TuntemekeSanga
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,346
- 862
Umetuwa wewe, sio bure. Kwamba RC hatuna Dayosis? Na uliponiacha hoi ni eti Nyaisonga ni Askofu wa DODOMA.Moja, Kanisa Katoliki halina Dayosisi.
Pili Nyaisonga haongozi Jimbo la Mbeya bali Dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishituka kidogo, kumbe shamrashamra ndo zimezuiliwa? Nilitaka kutembea na unabii sasa ivi!Fanya kurekebisha mkuu...Isomeke
"Amezuia SHAMRASHAMRA za ubatizo na ndoa"
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye moja unaweza kuwa uko sahihi kulingana na mazoe japo Dayosisi ndo hilo hilo jimbo, ila kwenye ya pili hauko sahihi! Aliwahi kuwa askofu wa Dodoma ila kwa sasa hayuko tena DodomaMoja, Kanisa Katoliki halina Dayosisi.
Pili Nyaisonga haongozi Jimbo la Mbeya bali Dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasitishe na misa za kawaida za Jumapili na siku nyingine hadi ugonjwa utakapoishaRais wa TEC baba Askofu Nyaisonga ambaye pia ni askofu wa Dayosisi ya Mbeya amesema katika kupambana na maambukizi ya Covid 19 wanasitisha Huduma za sakramenti ya ubatizo na ile ya Ndoa.
Baba askofu amesema Huduma hizo zitarejea tena kama kawaida pale ugonjwa huo utakapokuwa umedhibitiwa.
Baba askofu amesema hayo wakati wa ibada za Pasaka jijini Mbeya.
Source ITV habari!
Misa za Jana zimefutwa hazikufanyikaWamechelewa sana hata misa za jana zilikuwa zifutwe.
Halafu tusisali sio?Wasitishe na misa za kawaida za Jumapili na siku nyingine hadi ugonjwa utakapoisha
Kasubiri wavute sadaka ya wiki kuu ya pasaka ndio waanze makatazo! Hii ilitakiwa mapema sanaRais wa TEC baba Askofu Nyaisonga ambaye pia ni askofu wa Dayosisi ya Mbeya amesema katika kupambana na maambukizi ya Covid 19 wanasitisha Huduma za sakramenti ya ubatizo na ile ya Ndoa.
Baba askofu amesema Huduma hizo zitarejea tena kama kawaida pale ugonjwa huo utakapokuwa umedhibitiwa.
Baba askofu amesema hayo wakati wa ibada za Pasaka jijini Mbeya.
Source ITV habari!
Lina Dayosisi. Ila kila kiongozi wa jimbo ana mamlaka na jimbo lake.
This is very sad day
Msenglendi umenifanya nichekeNaunga mkono hoja maana Nimepona Michango miwili.... Thanks God... Maana ilikuwa Too much na usipotoa unanuniwa japo nilikuwa i don't care..
Jimbo ni kiswahili. Diocese ni jina lililokuja na mashua za wakoloni. Kwa upande wa kanisa katoliki, diocese na jimbo ni kitu kile kile. Mfano archdiocese of Dar Es Salaam. Ni jimbo kuu la Dar Es Salaam. Mbeya ni archdiocese as well, sawa na Mwanza, Arusha, Songea etcKwa maana hiyo, Dayosisi na jimbo ni vitu tofauti siyo?
Na kama ndiyo utafauti wake ni upi..?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Moja, Kanisa Katoliki halina Dayosisi.
Pili Nyaisonga haongozi Jimbo la Mbeya bali Dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
ASEE MM KUNA DOGO MWENYE JINSIA YA KIUME KANINUNIA KABISA UTADHANI MM NIMEOA. BADALA YA KUSUBIRIA ALIPIZE KAKATISHA KABISHA MAHUSIANO KISA KUTOKUMCHANGIANaunga mkono hoja maana Nimepona Michango miwili.... Thanks God... Maana ilikuwa Too much na usipotoa unanuniwa japo nilikuwa i don't care..
Pia Nyaisonga yupo Mbeya,,,Dodoma alishatoka siku nyingi. Upo sahihi.Zingatia Rais wa TEC ndio la muhimu......hayo mengine labda sikusikia vizuri!