figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
- #121
Wanataka kutoa tamko eti viongozi wa dini wamuache Samia afanye kazi.Bakwata wao wanasubiri tende na kobazi kutoka Oman
Wanataka kutoa tamko eti viongozi wa dini wamuache Samia afanye kazi.Bakwata wao wanasubiri tende na kobazi kutoka Oman
Hii comment mbona umeifuta!!??ni muhimu sana hata yule albino alieuawa na Padre nae aombewe, pamoja na familia yake iliyosahaulika nadhani itapendeza zaidi gentleman🐒
nikishatoa maelezo yangu ya msingi jukwaani, sihusiki na vitu vingine vya ziada gentlemanHii comment mbona umeifuta!!??View attachment 3697551

Taifa haliponywi kwa maombi bali kwa HAKI na UWAJIBIKAJI
Ila aliowaua Mkapa Januari 2001 kufikia hatua ya Mkapa kuomba radhi hawakuwa watu!Misa nchi zima, Kanisa limeagiza Kesho watangaziwe kwenye jumuiya ndogo ndogo, jumapili tutangaze kanisani, na wiki yote inayofuata Itakuwa ya kutangaziana.
======
Mwadhama Kardinali,
Wahashamu Maaskofu Wakuu,
Wahashamu Maaskofu.
Bwana Awape Amani!
YAH: WITO WA KUADHIMISHA MISA TAKATIFU KWA NIA YA KUOMBEA MAREHEMU NA WAATHIRIKA WA MATUKIO YA UCHAGUZI MKUU SIKU YA TAREHE 29 ОКТОВА 2025
Kwa moyo wa kichungaji na kwa kutambua wajibu wetu wa kuliongoza Taifa la Mungu katika ukweli, haki upendo na mwanga wa Injili. Kwa barua hii nawaalika kuadhimisha Misa Takatifu kwa ajili ya kuliombea Taifa letu la Tanzania na sisi wenyewe. Katika kutimiza mwaka. moja tangu uchaguzi wa mwaka jana, tunakumbuka baadhi ya watu wetu kuumizwa, kupotea na hata kuuawa. Hali hiyo ya maumivu na msiba bado ipo kati ya watu wetu.
Katika mazingira haya, tunaitwa kusimama pamoja kama jumuiya ya waamini, tukimkabidhi Mwenyezi Mungu mwenye huruma Taifa letu, viongozi na watu wake. Tukiomba umoja, upendo, ukweli, mshikamano ambavyo ni matunda ya haki na amani. Kwa sauti ya upole, unyenyekevu, unyofu na majuto tuombe faraja kwa wanaolia, tumaini kwa waliokata tamaa, imani kwa wenye mahangaiko, haki na ukweli kwa waliopotea, busara kwa wasioelewa, uponyaji kwa wenye majeraha na upendo kwa wenye chuki. Pia huruma ya Mungu kwa wale waliotangulia mbele ya yake.
Tunaomba Misa Takatifu ziadhimishwe kwa nia hizo; walioumizwa, kupotea, kuuawa na kuliombea Taifa letu. Tunashauri Misa hiyo ifanyike katika Parokia, vituo vya sala na Taasisi za Kanisa kadiri iwezekanavyo siku ya Alhamisi 29 Oktoba 2026. Misa inaweza kufanyika asubuhi muda wa kawaida, au muda wowote unaofaa. Masomo ya siku au ya kuchagua yanaweza kutumika kwenye Misa hiyo.
Tukizidi kuliombea Taifa letu, naendelea kumshukuru Mungu kwa kila moja wenu kwa upendo, uelewa, ushirikiano na majitoleo yenu yasiyokoma.
Katika utumishi, upendo na ukweli,
+ Wolfgang Pisa, OFMCap
Askofu wa Lindi na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)
View attachment 3697014
Sema hawacheki na Muislam. Mbona Mkapa aliua sana tu mpk akatunga kitabu kuomba msamaha lkn hatukuwa kusikia kelele za TECHapo ndipo huwa nawaelewa RC.Hawacheki na mihunihuni.Ukweli unooumiza kuliko kifo.
Umbeya huuWanataka kutoa tamko eti viongozi wa dini wamuache Samia afanye kazi.
Bakwata ni tawi la CCM.Bakwata wao wanasubiri tende na kobazi kutoka Oman
kama maelezo haya unaona waliotoa wazo la kuwaombea watu ni wajinga basi we ni mavi ya janaMimi ni Mkatoliki niliyepokea Sakramenti zote kama MLEI isipokuwa Sakramenti ya Mpako Mtakatifu wa Wagonjwa kwa maana ya;
i) Nimebatizwa katika Kanisa la Mtakatifu Peter Oystebay mwaka 1978.
ii) Nimepokea Ekaristi Takatifu mwaka 1985 Parokia Mpya (wakati huo) ya Mtakatifu Maximilian Kolbe, Mwenge.
iii) Nimepokea Sakramenti Takatifu ya Kipaimara Parokia ya Kabashana, Buyango, Jimbo Katoliki Bukoba mwaka 1988.
iv) Nimefunga Ndoa Takatifu mwaka 2005 katika Parokia ya Mt. Justine Bujora (kwenye nyoka za Wasukuma, ahahahahaha) mwaka 2005.
Pia ni Mwana Jumuiya ndogo ndogo mwenye IMANI THABITI na dini yangu ya Kanisa Moja Katoliki la Mitume LAKINI sipo tayari kushiriki UJINGA unaoenezwa na kusambazwa na wajinga wajinga!
Sawa ili mradi umekubaliana na mawazo yangu, inatosha.kama maelezo haya unaona waliotoa wazo la kuwaombea watu ni wajinga basi we ni mavi ya jana
Taifa haliponywi kwa maombi bali kwa HAKI na UWAJIBIKAJI
Acha ujinga.Sema hawacheki na Muislam. Mbona Mkapa aliua sana tu mpk akatunga kitabu kuomba msamaha lkn hatukuwa kusikia kelele za TEC
Waendelee kupumzika kwa amani!
Kwanini una ROHO MBAYA SANA?Kweli katika hili la kuombea wafu nalo una leta siasa ?ni muhimu sana hata yule albino alieuawa na Padre nae aombewe, pamoja na familia yake iliyosahaulika nadhani itapendeza zaidi gentleman🐒
Hili kanisa lenu linahangaika na Sasa kisa chuki , pumbavuMisa nchi zima, Kanisa limeagiza Kesho watangaziwe kwenye jumuiya ndogo ndogo, jumapili tutangaze kanisani, na wiki yote inayofuata Itakuwa ya kutangaziana.