johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwashee heri nusu shari kuliko shari kamili!Wamechelewa sana hata misa za jana zilikuwa zifutwe.
Zingatia Rais wa TEC ndio la muhimu......hayo mengine labda sikusikia vizuri!Moja, Kanisa Katoliki halina Dayosisi.
Pili Nyaisonga haongozi Jimbo la Mbeya bali Dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajasitisha hudumaRais wa TEC baba Askofu Nyaisonga ambaye pia ni askofu wa Dayosisi ya Mbeya amesema katika kupambana na maambukizi ya Covid 19 wanasitisha Huduma za sakramenti ya ubatizo na ile ya Ndoa.
Baba askofu amesema Huduma hizo zitarejea tena kama kawaida pale ugonjwa huo utakapokuwa umedhibitiwa.
Baba askofu amesema hayo wakati wa ibada za Pasaka jijini Mbeya.
Source ITV habari!
Social distancing!Fanya kurekebisha mkuu...Isomeke
"Amezuia SHAMRASHAMRA za ubatizo na ndoa"
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuuliza si ujinga. Mhashamu Askofu Mkuu Gervas John Nyaisonga ni Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya. Askofu wa jimbo kuu Katoliki la Dodoma ni Askofu mkuu,Beatus Kinyaiya;kabla alikuwa askofu wa jimbo la Mbulu,kabla ya kuhamishwa Dodoma.Moja, Kanisa Katoliki halina Dayosisi.
Pili Nyaisonga haongozi Jimbo la Mbeya bali Dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Dayasosi/Diocese ndio Jimbo.Moja, Kanisa Katoliki halina Dayosisi.
Pili Nyaisonga haongozi Jimbo la Mbeya bali Dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kutoka Dodoma alienda kuhudumu Mpanda kwa sasa yupo jimbo la Mbeya.Moja, Kanisa Katoliki halina Dayosisi.
Pili Nyaisonga haongozi Jimbo la Mbeya bali Dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Shetani uko kazini 'kupotosha & kuzua taharuki'Rais wa TEC baba Askofu Nyaisonga ambaye pia ni askofu wa Dayosisi ya Mbeya amesema katika kupambana na maambukizi ya Covid 19 wanasitisha Huduma za sakramenti ya ubatizo na ile ya Ndoa.
Baba askofu amesema Huduma hizo zitarejea tena kama kawaida pale ugonjwa huo utakapokuwa umedhibitiwa.
Baba askofu amesema hayo wakati wa ibada za Pasaka jijini Mbeya.
Source ITV habari!
Za Jana zililenga siasa fulaniWamechelewa sana hata misa za jana zilikuwa zifutwe.
Lina Dayosisi. Ila kila kiongozi wa jimbo ana mamlaka na jimbo lake.Moja, Kanisa Katoliki halina Dayosisi.
Pili Nyaisonga haongozi Jimbo la Mbeya bali Dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app