PostGE2025 Kanisa Katoliki limetoa maagizo ya tangazo la misa ya kuwaombea watu waliouawa 29 Oktoba 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
ni muhimu sana hata yule albino alieuawa na Padre nae aombewe, pamoja na familia yake iliyosahaulika nadhani itapendeza zaidi gentleman🐒

hata yule low iq albino kichaa wa simba vs yanga ataombewa pia ili siku moja angalau ajitambue na kuwakumbuka maalbino wenzake wanaoreseka labda hata kwa kuwachangia chochote au hata kuanzisha chama cha kuwasaidia maalbino wenzake, wana mahitaji mengi kama mafuta ya kuwakinga na jua au hata usalama wao tu ...
 
ok.
sawa na ibada ifanyike kwa amani.

msisahau pia kuwaombea na wale wote walio athirika baada ya dhuluma za kingono kama vile kupigwa mimba na kulawitiwa na mapadre na viongozi mbalimbali wa kanisa dunia kote na Mungu wa huruma awajaalie faraja ya amani mioyoni mwao na itapendeza zaidi 🐒
Tutawaombea na viongozi wasagaji
 
ok.
sawa na ibada ifanyike kwa amani.

msisahau pia kuwaombea na wale wote walio athirika baada ya dhuluma za kingono kama vile kupigwa mimba na kulawitiwa na mapadre na viongozi mbalimbali wa kanisa dunia kote na Mungu wa huruma awajaalie faraja ya amani mioyoni mwao na itapendeza zaidi 🐒
Kwakuwa chawa ushazoea kupigwa kuongea unadhani ni watu wote wako hivyo
 
Majeruhi tunazidi kuwaombea wapone na wote waliouwawa Oktoba 29 wapumzike kwa amani. Ndugu, jamaa na marafiki zao tunapa pole kwa kupoteza wapendwa wao.
 
Misa nchi zima, Kanisa limeagiza Kesho watangaziwe kwenye jumuiya ndogo ndogo, jumapili tutangaze kanisani, na wiki yote inayofuata Itakuwa ya kutangaziana.

======

Mwadhama Kardinali,

Wahashamu Maaskofu Wakuu,

Wahashamu Maaskofu.

Bwana Awape Amani!

YAH: WITO WA KUADHIMISHA MISA TAKATIFU KWA NIA YA KUOMBEA MAREHEMU NA WAATHIRIKA WA MATUKIO YA UCHAGUZI MKUU SIKU YA TAREHE 29 ОКТОВА 2025​

Kwa moyo wa kichungaji na kwa kutambua wajibu wetu wa kuliongoza Taifa la Mungu katika ukweli, haki upendo na mwanga wa Injili. Kwa barua hii nawaalika kuadhimisha Misa Takatifu kwa ajili ya kuliombea Taifa letu la Tanzania na sisi wenyewe. Katika kutimiza mwaka. moja tangu uchaguzi wa mwaka jana, tunakumbuka baadhi ya watu wetu kuumizwa, kupotea na hata kuuawa. Hali hiyo ya maumivu na msiba bado ipo kati ya watu wetu.

Katika mazingira haya, tunaitwa kusimama pamoja kama jumuiya ya waamini, tukimkabidhi Mwenyezi Mungu mwenye huruma Taifa letu, viongozi na watu wake. Tukiomba umoja, upendo, ukweli, mshikamano ambavyo ni matunda ya haki na amani. Kwa sauti ya upole, unyenyekevu, unyofu na majuto tuombe faraja kwa wanaolia, tumaini kwa waliokata tamaa, imani kwa wenye mahangaiko, haki na ukweli kwa waliopotea, busara kwa wasioelewa, uponyaji kwa wenye majeraha na upendo kwa wenye chuki. Pia huruma ya Mungu kwa wale waliotangulia mbele ya yake.

Tunaomba Misa Takatifu ziadhimishwe kwa nia hizo; walioumizwa, kupotea, kuuawa na kuliombea Taifa letu. Tunashauri Misa hiyo ifanyike katika Parokia, vituo vya sala na Taasisi za Kanisa kadiri iwezekanavyo siku ya Alhamisi 29 Oktoba 2026. Misa inaweza kufanyika asubuhi muda wa kawaida, au muda wowote unaofaa. Masomo ya siku au ya kuchagua yanaweza kutumika kwenye Misa hiyo.

Tukizidi kuliombea Taifa letu, naendelea kumshukuru Mungu kwa kila moja wenu kwa upendo, uelewa, ushirikiano na majitoleo yenu yasiyokoma.

Katika utumishi, upendo na ukweli,

+ Wolfgang Pisa, OFMCap

Askofu wa Lindi na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)
View attachment 3697014
Inaumiza sana, walikufa watu ambao wala ata hawakuwa kwenye hekaheka. Wapumzike kwa AMANI.
 
FB_IMG_1792614900214.jpg
 
Kwakuwa chawa ushazoea kupigwa paipu unadhani ni watu wote wako hivyo
Kanisa liwaombea pia hata hata wadau wa jf, wenye mihemko nonsense jukwaan, watukanaji na waporomosha matusi wote, ili hatimae roho mtakatifu ahuishe mioyo na fikra zao, wapate utulivu wa kifikra na kuchangia mijadala bila kutukana na itapendeza zaidi🐒
 
Sina hakika kama kutakuwa na mwitikio wa kuhudhuria hizi misa huko malawi
 
ok.
sawa na ibada ifanyike kwa amani.

msisahau pia kuwaombea na wale wote walio athirika baada ya dhuluma za kingono kama vile kupigwa mimba na kulawitiwa na mapadre na viongozi mbalimbali wa kanisa dunia kote na Mungu wa huruma awajaalie faraja ya amani mioyoni mwao na itapendeza zaidi 🐒
Tunawaombea wanawake wote waliobakwa na Muhammad na jeshi lake baada ya kuwafanya watumwa, tunamuombea Binti Aisha aliebakwa na muhamad akiwa na miaka 9, tunawaombea pia vijana wa Al Zutt waliompanda muhamad kama Hadith zinavotuambia, tunawaombea pia watoto wote wanaolawitiwa kila kukicha na maustadh. Amin.
 
Misa nchi zima, Kanisa limeagiza Kesho watangaziwe kwenye jumuiya ndogo ndogo, jumapili tutangaze kanisani, na wiki yote inayofuata Itakuwa ya kutangaziana.🔥🔥🔥
 
Sina hakika kama kutakuwa na mwitikio wa kuhudhuria hizi misa huko malawi
kuna baadhi ya waamini wa kanisa katoliki siku hizi wanakimbia misa zinazo ongozwa na fr. Kitima sijui kwanini?

au kanisa nalo linafukuta ndani kwa ndani na limegawanyika kiaiana right?🐒
 
Misa nchi zima, Kanisa limeagiza Kesho watangaziwe kwenye jumuiya ndogo ndogo, jumapili tutangaze kanisani, na wiki yote inayofuata Itakuwa ya kutangaziana.

======

Mwadhama Kardinali,

Wahashamu Maaskofu Wakuu,

Wahashamu Maaskofu.

Bwana Awape Amani!

YAH: WITO WA KUADHIMISHA MISA TAKATIFU KWA NIA YA KUOMBEA MAREHEMU NA WAATHIRIKA WA MATUKIO YA UCHAGUZI MKUU SIKU YA TAREHE 29 ОКТОВА 2025​

Kwa moyo wa kichungaji na kwa kutambua wajibu wetu wa kuliongoza Taifa la Mungu katika ukweli, haki upendo na mwanga wa Injili. Kwa barua hii nawaalika kuadhimisha Misa Takatifu kwa ajili ya kuliombea Taifa letu la Tanzania na sisi wenyewe. Katika kutimiza mwaka. moja tangu uchaguzi wa mwaka jana, tunakumbuka baadhi ya watu wetu kuumizwa, kupotea na hata kuuawa. Hali hiyo ya maumivu na msiba bado ipo kati ya watu wetu.

Katika mazingira haya, tunaitwa kusimama pamoja kama jumuiya ya waamini, tukimkabidhi Mwenyezi Mungu mwenye huruma Taifa letu, viongozi na watu wake. Tukiomba umoja, upendo, ukweli, mshikamano ambavyo ni matunda ya haki na amani. Kwa sauti ya upole, unyenyekevu, unyofu na majuto tuombe faraja kwa wanaolia, tumaini kwa waliokata tamaa, imani kwa wenye mahangaiko, haki na ukweli kwa waliopotea, busara kwa wasioelewa, uponyaji kwa wenye majeraha na upendo kwa wenye chuki. Pia huruma ya Mungu kwa wale waliotangulia mbele ya yake.

Tunaomba Misa Takatifu ziadhimishwe kwa nia hizo; walioumizwa, kupotea, kuuawa na kuliombea Taifa letu. Tunashauri Misa hiyo ifanyike katika Parokia, vituo vya sala na Taasisi za Kanisa kadiri iwezekanavyo siku ya Alhamisi 29 Oktoba 2026. Misa inaweza kufanyika asubuhi muda wa kawaida, au muda wowote unaofaa. Masomo ya siku au ya kuchagua yanaweza kutumika kwenye Misa hiyo.

Tukizidi kuliombea Taifa letu, naendelea kumshukuru Mungu kwa kila moja wenu kwa upendo, uelewa, ushirikiano na majitoleo yenu yasiyokoma.

Katika utumishi, upendo na ukweli,

+ Wolfgang Pisa, OFMCap

Askofu wa Lindi na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)
View attachment 3697014
Nashauri tuweke comment yenye hoja, yenye heshima na inayosisitiza umuhimu wa demokrasia bila kuonekana kama tunapinga amani.

Ninaunga mkono sana hatua hii ya Kanisa Katoliki. Hata hivyo, naomba viongozi wa Kanisa wafikirie uwezekano wa kuandaa Misa hiyo kwenye uwanja mkubwa badala ya kanisani, ili kuruhusu watu wengi zaidi kushiriki. Hili ni tukio linalogusa taifa zima, si waumini wa Kanisa Katoliki pekee.

Misa hiyo iwe nafasi ya kuwakumbuka waliopoteza maisha, kuwaombea waliojeruhiwa na kuombea uponyaji wa taifa letu. Pia iwe ukumbusho kwa watawala kwamba demokrasia, haki za binadamu na kuheshimu maisha ya wananchi ni misingi muhimu ya amani ya kudumu. Amani ya kweli haiwezi kutenganishwa na haki, uwajibikaji na kuheshimu sauti ya wananchi.

Tunaiomba Kanisa liendelee kusimama katika nafasi yake ya kuhubiri haki, upendo na maridhiano ya kweli kwa ajili ya mustakabali wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom