Kanisa Katoliki lasitisha huduma za kufungisha ndoa na ubatizo hadi pale ugonjwa wa COVID-19 utakapodhibitiwa

Kanisa Katoliki lasitisha huduma za kufungisha ndoa na ubatizo hadi pale ugonjwa wa COVID-19 utakapodhibitiwa

Moja, Kanisa Katoliki halina Dayosisi.

Pili Nyaisonga haongozi Jimbo la Mbeya bali Dodoma

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye moja unaweza kuwa uko sahihi kulingana na mazoe japo Dayosisi ndo hilo hilo jimbo, ila kwenye ya pili hauko sahihi! Aliwahi kuwa askofu wa Dodoma ila kwa sasa hayuko tena Dodoma

Lakini pia mleta mada atakuwa alitafsiri vibaya, nadhani wameshauri kusiwe na sherehe zinazoambatana na matukio hayo

Huduma ziko pale pale ila baada ya huduma ya ndoa kwa mfano, baada ya kutoka kanisani mnaelekea nyumbani kutulia badala ya ukumbini
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa TEC baba Askofu Nyaisonga ambaye pia ni askofu wa Dayosisi ya Mbeya amesema katika kupambana na maambukizi ya Covid 19 wanasitisha Huduma za sakramenti ya ubatizo na ile ya Ndoa.

Baba askofu amesema Huduma hizo zitarejea tena kama kawaida pale ugonjwa huo utakapokuwa umedhibitiwa.
Baba askofu amesema hayo wakati wa ibada za Pasaka jijini Mbeya.

Source ITV habari!
Wasitishe na misa za kawaida za Jumapili na siku nyingine hadi ugonjwa utakapoisha
 
Rais wa TEC baba Askofu Nyaisonga ambaye pia ni askofu wa Dayosisi ya Mbeya amesema katika kupambana na maambukizi ya Covid 19 wanasitisha Huduma za sakramenti ya ubatizo na ile ya Ndoa.

Baba askofu amesema Huduma hizo zitarejea tena kama kawaida pale ugonjwa huo utakapokuwa umedhibitiwa.
Baba askofu amesema hayo wakati wa ibada za Pasaka jijini Mbeya.

Source ITV habari!
Kasubiri wavute sadaka ya wiki kuu ya pasaka ndio waanze makatazo! Hii ilitakiwa mapema sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maana hiyo, Dayosisi na jimbo ni vitu tofauti siyo?
Na kama ndiyo utafauti wake ni upi..?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Jimbo ni kiswahili. Diocese ni jina lililokuja na mashua za wakoloni. Kwa upande wa kanisa katoliki, diocese na jimbo ni kitu kile kile. Mfano archdiocese of Dar Es Salaam. Ni jimbo kuu la Dar Es Salaam. Mbeya ni archdiocese as well, sawa na Mwanza, Arusha, Songea etc
 
Hatua zinachukuliwa kwa kujivuta sana
 
Naunga mkono hoja maana Nimepona Michango miwili.... Thanks God... Maana ilikuwa Too much na usipotoa unanuniwa japo nilikuwa i don't care..
ASEE MM KUNA DOGO MWENYE JINSIA YA KIUME KANINUNIA KABISA UTADHANI MM NIMEOA. BADALA YA KUSUBIRIA ALIPIZE KAKATISHA KABISHA MAHUSIANO KISA KUTOKUMCHANGIA
 
Massively dengerous corona virus has made our world very weak. More activities are going to stop too
 
Back
Top Bottom