Kanisa Katoliki lapoteza Mapadri 25 na Watawa 60 kwa tatizo la upumuaji ndani ya miezi miwili

Kanisa Katoliki lapoteza Mapadri 25 na Watawa 60 kwa tatizo la upumuaji ndani ya miezi miwili

Akafunge makanisa yao akuna anaye mzuia,mtumishi gani aamini nguvu za Mungu,eti Mungu si hirizi.Magonjwa hayo yalikukuwapo hata enzi Musa lakini Mungu alimwambia Musa achonge nyoka wa shaba atakaye mwangalia ndie atayepona (soma Hesabu 21:4-9) mtumishi gani anaogopa kifo, wakati kila siku wanatuubiria uzima wa milele.

Yesu alisha wasema kuwa kuna wachungaji wa mshahara wakiona mbwa mwitu wanakimbia na kuwaacha kondoo(Yohana 10:11-12) Mtumishi apaswi kuogopa kifo inaswa kumwogopa Mungu na nguvu zake.
 
Kama kweli wanajali wasimamishe mikutaniko ya jumuiya. Kitubio kitafutiwe aina nyingine ya kuungama

Misa zipunguzwe au zisimame kwa muda kuepusha kusambaa kwa ugonjwa
Mara ya mwisho kuhudhuria ibada ilikuwa lini?
 
Kanisa Katoliki nadhani lina wasomi wengi wenye upeo na uelewa wa juu sana katika masuala yote. Mkumbuke hawa jamaa wana Vyuo na shule Bora kabisa, ndio kusema wao ili uwe Padre au Askofu unakua kichwani uko vizuri sana kabisa. Hii ni jumuiya yenye nguvu na ushawishi baada ya Ile jumuiya ya UDSM na Wasomi kwa kiasi kikubwa kuparaganyika vibaya.
 
Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima amesema kuwa ndani ya miezi miwili iliyopita zaidi ya mapadri 25, masista na manesi 60 na wenyeviti wawili wa Baraza la Walei wamefariki dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo changamoto ya upumuaji.​
Hapo ndio umuhimu wa uislam unapokuwepo Mara tano kila siku kunawa mikono mbona mashehe cjasikia
 
Hili ni janga, na kila mtu anajua Hilo, lakini katikati ya janga kama hili ikikosekana faraja linakuwa janga kubwa zaidi.

Ndugu zetu wengi wameugua na kupona wengine pia kufariki, lakini tukiikosa mtu wa kutufariji, wengi wa wagonjwa walioko mahospilini na waliowazima kutatokea taharuki kubwa zaidi na pengine kupelekea vifo vingi zaidi Kwa sababu watu wataingiwa hofu na Ile hofu ndio itakuwa chanzo cha vifo vingi kuliko ugonjwa wenyewe

Mimi Bado naungana na Raisi kuzidi kuupuza huu ugonjwa na wananchi kuwaondolea hofu

Nimeingia hospital moja, Madactari wetu wamekuwa msaada mkubwa na waajabu, mgonjwa akisha letwa, Neno la Kwanza Kwa mgonjwa ni Ile faraja, na kumhakikishia mgonjwa kuwa ugonjwa huo si lolote na kwamba kuna walioletwa wakiwa mahututi kuliko wewe Ila wamepona na kurudi makwao,

Jambo hili limeleta uponyaji Kwa wengi Sana kabla hata ya kuanza matibabu mwenyewe

Imetokea hivyo Kwa mama yangu na Mzee wangu, wote sasa wakonyumbani na wanaendelea na maisha, lkn kilichosababisha ni Yale maneno ya faraja,

Tukiondoa hofu, tutavuka, na hofu siku zote huletwa na shetani ili kuangamiza viumbe wa Mungu
 
Marekani wamekufa, Italia wamekufa, wazungu wengi wamekufa na wanaendelea kufa. Hawa ndiyo wataalamu na wanasayansi wa dunia, wanajua kujihami kuliko sisi, na watu makini na wenye maendeleo kuliko sisi. Hawa watu wameweka lockdown lakini korona imewafuata mpaka majumbani, hata viongozi wa nchi zao wamepatwa na huu ugonjwa. Swali ni Je? Nini unaweza kuwa utatuzi? Tusaidiane kutafakari tusiache misimamo ya kisiasa itutawale.
Ndugu tatizo lako ni kuwa hauko informed kuhusu corona kama walivyo watanzania wengi! Au tatizo ni hii elimu ya kuunga-unga? Halafu unauliza tena ni nini kinaweza kuwa utatuzi wakati haya yamejadiliwa na kutolewa maelezo na wataalam tangu mwaka jana. Haya ngoja nikuamshe. Mambo yako hivi:

1. Ugonjwa wa corona hauna dawa na unaambukiza kama mafua.

2. Ni ugonjwa hatari kwani una complication nyingi sana na husababisha vifo hasa kwa watu wenye umri mkubwa na wenye magonjwa mengine kama kisukari, UKIMWI, moyo n.k.

3. Ulipoingia kwa kasi mataifa yote ni kama yalipigwa ambush kwani haukutegemewa.

4. Kwa vile hauna tiba na wataalam hawajaujua vizuri basi wakashauri vitu kama lockdown, social distancing nk ili kupunguza kasi ya kuenea na vifo, huku wakitafiti njia za kuutibu au kuukinga kwa chanjo.

5. Mpaka sasa hivi chanjo imeshapatikana, na mataifa mengi yameenza kuchanja raia wake na matokeo mazuri yanaanza kuonekana.
Tuko pamoja? Sasa kuna swali moja la watu wasio na uelewa mzuri hapa Tanzania huwa wanauliza kila siku na wewe naona umeuliza: ''Hao wazungu wameweka lockdown lakini bado wanakufa sana, si bora hata sisi ambao hatukuweka?''

Jibu ni kuwa wasingeweka lockdown na kuchukuwa hatua kali a haraka raia wangekufa wengi kweli kweli. I mean hawa waliokufa ni cha mtoto. Wasingechukuwa hatua dunia ingeshangaa kwa vifo ambavyo vingetokea. Hii ni kwa sababu nchi nyingi zilizoendelea watu huishi maisha marefu na hivyo wazee kwenye hizo nchi ni wengi kuliko unavyofikiria. Ni wengi kweli kweli.

Kwa mfano nchi kama USA raia wenye umri wa miaka 65 kwenda juu wako zaidi ya milioni 70! Hawa wote ni watu ambao wakiugua corona ni hatari. Huku kwetu watu hawaishi maisha marefu namna hiyo. Wengi wenye umri ulio kwenye hatari ya kufa kwa corona walishatangilia mbele ya haki kwa shida nyingine ndogo ndogo za umaskini wetu.

Na kingine kula matibabu yako juu hivyo watu wenye magonjwa nyemelezi kama ya moyo, kansa. kisukari ambao kama wangekuwa huku kwetu ungekuta wameshafariki nao wako wengi sana.
 
Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima amesema kuwa ndani ya miezi miwili iliyopita zaidi ya mapadri 25, masista na manesi 60 na wenyeviti wawili wa Baraza la Walei wamefariki dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo changamoto ya upumuaji...
Ni wakati wa kanisa kuacha IBADA ZA sanamu na kumrudia.

Yesu aliyesema "mimi ndimi njia , kweli na uzima, mtu haji kwa baba ila kwa njia ya mimi" na kuacha kutumia nia za "Maria na Yosefo na watakatifu wengine mnao waomba wawafikishe Mbinguni" wakati mnajua kabisa "YESU NDIYE NJIA, KWELI NA UZIMA
 


Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima amesema kuwa ndani ya miezi miwili iliyopita zaidi ya mapadri 25, masista na manesi 60 na wenyeviti wawili wa Baraza la Walei wamefariki dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo changamoto ya upumuaji.

Ameongeza kuwa vifo vinaendelea na kuwataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari na kuacha mzaha katika katika suala zima la Corona.

Huyu Mungu si hirizi, anataka kila binadamu awajibike na atumie uwezo wake kufikiri. Corona ipo, unaambiwa chukua tahadhari unasema mimi nasali. Mungu wetu anataka watu wawajibike, si kusema tu, tunasali - Ameongeza Padri Charles Kitima


Hongera Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) kwa kuja na takwimu za kuonesha kuwepo vifo vingi visivyo vya kawaida ili mamlaka na wananchi kwa ujumla tutafakari, tujiulize, tuchunguze na kuchukua tahadhari sahihi kujikinga.

N.B

UMUHIMU WA TAKWIMU KATIKA AFYA YA JAMII,ILI KIJIFUNZA NA KUTAFUTA CHANZO CHA VIFO "VISIVYOELEWEKA"
Data takwimu biographies eulogies zinazowekwa hapa zitasaidia wanaosoma afya ya umma public health / History of pandemics au wenye kutafuta ukweli.

Maana serikali, wasomi, Maktaba na wizara husika wanakataa kutambua changamoto na uwezo wa gonjwa hili hivyo wameamua kutokuweka kumbukumbu cha chochote kuhusu ugonjwa huu.

Cheki umuhimu wa matangazo ya vifo, kuhifadhi takwimu n.k ktk kuboresha na kujikinga kupitia historia ya vifo,uchunguzi na aina ya mapambano dhidi ya magonjwa

Prof. Frank Snowden lecture on history of major pandemics :


Video segments :
  • 00:00 - Chapter 1. Responses to the Plague and Miasmatism
  • 09:05 - Chapter 2. Individual Measures of Self-Protection and Scape-Goating
  • 18:52 - Chapter 3. Religiosity
  • 25:51 - Chapter 4. Organized Public Health Measures
  • 37:25 - Chapter 5. Did the Public Health Measures Succeed?
Source: YALEcourses

More :

The Hippocratic Corpus​

For many centuries explanations for disease were based not on science, but on religion, superstition, and myth.

The Hippocratic Corpus was an early attempt to think about diseases, not as punishment from the gods, but as an imbalance of man with the environment. Although it was unsophisticated by today's standards, it was an important step forward. By considering the possibility that disease was associated with environmental factors or imbalances in diet or personal behaviors, the Corpus also opened up the possibility of intervening to prevent disease or treat it.

Hippocrates.jpg


The Corpus looked at disease as an imbalance in natural forces or an imbalance in humours (or fluids): melancholy, phlegm, bile, and blood. Health depended on a proper balance of these humours. While crude, this concept of humours provided some sort of rationale for understanding health and disease. Greek physicians prescribed changes in diet or lifestyle and sometimes concocted drugs or performed surgery. An excess of the humour blood, for example, became the rationale for bloodletting, a practice that was followed for centuries (without any evidence of its efficacy).



Despite the contributions of the Corpus, medical and scientific progress in Europe was arrested for several centuries. The population grew, and cities became densely populated, but there was little attention to waste disposal and sanitation. These factors set the stage for endemic disease and periodic epidemics.

The Bubonic Plague (1347-1700s)​



Bubonic plague is an acute infectious disease caused by the bacterium Yersinia pestis. The bacteria live in the intestines of fleas and are transmitted to rats by flea bites. The rats, therefore, serve as a natural reservoir for the disease, and fleas are the vectors. Occasionally, an infected flea would jump to a human and introduce the bacteria when a blood meal was taken. The bacteria would then spread to the regional lymph nodes and multiply, causing dark, tender, swollen nodules (buboes), as shown below in a boy a walnut-sized swelling in the inner aspect of his upper thigh. As the infection spread, the victim would experience headache, high fever, delirium, and finally death in about 60% of cases.

Buboes.jpg


Starting in 1347, Europe experienced multiple waves of bubonic plague epidemics that lasted until the late 1700s. It is believed that the bubonic plague originated in Asia and traveled along trade routes into the Black Sea and then into the Mediterranean Sea. From there, it swept through Sicily and Italy and then up through France and the northern European countries all the way up into Scandinavia. There were many subsequent waves of plague that swept through Europe until the late 1700s. The map below shows the spread of plague over a three year period from Asia across the Black Sea into the Mediterranean and then through Italy, France, England, Northern Europe, and into Scandanavia.

Spread_Plague.jpg




Cause of the Plague and Strategies for Prevention​

The cause of the plague was not known, but there were many theories. The most popular explanation was that it was caused by "miasmas," invisible vapors that emanated from swamps or cesspools and floated around in the air, where they could be inhaled. Others thought it was spread by person to person contact, or perhaps by too much sun exposure, or by intentional poisoning. The miasma theory was the most popular, however. One of the popes kept large fires burning at both ends of the room he worked in order to counteract the miasmas. The illustration on the left shows a "plague doctor," who is covered from head to toe, including a hood, a mask, gloves, and a beak-like sack on his nose. The covering on the nose contained aromatic herbs, which were believed to neutralize miasmas.

There were also crude medicines that were concocted to prevent or cure the bubonic plague; one of them was known as theriac. Of course, smoke and aromatic herbs and theriac were ineffective, because the plague was primarily spread by flea bites (although sometimes victims developed a plague pneumonia that caused them to cough up a bloody, plague-filled aerosol that could be transmitted to others by inhalation; this was the 'pneumonic' form of the plague). The below shows one of the "plague doctors" who were clothed from head to toe (including hood and mask) in order to protect themselves from the miasmas that spread plague.

PlagueDr.jpg


While most believed that plague was caused by miasmas, the primary mode of transmission was actually via flea bites, and, in a sense, the real causes were increased population density and failure to dispose of garbage. Accumulations of garbage attracted rats and enabled the rat population to explode. Rats had harbored fleas and Yersinia pestis for many years without major difficulty, and plague epidemics in humans didn't occur until human behaviors created environments that brought people into proximity with rats, fleas, and Yersina pestis. These were the real causes of the plague epidemics.

At first glance one might blame the lack of understanding about transmission and the ineffective preventive measures on the primitive level of scientific understanding. However, the inability to identify the cause and the inability to identify effective control measures was not due to a lack of sophisticated technology. Instead, it was primarily due to the fact that humans had not yet developed a structured way to think about the determinants of disease. There were certainly theories of how the plague spread and these led to preventive strategies, but none of the theories or preventive strategies or treatments were ever tested by collecting observations in groups of people. The idea of studying groups of people to test associations between "risk factors" and disease outcomes had not yet evolved.

key.png

Key Concept: The lack of a systematic way of testing possible associations between exposures and outcomes ("risk factors" and disease) was the major factor that prevented advances in understanding the causes of disease and the development of effective strategies to prevent or treat disease.

Quarantine and Isolation​

The use of quarantine as a public health measure dates back to the 14th century when the Black Death ravaged Italy and the rest of Europe. Quarantine comes from the Italian quarantena, meaning forty-day period. Travelers and merchandise that had potentially been exposed to disease were isolated for a period of time to ensure that they weren't infected. Some cities and towns would create a "cordon sanitaire,' a physical barrier that could only be crossed with permission. This practice persisted into the late 19th century and early 20th century. When plague threatened San Francisco, the Chinese section was quarantined by encircling it with a rope with armed guards to ensure that unauthorized individuals did not pass through. a "cordon sanitaire" was also used during an outbreak of bubonic plague in 1899-1900 in Honolulu's Chinatown. Fourteen blocks of the city were literally cordoned off, isolation 10,000 people..

cordonsanitaire.jpg


While quarantine is one of the oldest public health measures, it is still useful today. During the SARS epidemic, Toronto quarantined individuals who had potentially been exposed by confining them to their homes until it was certain that they weren't infected. This measure was effective in controlling SARS because individuals infected with SARS were not infectious until they began to exhibit symptoms. Consequently, if an individual was possibly exposed, but did not yet show symptoms, quarantine prevented them from infecting others. However, quarantine is less useful for diseases like influenza, when an infected person can spread the disease even before they begin having symptoms. Quarantine is different from isolation, which is separation of a person who has the disease; quarantine refers to the separation of an individual who has possibly been exposed to disease.

READ MORE : A Brief History of Public Health
Source:
 
Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima amesema kuwa ndani ya miezi miwili iliyopita zaidi ya mapadri 25, masista na manesi 60 na wenyeviti wawili wa Baraza la Walei wamefariki dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo changamoto ya upumuaji...
Hao mapadri na masista waliofariki ni kwa sababu mbali mbali ikiwemo changamoto ya upumuaji (Na si kila changamoto ya upumuaji ni corona). Halafu ni Takwimu ya Tanzania nzima kwa miezi miwili!! Si kwa siku moja au wiki moja kwa jimbo moja!

Kwa hiyo si ajabu sana maana vifo kwa kiwango hicho hata kabla ya Corona watu walikuwa wanafariki kwa sababu mbali mbali ikiwemo matatizo ya upumuaji. Matatizo ya upumuaji hayakuanzia kwenye corona!! Ukitaka kujua kuwa mkono wa Mungu bado unatuhifadhi, uliza nchi kama ya Marekani kuwa kwa miezi miwili ni mapadri na masista wangapi wamefariki katika kipindi Cha miezi miwili?

Ila tahadhari tuchukue, bila kutishana!! Serikali iliacha kuweka takwimu hadharani maana zilikuwa zinatumiwa na maadui wa Taifa kupandikiza hofu kwa watu!! Tayari hii takwimu ya vifo vya mapadri na masista tayari watu washaanza kuitumia kupandikiza hofu na kutoa taswira potofu kuhusu kiwango cha tatizo la corona!

Niwaombe watanzania wenzangu, tujizuie kutoa takwimu ambazo kwanza hauna uhakika nazo, (kwamba wamekufa ni sawa lakini nini sababu ya kufa kwao, hauna uhakika!).
 
Hii taarifa kuna media wanaiogopa. Wengine wata edit edit tu [emoji41]

Millard kaweka vipande tu! Hata Instagram hajapost itakuwa bado anasikilizia. Hatuwezi kuisaidia jamii namna hii. Inafikia viongozi wa juu kiroho wanatoa maagizo bado tunayaogopa tunataka ashuke Mungu?
 
Marekani wamekufa, Italia wamekufa, wazungu wengi wamekufa na wanaendelea kufa. Hawa ndiyo wataalamu na wanasayansi wa dunia, wanajua kujihami kuliko sisi, na watu makini na wenye maendeleo kuliko sisi. Hawa watu wameweka lockdown lakini korona imewafuata mpaka majumbani, hata viongozi wa nchi zao wamepatwa na huu ugonjwa. Swali ni Je? Nini unaweza kuwa utatuzi? Tusaidiane kutafakari tusiache misimamo ya kisiasa itutawale.
Mkuu hii kauli ni ya kiujumla sana (generalised). Inaweza kufanya hili suala lionekane halina jawabu. Ni kama vile kusema, hatima ya yote, kila mtu atakufa; utatuzi ni nini?

Tunachotakiwa kufanya ni kufuatilia na kuzingatia taarifa makini zinazoonyesha hatua zinazoendelea duniani kote za kuzuia kuenea maambukizi; huduma zinazotolewa mahospitalini na juhudi zinazoendelea za kugundua na kueneza kinga (chanjo).

Pia tupate taarifa za matokeo (monitoring and evaluation) kuonyesha mafanikio/changamoto za juhudi zote hizo. Kisha na sisi tuamue kipi kinatufaa? Kuna maendeleo mazuri yamepatikana sehemu mbalimbali kutokana na juhudi zinazofanyika na wataalamu na viongozi duniani. Tuyafahamu.

Hata magonjwa mengine kama UKIMWI, Kifua Kikuu, STDs, Ebola, Polio, kipindupindu, nk. bado hayajamalizwa 100%. Lakini juhudi zilizochukuliwa na zinazoendelea kuchukuliwa duniani zimepunguza sana kuenea na kufanikisha tiba kwa baadhi ya magonjwa hayo. Na kazi ya uhakika bado inaendelea. Tanzania kama nchi makini hatuna budi na sisi tuwe sehemu ya juhudi hizi ili tujijengee uwezo wa kitaaluma na kivifaa kuweza kukabiliana nayo badala ya kusubiri misaada ambayo, wakati mwingine, tunakuwa na mashaka nayo.

Aidha, tusijidanganye. Hata sisi tumeathirika sana. Hatuna tu taarifa zilizotolewa rasmi. We have to act positively.
 
Hili ni janga, na kila mtu anajua Hilo, lakini katikati ya janga kama hili ikikosekana faraja linakuwa janga kubwa zaidi.

Ndugu zetu wengi wameugua na kupona wengine pia kufariki, lakini tukiikosa mtu wa kutufariji, wengi wa wagonjwa walioko mahospilini na waliowazima kutatokea taharuki kubwa zaidi na pengine kupelekea vifo vingi zaidi Kwa sababu watu wataingiwa hofu na Ile hofu ndio itakuwa chanzo cha vifo vingi kuliko ugonjwa wenyewe

Mimi Bado naungana na Raisi kuzidi kuupuza huu ugonjwa na wananchi kuwaondolea hofu

Nimeingia hospital moja, Madactari wetu wamekuwa msaada mkubwa na waajabu, mgonjwa akisha letwa, Neno la Kwanza Kwa mgonjwa ni Ile faraja, na kumhakikishia mgonjwa kuwa ugonjwa huo si lolote na kwamba kuna walioletwa wakiwa mahututi kuliko wewe Ila wamepona na kurudi makwao,

Jambo hili limeleta uponyaji Kwa wengi Sana kabla hata ya kuanza matibabu mwenyewe

Imetokea hivyo Kwa mama yangu na Mzee wangu, wote sasa wakonyumbani na wanaendelea na maisha, lkn kilichosababisha ni Yale maneno ya faraja,

Tukiondoa hofu, tutavuka, na hofu siku zote huletwa na shetani ili kuangamiza viumbe wa Mungu
Mkuu kwa hiyo ukiumwa uondoe hofu utapona, inawezekana hata U T I haujawahi umwa wewe. Ugonjwa na hofu vipo sambamba.
 
Takwimu zinatisha.
Wala hazitishi japo baadhi ya watu wangependa kulazimisha zionekane kuwa zinatisha!!
Kwanza kifo si kigeni kwenye kila jamii ya watanzania ikiwemo jamii ya mapadri na masista! Tena kwa sababu mbalimbali ikiwemo tatizo la upumuaji hata kabla ya corona!!
 
Back
Top Bottom