Rais wa TEC baba Askofu Nyaisonga ambaye pia ni askofu wa Dayosisi ya Mbeya amesema katika kupambana na maambukizi ya Covid 19 wanasitisha Huduma za sakramenti ya ubatizo na ile ya Ndoa.
Baba askofu amesema Huduma hizo zitarejea tena kama kawaida pale ugonjwa huo utakapokuwa umedhibitiwa.
Baba askofu amesema hayo wakati wa ibada za Pasaka jijini Mbeya.
Source ITV habari!
Ibada za ndoa na Misa za kawaida zipi zenye watu wengi?Rais wa TEC baba Askofu Nyaisonga ambaye pia ni askofu wa Dayosisi ya Mbeya amesema katika kupambana na maambukizi ya Covid 19 wanasitisha Huduma za sakramenti ya ubatizo na ile ya Ndoa.
Baba askofu amesema Huduma hizo zitarejea tena kama kawaida pale ugonjwa huo utakapokuwa umedhibitiwa.
Baba askofu amesema hayo wakati wa ibada za Pasaka jijini Mbeya.
Source ITV habari!
sawa kabisaFanya kurekebisha mkuu...Isomeke
"Amezuia SHAMRASHAMRA za ubatizo na ndoa"
Sali ukiwa nyumbani au popote siyo lazima uende kanisani. Baba 'mtakatifu' mwenyewe amesalisha misa bila waumini kutokana na ugonjwa kwanini na hawa wa kwetu walioipokea dini hiyo wasifute misa? Kama issue ni sadaka watoe namba za Mpesa, tigo, airtel, halotel na ezy pesa tutatuma na ya kutoleaHalafu tusisali sio?
Hizi za misa wanazing'ang'ania kiuchumi zaidi! Mapato-sadaka watakosaIbada za ndoa na Misa za kawaida zipi zenye watu wengi?
Labda unapenda tu kupinga! Lakini unapaswa kujielimisha kwanza kabla ya kuandika mapingamizi yako.Moja, Kanisa Katoliki halina Dayosisi.
Pili Nyaisonga haongozi Jimbo la Mbeya bali Dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app