PostGE2025 Kanisa Katoliki limetoa maagizo ya tangazo la misa ya kuwaombea watu waliouawa 29 Oktoba 2025

PostGE2025 Kanisa Katoliki limetoa maagizo ya tangazo la misa ya kuwaombea watu waliouawa 29 Oktoba 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kutokukamatwa viongozi wa Kanisa hakuna maana ya kwamba wao hawakuhusika yumkin wanapewa muda kwao kutafakari yote yametokea

Wangepaswa kupunguza kujiona wapo juu ya Sheria na kuja na tamko la kuwaomba radhi Watanzania wote mana Watanzania wote tumeguswa na Maswahibu ya kipindi cha Mo29 tunapashwa kuombwa radhi rasmi na Kanisa Kotoliki

Kuomba radhi Kungeleta Umoja wa kitaifa lkn pia Watanzania wangejua kwanini
Hawakukamatwa wamewahi Kuomba Msamaha kama taasisi ya Dini ✍️
 
Kwanza acknowledge kuwa kusema marehemu wa majanga ya nyuma hawakumbukwi si sahihi ndo tuhamie kwenye hoja ya misa unayoiita unafiki. Reputation ya mjadala inajengwa na kukubali kukosea iwapo kuna makosa. Kama mjadala hauna usahihishaji wa makosa hakuna haja ya kuendelea kuuita mjadala.
kama si sahihi mbona hatuskii promosheni za kama za leo?
kulikoni?

labda wale sio muhimu kulingana na mtazamo na unafiki wa pisa na kitima ispokua wa october, right? :NoGodNo:
 
Lkn wakiendelea kushupaza Shingo kwamba wao wapo juu ya Sheria

Wajiandae kiakili watakuja kujutia mbele ya Safari

Hakuna yule yupo juu ya Sheria Tanzania zaidi ya RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA
TANZANIA basi✍️
 
Msio tupenda ndio tutawakumbusha wajibu wenu kitaifa

Msio tupenda mnapaswa kutuombea uhai mrefu kwani jambo tunawapa changamoto za kufikia zaidi
Badala ya kukutana wote wenye mlengo mmoja na kudanganyana kuhusu mambo makubwa

Msijiaminishe kwamba hamuwezi kukamatwa chini ya jua kila kitu kinawezekana✍️
 
kama si sahihi mbona hatuskii promosheni za kama za leo?
kulikoni?

labda wale sio muhimu kulingana na mtazamo na unafiki wa pisa na kitima ispokua wa october, right? :NoGodNo:
Promotion wanafanya, sema hazikugusa interest zako hapo kabla. Mfano, ulisikia promotion ya kikao cha saccos ya wakulima wa Karatu kuuza mazao kwa kampuni ya kupeleka nje? Hukusikia sababu si interest yako, na kama ulisikia ubongo wako ulipuuza. Same case, promotion huwa zinafanyika huko makanisani but husikii na ukisikia ubongo unapuuza, hili la Oct 29 limegusa interest zako ndo maana.
 
Na mimi ni mkatoliki pia ila nakanusha uhallali wa tamko. Taarifa za kwamba TEC wametoa waraka wa kuwakumbuka waliokufa 29/10 siyo za kweli. Ni kwamba wahuni wametengeneza barua FEKI na kuirusha kwenye mitandao. Nenda website au Instgram account ya TEC, hakuna habari hiyo.

Hata kikoa (domain) cha email yao kimekosewa. Hawa wahuni wameandika TEC.CO.TZ wakati inapaswa kuwa tec.or.tz
 
Misikiti wamechagua kusimama na Amani ya Watanzania wote

Hawataki kuimbishwa nyimbo na Kanisa lolote!!
Ulitaka na Misikiti waimbishwe Samia must go Aleluyaaaaa 🤠
 
Back
Top Bottom