikina anayejiita mwanasayansi. Kazi kwako!Hatari na nusuView attachment 1716243
Mwombe Mungu usifanye kazi uone itakuwaje.Aiseee sasa Kama Mungu si hirizi kwa nini mapadre na maaskofu katoliki husisitiza watu kumuomba Mungu wakati yeye si hirizi? au kinga au msaada unaoonekana tele wakati wa Mateso yawe ya Corona au vinginevyo?...
Asante mkuu kwa kuwakemea hawa kwa nguvu zote!! Wanakera!! Wamegeuka kuwa mawakala wa hofu!!Roma kwenyewe walikufa mapadre wangapi? Why do they make a deal inapokuja hapa Tanzania?
Blame game a satanic character...Kanisa linatakiwa kuleta tumaini, upendo na mshikamano siyo kwa kumshambulia mkuu wa nchi hadharani kama hivi? Huyo ni nembo ya taifa letu ni amiri jeshi mkuu...You have to act responsibly!
Naandika hii comment nikiwa pembeni ya mama yangu mzazi hospital shida ni “nimonia kali” jamani usiombe yakukute waTz tujikinge niliyoyaona na nayoendelea kuyaona yanatisha!
Je kuna mtu aliyesema tusijikinge? Au kuna mtu aliyepiga marufuku kujikinga?Naandika hii comment nikiwa pembeni ya mama yangu mzazi hospital shida ni “nimonia kali” jamani usiombe yakukute waTz tujikinge niliyoyaona na nayoendelea kuyaona yanatisha!
Usidanganye!!! Vifo marekani vilifikia kiwango cha juu Sana kuanzia February kipindi ambacho huyu mshabiki wa LGBT alipoingia madarakani. Ingia mtandao wa worldometer coronavirus live updates kuhakiki hilo. Kipindi chake vifo kila siku vilifikia hadi 3,000!!!Marekani walikufa sana kutokana na uzembe na hadaa za bwana Trump bwana asiyeambilika.Kwasasa vifo na usambaaji vimepungua kwa hatua madhubuti anazofanya Biden.
Mwogope Mungu!!Mimi najua kuwa nina pumzi ya Mungu. Pamoja na udhaifu wangu mwingine wote wa kibinadamu, bado nina Roho wa Mungu. Ni aheri niishi hata bila hata ya kuwa mjumbe wa serikali ya mtaa kuliko kuukubali ushetani..
Tanzania kuna corona au hakuna?Hayo ni ya kwako. Hakuna hata siku moja viongozi wa serikali wamesema tusifanye chochote! Hivi una macho au hauna? Una masikio au hauna? Tulichokifanya ni kumtanguliza Mungu mbele ndipo mambo ya tahadhari kama kunawa mikono na kuvaa barakoa yafuate? Acha uongo!...
Ina maana waliokufa wote hawakuwajibika?Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima amesema kuwa ndani ya miezi miwili iliyopita zaidi ya mapadri 25, masista na manesi 60 na wenyeviti wawili wa Baraza la Walei wamefariki dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo changamoto ya upumuaji..
Kama hujui jibu la hilo swali una matatizo ya akiliTanzania kuna corona au hakuna?
Kuacha kufanya vipimo na kutoa takwimu sia uponyaji. Btw ugonjwa unaoitwa changamoto ya upumuaji ni ugonjwa gani huo? Kwa vile ugonjwa huo uko Tz pekee, tumeshataarifu WHO ili kuwe na mkakati wa kidunia wa kuudhibiti?Unamkufuru Mungu, wala huna shukrani. Unaukataa hadharani uponyaji wa Mungu dhidi ya korona kwa Taifa letu. Kwa kufanya hivyo unaiita laana ya corona katika maisha yako nanyumba yako mwenyewe!! Usije kutafuta mchawi utakapoona corona inakutafuna.
Je unahitaji mtu mwingine ili kuweza kuijua halo halisi?Tz kuna corona au hakuna?
Mungu akubariki. Amina.Mimi najua kuwa nina pumzi ya Mungu. Pamoja na udhaifu wangu mwingine wote wa kibinadamu, bado nina Roho wa Mungu. Ni aheri niishi hata bila hata ya kuwa mjumbe wa serikali ya mtaa kuliko kuukubali ushetani.
Jiwe yeye, ana ujasiri mkubwa. Ana uwezo wa kuishi na shetani moyoni mwake, na akatenda matakwa ya shetani kama walivyofanya kwenye uchaguzi, akadhulumu kwa kuiba kura kama alivyofanya, na mengine maovu mengi kama ya kuua, kuteka watu, kuwapoteza watu, akaufurahia uovu huo hata bila ya kuumizwa na dhamira yake kwa sababu dhamira yake ilikwishakufa.
Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima amesema kuwa ndani ya miezi miwili iliyopita zaidi ya mapadri 25, masista na manesi 60 na wenyeviti wawili wa Baraza la Walei wamefariki dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo changamoto ya upumuaji.
Ameongeza kuwa vifo vinaendelea na kuwataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari na kuacha mzaha katika katika suala zima la Corona.
Huyu Mungu si hirizi, anataka kila binadamu awajibike na atumie uwezo wake kufikiri. Corona ipo, unaambiwa chukua tahadhari unasema mimi nasali. Mungu wetu anataka watu wawajibike, si kusema tu, tunasali - Ameongeza Padri Charles Kitima