Kanisa Katoliki latoa waraka mpya unaiotwa 'Dignitas Infinita' likipinga Utoaji Mimba, Kubadilisha Jinsia na Upandikizaji wa Mimba

Papa hakusema ushoga wao ubarikiwe, bali mashoga wabarikiwe.
Kuna ushoga hapo na mashoga.
Ushoga wao kanisa haliukubali, ila linapinga kuwatenga mashoga.
 
Ukisoma vitabu vyote 72 kwenye biblia yako, hakuna sehemu Mungu wala nabii wala mtume kasema WAPENZI WA JINSIA MOJA WABARIKIWE.
Ulivyosema tamko lipo kibiblia ulidanganya.

Unataka darasa kuhusu nini?
Kuwa specific
Mathayo 5:45 BHN
ili mpate kuwa watoto wa Baba yenu aliye mbinguni. Kwa maana yeye huwaangazia jua lake watu wabaya na wema, na kuwanyeshea mvua watu wanyofu na waovu.
 
Ukisoma vitabu vyote 72 kwenye biblia yako, hakuna sehemu Mungu wala nabii wala mtume kasema WAPENZI WA JINSIA MOJA WABARIKIWE.
Ulivyosema tamko lipo kibiblia ulidanganya.

Unataka darasa kuhusu nini?
Kuwa specific
Righteous mmefura, wenyewe mmejivika utakatifu.
Aliyeziumba mbingu na kutenga nyakati mnamuona si mkamilifu, mnataka mhariri nyendo zake.

Ah, si Yeye aliyesema"acha Magugu na Ngano vikue pamoja?".
Righteous mmeona anachelewa, mnataka mchukue Mundu mtenge Magugu na Ngano hata kabla ya wakati haujafika!.
😅
 
Papa hakusema ushoga wao ubarikiwe, bali mashoga wabarikiwe.
Kuna ushoga hapo na mashoga.
Ushoga wao kanisa haliukubali, ila linapinga kuwatenga mashoga.
Kwahiyo kanisa halitaki ushoga ila linapinga kuwatenga mashoga !!
WAGALATI 3:1 Ninyi wagalatia mmekua wajinga kweli! Ni nani aliewaroga?
 
Umemaanisha huo mstari unasema WAPENZI WA JINSIA MOJA WABARIKIWE?
Hoja ni kwamba, mbona wazinzi wanabarikiwa?.
Mbona wala rushwa wanabarikiwa?.
Huwezi kuwa selective swala linapokuja kwenye dhambi.
Mla rushwa kanunua gari lake na kulipeleka kwa Padri kubarikiwa, Padri analibariki.
Ila Shoga Akiwa na jogoo wake akitaka Padri ambariki, Padri anakataa kisa ni Shoga.
Uoni kuwa ni double standard
 
Kejeri hazikufanyi uonekane una akiri sana.
Nikiemuuliza swali alidai tamko liko Biblia, nikataka aniambie ni sehemu gani akashindwa.
Umeni quote na andiko la matayo, nikakuuliza ndilo linasema kuhusu kubariki mashoga unakuja na kejeri.

Aliesema acha magugu na ngano vikue pamoja, ndie aliteketeza kwa moto sodoma na gomora.

Kama Mungu alimwagiza papa kutoa lile tamko, kwa nini anabadilisha sasa?
 
Ukisoma vitabu vyote 72 kwenye biblia yako, hakuna sehemu Mungu wala nabii wala mtume kasema WAPENZI WA JINSIA MOJA WABARIKIWE.
Ulivyosema tamko lipo kibiblia ulidanganya.

Unataka darasa kuhusu nini?
Kuwa specific
Ningekuwa na muda rafiki kwangu ningeelea na huu mjadala kwa kina lengo haswa kufahamu na kuongeza ufahamu.

Kifungu katika Bilbia kwamba wapenzi wa jinsia moja wabarikiwe hamna.
Ila Yesu alisema tabibu hawezi kujiponya, hakuja kwa ajili ya wenye haki,na ndio maana alitoa ule mfano wa mfarisayo ma mtoza ushuru walioenda kusali .

Alitoa pia mfano sa kondoo aliyepotea na kupatika, ilikuwa furahaa kwa kondoo mmoja kupatika wakati alipokua amepotea kuliko furaha ya kondoo 99 ambao hawakuwa wamepotea.

Ni katika muktadha wa kujifunza zaidi, je mtu alie shoga, alibadili jinsia, aliye jambazi alie muuaji au alie mbaya kwa namna yoyote tunayoweza kutafsiri akifunguliwa mlango na kanisa, akaingia na kukutana na neema ya Mungu katika hali ya ubaya wake huo nakutafuta kutubu na kumrejea Mungu na kuacha ubaya wake , kanisa lilaumiwe kwa kufungulia mlango?
 
Hayo yote si yanfanyika huko lilikotoka tamko.
 
Nachukia umaskini ila siwachukii maskini.
Umasikini siyo kosa wala siyo tatizo la kimaadili na hata masikini hawaupendi huo umasikini na wala kuwa masikini siyo dhambi.

Ushoga ni dhambi ni kinyume na maadili kuunga mkono ushoga kwa njia yoyote ni upuuzi
 
Umeninukuu vibaya Chief, tukomee hapa.
 
You're honest bro, I like that.

Yesu ni kweli alisema hayo. Lengo lake ni kumfanya mwenye dhambi aache dhambi zake, atubu na kupokea msamaha. Kwa kufata huo mfano ilitakiwa papa aseme, mashoga wanaotubu na kuacha ushoga wabarikiwe hakungekuwa na shida maana wameacha dhambi yao na kutubu hivyo wanapaswa kupokelewa.

Ndio maana biblia inasema maombi ya mwenye dhambi yanayosikiwa na Mungu ni ya toba pekee.

Mwenye dhambi anakaribishwa kanisani ili atubu na kuacha dhambi sio aje kanisani na kuendelea na dhambi yake. Kubariki jambazi ambae bado anaiba sio sawa, ila akitubu na kuacha ana haki kubarikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…