Kanisa Katoliki lapoteza Mapadri 25 na Watawa 60 kwa tatizo la upumuaji ndani ya miezi miwili

Tunajua Raila ana matatizo ya kupumua.

Hata sala kwa Mungu zinakuwa very focused.

Kama kuna anayeficha lolote huo utakuwa ni ule mwendelezo wa ujuha unaoakisiwa vilivyo na hao mabwana wa hapi tandika.
Bora tu waseme ukweli
 
Huko Vatican kwao ambako serikali yao ilichukua hatua mapema kabisa nako kuna vifo vya hao watumishi. Hilo kanisa limeamua kujitanabaisha wazi wazi lipo kwa ajili ya nini.
 
Nani kakuambia ukiisha kuwa padre haufi?(Ayubu 14:1) Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi sio nyingi)acha kusingizia corona siku zake za kuishi zimefika ameondoka.Mbona yeye Kitima hajafa na corona!wakati anaongea hana hata baracoa?
Imani zimekuwa za bandia. Wanashutumu serikali kutochukua hatua kama ulimwengu mwingine unavyofanya. Miongoni mwa hizo hatua ni kuvaa barakoa. Yeye mwenyewe anawasilisha tamko akiwa hajavaa barakoa. Imani hizi [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Ni ajabu kulaumiana kwa vifo vya watawa huku historia ya Rome 2020 ikijulikana. Kwangu mimi kila mtu anatakiwa kuchukua tahadhari, kula vizuri, mazoezi na kumwomba Mungu sana
Mama D si jiwe alisema haipo? Eti ni janja ya wazungu tu hiyo!!
 
Niliwaambia jiwe siyo ntu!! Alishakufa kitambo mkanibishia sana!!

Oooh!! najidai sababu siyo mtanzania!!

Mnaona sasa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…