PostGE2025 Kanisa Katoliki limetoa maagizo ya tangazo la misa ya kuwaombea watu waliouawa 29 Oktoba 2025

PostGE2025 Kanisa Katoliki limetoa maagizo ya tangazo la misa ya kuwaombea watu waliouawa 29 Oktoba 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
kuna baadhi ya waamini wa kanisa katoliki siku hizi wanakimbia misa zinazo ongozwa na fr. Kitima sijui kwanini?

au kanisa nalo linafukuta ndani kwa ndani na limegawanyika kiaiana right?🐒
Kitima ndo kitu gani? Yule ni mwanasheria ata Misa anazoongoza ni chache sana. Alafu katoliki Kuna mapadri kibao, hatufati mtu sisi. Kitima nje ya TEC ni padri wa kawaida kama wengine. Tatizo anayewatuma hajui ata structure na namna wakatoliki wanavooperate.
 
Mother alitulia ,wakaimba taarabu sasa wamejitokeza wahusika..Wazee wa kutakatisha fedha ,hawaamini kwamba bandari imeenda na wanavyonuogopa mwarabu🤣🤣
 
Misa nchi zima, Kanisa limeagiza Kesho watangaziwe kwenye jumuiya ndogo ndogo, jumapili tutangaze kanisani, na wiki yote inayofuata Itakuwa ya kutangaziana.

======

Mwadhama Kardinali,

Wahashamu Maaskofu Wakuu,

Wahashamu Maaskofu.

Bwana Awape Amani!

YAH: WITO WA KUADHIMISHA MISA TAKATIFU KWA NIA YA KUOMBEA MAREHEMU NA WAATHIRIKA WA MATUKIO YA UCHAGUZI MKUU SIKU YA TAREHE 29 ОКТОВА 2025​

Kwa moyo wa kichungaji na kwa kutambua wajibu wetu wa kuliongoza Taifa la Mungu katika ukweli, haki upendo na mwanga wa Injili. Kwa barua hii nawaalika kuadhimisha Misa Takatifu kwa ajili ya kuliombea Taifa letu la Tanzania na sisi wenyewe. Katika kutimiza mwaka. moja tangu uchaguzi wa mwaka jana, tunakumbuka baadhi ya watu wetu kuumizwa, kupotea na hata kuuawa. Hali hiyo ya maumivu na msiba bado ipo kati ya watu wetu.

Katika mazingira haya, tunaitwa kusimama pamoja kama jumuiya ya waamini, tukimkabidhi Mwenyezi Mungu mwenye huruma Taifa letu, viongozi na watu wake. Tukiomba umoja, upendo, ukweli, mshikamano ambavyo ni matunda ya haki na amani. Kwa sauti ya upole, unyenyekevu, unyofu na majuto tuombe faraja kwa wanaolia, tumaini kwa waliokata tamaa, imani kwa wenye mahangaiko, haki na ukweli kwa waliopotea, busara kwa wasioelewa, uponyaji kwa wenye majeraha na upendo kwa wenye chuki. Pia huruma ya Mungu kwa wale waliotangulia mbele ya yake.

Tunaomba Misa Takatifu ziadhimishwe kwa nia hizo; walioumizwa, kupotea, kuuawa na kuliombea Taifa letu. Tunashauri Misa hiyo ifanyike katika Parokia, vituo vya sala na Taasisi za Kanisa kadiri iwezekanavyo siku ya Alhamisi 29 Oktoba 2026. Misa inaweza kufanyika asubuhi muda wa kawaida, au muda wowote unaofaa. Masomo ya siku au ya kuchagua yanaweza kutumika kwenye Misa hiyo.

Tukizidi kuliombea Taifa letu, naendelea kumshukuru Mungu kwa kila moja wenu kwa upendo, uelewa, ushirikiano na majitoleo yenu yasiyokoma.

Katika utumishi, upendo na ukweli,

+ Wolfgang Pisa, OFMCap

Askofu wa Lindi na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)
View attachment 3697014
Hapo hakuna waraka wa Baraza la Maaskofu, hii ni wanaharakati wametengeneza ili kuleta taharuki. Naungana na Lucas Mwashambwa kati hili. Kinachofanya niseme fake ni hiyo mihuri iko wazi kabisa kwamba imekuwa spinned pia kwenye salama Maaskofu wa Catholic huwa hawasemi "Bwana Awape Amani" bali husalimia kwa kusema "Amani Iwe Nanyi". Nahitimisha kwa kusema waraka fake huo! Wanaharakati waache ujinga!
 
Hahahahaaaa!
Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, Wala sio mdhaifu wa kuhangaika na vijivineno vya mawakala wa mashetani........atawapotezea tu kama anavyowapotezea mara zote. Hawajaanza Leo, hawatomaliza kesho.
Mbona huwa analialia Tec wametoa waraka 8 kwaajili yake tofauti na watangulizi wake, pia alisema anachukiwa kwasababu yeye ni mwanamke.
 
Watazisokota roho zao wenyewe na watakufa kwa chuki zao walizonazo zinazotokana na udini uliopita kiasi.
Rais ana majukumu makubwa ya kuliongoza taifa na kuwatumikia watanzania waliomchagua kuwatumikia na haweziumizwa na maneno ya mipasho ya mashoga wanaoishi bila kazi kwakuwa kuna wajinga wanaowapa hela za bure kwa kisingizio cha kumtolea Mungu sadaka.
Kama watu wakigoma kutoka sadaka wataacha kutoa mipasho yao na watatafuta kazi ya kufanya kwakuwa hawatakuwa na hela za bure wanazopewa bila kufanya kazi yoyote.
Hela za bure ? hiv wewe unawajua majesuits
 
Hvi huyu mama analala usingizi kweli mana jamani anachukiwa huyu bibi jamani dah
 
Kuna mdau kule kamuita baada ya mtume ni yeye. Kwa mapenzi ya Allah hii inchi tusipate kiongozi muislaam tunatia kichefuchefu waislaam na mapenzi ya kinaafiq
Ni wajinga, akili hawana. Vichwa vitupu mno, Katoriki waliwahi mpinga sana Magufuli enzai akiwa madarakani.

Katoriki inatupa heshima kubwa ndani ya nchi, wanajielewa na wanafanya kila kilicho kizuri kwa kadri ya uwezo wao.
 
Mbona huwa analialia Tec wametoa waraka 8 kwaajili yake tofauti na watangulizi wake, pia alisema anachukiwa kwasababu yeye ni mwanamke.
Alikuwa tu anawajulisha kuwa anajua Hila yao, baada ya hapo kawaacha waendelee na unafiki wao
 
Hvi huyu mama analala usingizi kweli mana jamani anachukiwa huyu bibi jamani dah
Sidhani kama kuna kiongozi wa nchi amewahi kuchukiwa kuzidi huyu. Ikitokea akafariki inaweza ikawa ni sherehe kubwa saana kwa wananchi.
 
Nashauri tuweke comment yenye hoja, yenye heshima na inayosisitiza umuhimu wa demokrasia bila kuonekana kama tunapinga amani.


Ninaunga mkono sana hatua hii ya Kanisa Katoliki. Hata hivyo, naomba viongozi wa Kanisa wafikirie uwezekano wa kuandaa Misa hiyo kwenye uwanja mkubwa badala ya kanisani, ili kuruhusu watu wengi zaidi kushiriki. Hili ni tukio linalogusa taifa zima, si waumini wa Kanisa Katoliki pekee.


Misa hiyo iwe nafasi ya kuwakumbuka waliopoteza maisha, kuwaombea waliojeruhiwa na kuombea uponyaji wa taifa letu. Pia iwe ukumbusho kwa watawala kwamba demokrasia, haki za binadamu na kuheshimu maisha ya wananchi ni misingi muhimu ya amani ya kudumu. Amani ya kweli haiwezi kutenganishwa na haki, uwajibikaji na kuheshimu sauti ya wananchi.


Tunaiomba Kanisa liendelee kusimama katika nafasi yake ya kuhubiri haki, upendo na maridhiano ya kweli kwa ajili ya mustakabali wa Tanzania.
Taifa haliponywi kwa maombi bali kwa HAKI na UWAJIBIKAJI
 
Kanisa liwaombea pia hata hata wadau wa jf, wenye mihemko nonsense jukwaan, watukanaji na waporomosha matusi wote, ili hatimae roho mtakatifu ahuishe mioyo na fikra zao, wapate utulivu wa kifikra na kuchangia mijadala bila kutukana na itapendeza zaidi🐒
Tutamfichua Samia Suluhu Hassan huko mnakomuuguza ukichaa wake kwa kificho Ili aje kuwa mgeni rasmi katika kumbukizi hii muhimu ya marehemu ndugu zetu mliowaua Ili mpate madaraka na vyeo vya udiwani, ubunge na u-Rais hayawani wakubwa nyie..!!

Na salama yenu ni Moja tu, kuukiri ukweli wa makosa yenu, kuwajibika kisiasa na kisheria na Kisha mtubu ili Mungu awarehemu....

La sivyo, na msitubu Leo, ghadhabu ya adhabu ya hukumu kali ya Mungu iko juu ya vichwa vyenu na watoto wenu hata kizazi cha 4 hayawani wakubwa nyie, washupaza shingo, wenye viburi na jeuri ya kishetani..!
 
Mimi ni Mkatoliki niliyepokea Sakramenti zote kama MLEI isipokuwa Sakramenti ya Mpako Mtakatifu wa Wagonjwa kwa maana ya;
i) Nimebatizwa katika Kanisa la Mtakatifu Peter Oystebay mwaka 1978.
ii) Nimepokea Ekaristi Takatifu mwaka 1985 Parokia Mpya (wakati huo) ya Mtakatifu Maximilian Kolbe, Mwenge.
iii) Nimepokea Sakramenti Takatifu ya Kipaimara Parokia ya Kabashana, Buyango, Jimbo Katoliki Bukoba mwaka 1988.
iv) Nimefunga Ndoa Takatifu mwaka 2005 katika Parokia ya Mt. Justine Bujora (kwenye nyoka za Wasukuma, ahahahahaha) mwaka 2005.
Pia ni Mwana Jumuiya ndogo ndogo mwenye IMANI THABITI na dini yangu ya Kanisa Moja Katoliki la Mitume LAKINI sipo tayari kushiriki UJINGA unaoenezwa na kusambazwa na wajinga wajinga!
Huo ni ujinga kabisa ,
 
Katoliki mmekaa ,zile fuji zenu midomoni ila ni nyoka vibisa
 
Misa nchi zima, Kanisa limeagiza Kesho watangaziwe kwenye jumuiya ndogo ndogo, jumapili tutangaze kanisani, na wiki yote inayofuata Itakuwa ya kutangaziana.

======

Mwadhama Kardinali,

Wahashamu Maaskofu Wakuu,

Wahashamu Maaskofu.

Bwana Awape Amani!

YAH: WITO WA KUADHIMISHA MISA TAKATIFU KWA NIA YA KUOMBEA MAREHEMU NA WAATHIRIKA WA MATUKIO YA UCHAGUZI MKUU SIKU YA TAREHE 29 ОКТОВА 2025​

Kwa moyo wa kichungaji na kwa kutambua wajibu wetu wa kuliongoza Taifa la Mungu katika ukweli, haki upendo na mwanga wa Injili. Kwa barua hii nawaalika kuadhimisha Misa Takatifu kwa ajili ya kuliombea Taifa letu la Tanzania na sisi wenyewe. Katika kutimiza mwaka. moja tangu uchaguzi wa mwaka jana, tunakumbuka baadhi ya watu wetu kuumizwa, kupotea na hata kuuawa. Hali hiyo ya maumivu na msiba bado ipo kati ya watu wetu.

Katika mazingira haya, tunaitwa kusimama pamoja kama jumuiya ya waamini, tukimkabidhi Mwenyezi Mungu mwenye huruma Taifa letu, viongozi na watu wake. Tukiomba umoja, upendo, ukweli, mshikamano ambavyo ni matunda ya haki na amani. Kwa sauti ya upole, unyenyekevu, unyofu na majuto tuombe faraja kwa wanaolia, tumaini kwa waliokata tamaa, imani kwa wenye mahangaiko, haki na ukweli kwa waliopotea, busara kwa wasioelewa, uponyaji kwa wenye majeraha na upendo kwa wenye chuki. Pia huruma ya Mungu kwa wale waliotangulia mbele ya yake.

Tunaomba Misa Takatifu ziadhimishwe kwa nia hizo; walioumizwa, kupotea, kuuawa na kuliombea Taifa letu. Tunashauri Misa hiyo ifanyike katika Parokia, vituo vya sala na Taasisi za Kanisa kadiri iwezekanavyo siku ya Alhamisi 29 Oktoba 2026. Misa inaweza kufanyika asubuhi muda wa kawaida, au muda wowote unaofaa. Masomo ya siku au ya kuchagua yanaweza kutumika kwenye Misa hiyo.

Tukizidi kuliombea Taifa letu, naendelea kumshukuru Mungu kwa kila moja wenu kwa upendo, uelewa, ushirikiano na majitoleo yenu yasiyokoma.

Katika utumishi, upendo na ukweli,

+ Wolfgang Pisa, OFMCap

Askofu wa Lindi na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)
View attachment 3697014
Historical and Political Ties
    • Colonial Alignment: Since the Belgian colonial era, the Catholic Church was closely tied to the state. The church initially favored the Tutsi minority during colonial rule, but shifted its political allegiance to the Hutu majority around the time of Rwanda's independence. [1, 2, 3]
    • Elite Integration: In the decades leading up to 1994, church leaders became part of the ruling Hutu elite. Archbishop Vincent Nsengiyumva sat on the central committee of the ruling party for nearly 15 years. [1, 2]
    • Ethnic Division: Critics and survivors note that the church helped cement the ethnic classifications and ideologies that divided Hutus and Tutsis. [1, 2]

Complicity and Violence During the Genocide
    • Slaughter on Church Grounds: Many of the victims sought sanctuary inside Catholic churches, convents, and parish grounds, only to be trapped and massacred there by Hutu militia (Interahamwe) with the active complicity or betrayal of local clergy. [1, 2, 3]
    • Participation by Clergy: Some Catholic priests, nuns, and monks abandoned their evangelical mission, actively participated in the killings, or handed over refugees to the killers. For example, priests like Jean François Kayiranga and Edouard Nkurikiye were convicted for luring thousands of Tutsis to a church in Nyange before it was attacked and bulldozed. [1, 2, 3, 4]
    • Institutional Silence: As the massacres unfolded, the upper hierarchy of the local church and the Vatican initially failed to condemn the violence or recognize it as a genocide. [1, 2]

Accountability and Apologies
    • Trials: A small number of clergy members were later prosecuted and convicted by national courts, traditional gacaca village courts, and international bodies such as the International Criminal Tribunal for Rwanda (ICTR) or courts in Belgium. [1]
    • Vatican Apology: On March 20, 2017, Pope Francis met with Rwandan President Paul Kagame at the Vatican and formally asked God's forgiveness for the sins and failings of the church and its members during the genocide. [1, 2]
 
The Roman Catholic Church played a foundational, theological, and institutional role in legitimizing and participating in the transatlantic slave trade. Over several centuries, the institution evolved from providing the legal framework for the enslavement of non-Christians to directly owning enslaved people, and finally, to issuing formal apologies. [1, 2, 3, 4]

1. The Legal and Theological Foundation (15th Century)
Before the transatlantic slave trade began in earnest, the papacy provided the legal justification for European empires to conquer lands and enslave their populations. This was done through a series of official papal decrees known as Papal Bulls: [1, 2]
  • Dum Diversas (1452): Issued by Pope Nicholas V, this decree granted King Alfonso V of Portugal the authority to invade, capture, and "reduce their persons to perpetual slavery" any "Saracens [Muslims], pagans, and other enemies of Christ". [1]
  • Romanus Pontifex (1455): Also issued by Pope Nicholas V, this bull extended these rights, giving Portugal a monopoly over trade and settlement in West Africa, explicitly authorizing the enslavement of sub-Saharan Africans under the guise of converting them to Christianity. [1, 2]
  • Inter Caetera (1493): Issued by Pope Alexander VI, this bull drew a line across the Atlantic Ocean, dividing the newly "discovered" lands between Spain and Portugal, effectively giving religious sanction to the colonization and subsequent enslavement networks in the Americas.

2. Direct Institutional Participation
The Church did not merely permit slavery; its entities actively participated in the economy of enslavement across the Americas and Europe: [1, 2]
  • Property Ownership: Catholic religious orders—including the Jesuits, Dominicans, Franciscans, and various orders of nuns—owned massive plantations and estates throughout Latin America, the Caribbean, and North America. They relied directly on enslaved labor to fund their missions, schools, and monasteries. [1]
  • Financing and Charities: In places like Brazil, Catholic lay brotherhoods and charitable institutions (such as the Santa Casa da Misericórdia) owned enslaved people and occasionally auctioned off enslaved children to raise funds for Catholic charities. [1]
  • Enforced Rules, Not Abolition: While the Church mandated that enslaved people be baptized, receive the sacraments, and be allowed to marry, it did not challenge the morality of the institution itself. For centuries, the local clergy prioritized converting enslaved people to Christianity rather than freeing them. [1]

3. Historical Contradictions and Shift toward Abolition
The Church's historical record on slavery contains internal contradictions, largely separating the treatment of Indigenous peoples of the Americas from Black Africans: [1, 2]
  • Indigenous Protections: Popes occasionally stepped in to protect Indigenous populations. For example, Pope Paul III issued the bull Sublimis Deus (1537), which declared that Indigenous peoples of the Americas were rational human beings who should not be enslaved. However, this protection was rarely extended to Black Africans, and the transatlantic trade continued to flourish.
  • In Suprema Apostolatus (1839): It was not until 1839 that Pope Gregory XVI issued a definitive condemnation of the transatlantic slave trade, forbidding all Catholics from participating in the trafficking of human beings. Even then, the decree faced resistance from some Catholic bishops in slave-holding nations, such as the United States, who argued it only applied to the international slave trade, not the ownership of existing enslaved people. [1, 2]

4. Modern Reckoning and Apologies
In recent decades, the Vatican has actively confronted its historical complicity: [1]
  • Pope John Paul II (1992): Visited Gorée Island in Senegal—a major historical slave-trading post—and begged for forgiveness for the sins of Christians who participated in the trade.
  • Vatican Penitential Service (2024): Top Vatican officials issued a formal apology during a penitential service at St. Peter's Basilica, explicitly asking for forgiveness for the Church's role as an "accomplice" to slavery and colonialism.
  • Pope Leo XIV: Issued the most direct and institutionally accountable apology yet, formally repenting for the Vatican's historic role in legitimizing and facilitating the transatlantic slave trade. The move was widely commended by nations heavily impacted by the trade, including Ghana's official acknowledgment of it as an important step toward global justice. [1]
 
Tutamfichua Samia Suluhu Hassan huko mnakomuuguza ukichaa wake kwa kificho Ili aje kuwa mgeni rasmi katika kumbukizi hii muhimu ya marehemu ndugu zetu mliowaua Ili mpate madaraka na vyeo vya udiwani, ubunge na u-Rais hayawani wakubwa nyie..!!

Na salama yenu ni Moja tu, kuukiri ukweli wa makosa yenu, kuwajibika kisiasa na kisheria na Kisha mtubu ili Mungu awarehemu....

La sivyo, na msitubu Leo, ghadhabu ya adhabu ya hukumu kali ya Mungu iko juu ya vichwa vyenu na watoto wenu hata kizazi cha 4 hayawani wakubwa nyie, washupaza shingo, wenye viburi na jeuri ya kishetani..!
Kama kanisa katoliki sio gentleman mkiongozwa na kitima na pisa right?

mbona chuki ya kanisa katoliki dhifi ya viongozi wa kitaifa wasio wakatoliki inafahamika tangu kitambo tu gentleman, na ndio maana hata huu unafiki wa kuitisha misa ya kinafiki hata haushangazi?

ama hufahamu hilo gentleman?🐒
 
Back
Top Bottom