mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,477
- 1,725
Mara ya mwisho kuhudhuria ibada ilikuwa lini?Kama kweli wanajali wasimamishe mikutaniko ya jumuiya. Kitubio kitafutiwe aina nyingine ya kuungama
Misa zipunguzwe au zisimame kwa muda kuepusha kusambaa kwa ugonjwa
Hapo ndio umuhimu wa uislam unapokuwepo Mara tano kila siku kunawa mikono mbona mashehe cjasikiaKatibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima amesema kuwa ndani ya miezi miwili iliyopita zaidi ya mapadri 25, masista na manesi 60 na wenyeviti wawili wa Baraza la Walei wamefariki dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo changamoto ya upumuaji.
Wimbi la kwanza hatukulishindaKanisa limepoteza Imani hivyo wanavuna walichopanda.
Tunasahau hata wimbi la Kwanza hatukulishinda kwa nguvu zetu.
Petro alianza kuzama majini baada ya kupoteza imani.
Pigia msitari hapo. Imeisha hiyoHuyu Mungu si hirizi, anataka kila binadamu awajibike na atumie uwezo wake kufikiri.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Hatari na nusuView attachment 1716243
Ndugu tatizo lako ni kuwa hauko informed kuhusu corona kama walivyo watanzania wengi! Au tatizo ni hii elimu ya kuunga-unga? Halafu unauliza tena ni nini kinaweza kuwa utatuzi wakati haya yamejadiliwa na kutolewa maelezo na wataalam tangu mwaka jana. Haya ngoja nikuamshe. Mambo yako hivi:Marekani wamekufa, Italia wamekufa, wazungu wengi wamekufa na wanaendelea kufa. Hawa ndiyo wataalamu na wanasayansi wa dunia, wanajua kujihami kuliko sisi, na watu makini na wenye maendeleo kuliko sisi. Hawa watu wameweka lockdown lakini korona imewafuata mpaka majumbani, hata viongozi wa nchi zao wamepatwa na huu ugonjwa. Swali ni Je? Nini unaweza kuwa utatuzi? Tusaidiane kutafakari tusiache misimamo ya kisiasa itutawale.
Ni wakati wa kanisa kuacha IBADA ZA sanamu na kumrudia.Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima amesema kuwa ndani ya miezi miwili iliyopita zaidi ya mapadri 25, masista na manesi 60 na wenyeviti wawili wa Baraza la Walei wamefariki dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo changamoto ya upumuaji...
Bora hofu kuliko kudanganya watu.Hili ni janga, na kila mtu anajua Hilo, lakini katikati ya janga kama hili ikikosekana faraja linakuwa janga kubwa zaidi.
Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima amesema kuwa ndani ya miezi miwili iliyopita zaidi ya mapadri 25, masista na manesi 60 na wenyeviti wawili wa Baraza la Walei wamefariki dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo changamoto ya upumuaji.
Ameongeza kuwa vifo vinaendelea na kuwataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari na kuacha mzaha katika katika suala zima la Corona.
Huyu Mungu si hirizi, anataka kila binadamu awajibike na atumie uwezo wake kufikiri. Corona ipo, unaambiwa chukua tahadhari unasema mimi nasali. Mungu wetu anataka watu wawajibike, si kusema tu, tunasali - Ameongeza Padri Charles Kitima
|
Key Concept: The lack of a systematic way of testing possible associations between exposures and outcomes ("risk factors" and disease) was the major factor that prevented advances in understanding the causes of disease and the development of effective strategies to prevent or treat disease. |
Hao mapadri na masista waliofariki ni kwa sababu mbali mbali ikiwemo changamoto ya upumuaji (Na si kila changamoto ya upumuaji ni corona). Halafu ni Takwimu ya Tanzania nzima kwa miezi miwili!! Si kwa siku moja au wiki moja kwa jimbo moja!Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima amesema kuwa ndani ya miezi miwili iliyopita zaidi ya mapadri 25, masista na manesi 60 na wenyeviti wawili wa Baraza la Walei wamefariki dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo changamoto ya upumuaji...
Mara ya mwisho kuhudhuria ibada ilikuwa lini?
Mkuu hii kauli ni ya kiujumla sana (generalised). Inaweza kufanya hili suala lionekane halina jawabu. Ni kama vile kusema, hatima ya yote, kila mtu atakufa; utatuzi ni nini?Marekani wamekufa, Italia wamekufa, wazungu wengi wamekufa na wanaendelea kufa. Hawa ndiyo wataalamu na wanasayansi wa dunia, wanajua kujihami kuliko sisi, na watu makini na wenye maendeleo kuliko sisi. Hawa watu wameweka lockdown lakini korona imewafuata mpaka majumbani, hata viongozi wa nchi zao wamepatwa na huu ugonjwa. Swali ni Je? Nini unaweza kuwa utatuzi? Tusaidiane kutafakari tusiache misimamo ya kisiasa itutawale.
Mkuu kwa hiyo ukiumwa uondoe hofu utapona, inawezekana hata U T I haujawahi umwa wewe. Ugonjwa na hofu vipo sambamba.Hili ni janga, na kila mtu anajua Hilo, lakini katikati ya janga kama hili ikikosekana faraja linakuwa janga kubwa zaidi.
Ndugu zetu wengi wameugua na kupona wengine pia kufariki, lakini tukiikosa mtu wa kutufariji, wengi wa wagonjwa walioko mahospilini na waliowazima kutatokea taharuki kubwa zaidi na pengine kupelekea vifo vingi zaidi Kwa sababu watu wataingiwa hofu na Ile hofu ndio itakuwa chanzo cha vifo vingi kuliko ugonjwa wenyewe
Mimi Bado naungana na Raisi kuzidi kuupuza huu ugonjwa na wananchi kuwaondolea hofu
Nimeingia hospital moja, Madactari wetu wamekuwa msaada mkubwa na waajabu, mgonjwa akisha letwa, Neno la Kwanza Kwa mgonjwa ni Ile faraja, na kumhakikishia mgonjwa kuwa ugonjwa huo si lolote na kwamba kuna walioletwa wakiwa mahututi kuliko wewe Ila wamepona na kurudi makwao,
Jambo hili limeleta uponyaji Kwa wengi Sana kabla hata ya kuanza matibabu mwenyewe
Imetokea hivyo Kwa mama yangu na Mzee wangu, wote sasa wakonyumbani na wanaendelea na maisha, lkn kilichosababisha ni Yale maneno ya faraja,
Tukiondoa hofu, tutavuka, na hofu siku zote huletwa na shetani ili kuangamiza viumbe wa Mungu
Wala hazitishi japo baadhi ya watu wangependa kulazimisha zionekane kuwa zinatisha!!Takwimu zinatisha.
Tumsifu yesu kristu, umeona muongozo mpya wa ibada au haujauona?
Huko kwenu hakukuwa na mabadiliko? Huku kwetu kulikuwa na full sanitizer na barakoa na padre alikuwa ndo anaongoza ibada huku amevaa barakoa28 feb 2021