CDF nae.Makamu wa Rais, IGP na Mapolisi waende kwenye hii misa kuanza kulipinya taifa.
sawa sawaMakamu wa Rais, IGP na Mapolisi waende kwenye hii misa kuanza kulipinya taifa
itapendeza sana wakiungana na wakatoliki na wao wakafanya maombeziThat's good
Tunasubili taasisi nyingine za dini .
Watu wengi wali kufa n muhimu kuwaombea.
Haishangazi, kwenye uapisho wa rais si walisema waliokufa wote wako peponi, maana Ile ilikua vita ya msalabaMisa nchi zima, Kanisa limeagiza Kesho watangaziwe kwenye jumuiya ndogo ndogo, jumapili tutangaze kanisani, na wiki yote inayofuata Itakuwa ya kutangaziana.
======
Mwadhama Kardinali,
Wahashamu Maaskofu Wakuu,
Wahashamu Maaskofu.
Bwana Awape Amani!
YAH: WITO WA KUADHIMISHA MISA TAKATIFU KWA NIA YA KUOMBEA MAREHEMU NA WAATHIRIKA WA MATUKIO YA UCHAGUZI MKUU SIKU YA TAREHE 29 ОКТОВА 2025
Kwa moyo wa kichungaji na kwa kutambua wajibu wetu wa kuliongoza Taifa la Mungu katika ukweli, haki upendo na mwanga wa Injili. Kwa barua hii nawaalika kuadhimisha Misa Takatifu kwa ajili ya kuliombea Taifa letu la Tanzania na sisi wenyewe. Katika kutimiza mwaka. moja tangu uchaguzi wa mwaka jana, tunakumbuka baadhi ya watu wetu kuumizwa, kupotea na hata kuuawa. Hali hiyo ya maumivu na msiba bado ipo kati ya watu wetu.
Katika mazingira haya, tunaitwa kusimama pamoja kama jumuiya ya waamini, tukimkabidhi Mwenyezi Mungu mwenye huruma Taifa letu, viongozi na watu wake. Tukiomba umoja, upendo, ukweli, mshikamano ambavyo ni matunda ya haki na amani. Kwa sauti ya upole, unyenyekevu, unyofu na majuto tuombe faraja kwa wanaolia, tumaini kwa waliokata tamaa, imani kwa wenye mahangaiko, haki na ukweli kwa waliopotea, busara kwa wasioelewa, uponyaji kwa wenye majeraha na upendo kwa wenye chuki. Pia huruma ya Mungu kwa wale waliotangulia mbele ya yake.
Tunaomba Misa Takatifu ziadhimishwe kwa nia hizo; walioumizwa, kupotea, kuuawa na kuliombea Taifa letu. Tunashauri Misa hiyo ifanyike katika Parokia, vituo vya sala na Taasisi za Kanisa kadiri iwezekanavyo siku ya Alhamisi 29 Oktoba 2026. Misa inaweza kufanyika asubuhi muda wa kawaida, au muda wowote unaofaa. Masomo ya siku au ya kuchagua yanaweza kutumika kwenye Misa hiyo.
Tukizidi kuliombea Taifa letu, naendelea kumshukuru Mungu kwa kila moja wenu kwa upendo, uelewa, ushirikiano na majitoleo yenu yasiyokoma.
Katika utumishi, upendo na ukweli,
+ Wolfgang Pisa, OFMCap
Askofu wa Lindi na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)
View attachment 3697014
Bishop Wolfgang PisaMisa nchi zima, Kanisa limeagiza Kesho watangaziwe kwenye jumuiya ndogo ndogo, jumapili tutangaze kanisani, na wiki yote inayofuata Itakuwa ya kutangaziana.

Pia wataombewa na wale walioenda kuinamishana kwenye al kaabaok.
sawa na ibada ifanyike kwa amani.
msisahau pia kuwaombea na wale wote walio athirika baada ya dhuluma za kingono kama vile kupigwa mimba na kulawitiwa na mapadre na viongozi mbalimbali wa kanisa dunia kote na Mungu wa huruma awajaalie faraja ya amani mioyoni mwao na itapendeza zaidi 🐒
Chokochoko hazitoisha Hadi 2030 atakapoondoka, hilo linajulikana na Haina shida, watakwepwa tena.
Walitoa waraka wa kugomea uchaguzi wenye maudhui ya kuungama Moja kwa Moja na kiongozi flani aliyeapa kufanya fujo (na kweli waliofanya)
Walifanya maombi ya kumuangamiza kiongozi wetu wasiompenda n.k ............. they are just more of the same
Sio waliokufa ni waliouwawa na SamiaHaishangazi, kwenye uapisho wa rais si walisema waliokufa wote wako peponi, maana Ile ilikua vita ya msalaba
Waliuawa na vyombo vya dola kutokana uscenge waoSio waliokufa ni waliouwawa na Samia
Au sio? Mungu anayajua na anadeal na yaliyojificha mioyoni mwetu na si maneno yaliyopakwa rangi nzuuuuri hapana. Ingekuwa hivyo mama Samia Suluhu Hassan asingekuwa Raisi Leo sawa na chuki na matakwa yao.Crap from empty satanic head.
Hahahahaaaa!Nawaza tu neno kuu katika maombi hayo itakuwaje maana hapo bibi mdashi atasokotwa kwa neno hadi kichwa kiwake moto
Mimi ni Mkatoliki niliyepokea Sakramenti zote kama MLEI isipokuwa Sakramenti ya Mpako Mtakatifu wa Wagonjwa kwa maana ya;Misa nchi zima, Kanisa limeagiza Kesho watangaziwe kwenye jumuiya ndogo ndogo, jumapili tutangaze kanisani, na wiki yote inayofuata Itakuwa ya kutangaziana.
======
Mwadhama Kardinali,
Wahashamu Maaskofu Wakuu,
Wahashamu Maaskofu.
Bwana Awape Amani!
YAH: WITO WA KUADHIMISHA MISA TAKATIFU KWA NIA YA KUOMBEA MAREHEMU NA WAATHIRIKA WA MATUKIO YA UCHAGUZI MKUU SIKU YA TAREHE 29 ОКТОВА 2025
Kwa moyo wa kichungaji na kwa kutambua wajibu wetu wa kuliongoza Taifa la Mungu katika ukweli, haki upendo na mwanga wa Injili. Kwa barua hii nawaalika kuadhimisha Misa Takatifu kwa ajili ya kuliombea Taifa letu la Tanzania na sisi wenyewe. Katika kutimiza mwaka. moja tangu uchaguzi wa mwaka jana, tunakumbuka baadhi ya watu wetu kuumizwa, kupotea na hata kuuawa. Hali hiyo ya maumivu na msiba bado ipo kati ya watu wetu.
Katika mazingira haya, tunaitwa kusimama pamoja kama jumuiya ya waamini, tukimkabidhi Mwenyezi Mungu mwenye huruma Taifa letu, viongozi na watu wake. Tukiomba umoja, upendo, ukweli, mshikamano ambavyo ni matunda ya haki na amani. Kwa sauti ya upole, unyenyekevu, unyofu na majuto tuombe faraja kwa wanaolia, tumaini kwa waliokata tamaa, imani kwa wenye mahangaiko, haki na ukweli kwa waliopotea, busara kwa wasioelewa, uponyaji kwa wenye majeraha na upendo kwa wenye chuki. Pia huruma ya Mungu kwa wale waliotangulia mbele ya yake.
Tunaomba Misa Takatifu ziadhimishwe kwa nia hizo; walioumizwa, kupotea, kuuawa na kuliombea Taifa letu. Tunashauri Misa hiyo ifanyike katika Parokia, vituo vya sala na Taasisi za Kanisa kadiri iwezekanavyo siku ya Alhamisi 29 Oktoba 2026. Misa inaweza kufanyika asubuhi muda wa kawaida, au muda wowote unaofaa. Masomo ya siku au ya kuchagua yanaweza kutumika kwenye Misa hiyo.
Tukizidi kuliombea Taifa letu, naendelea kumshukuru Mungu kwa kila moja wenu kwa upendo, uelewa, ushirikiano na majitoleo yenu yasiyokoma.
Katika utumishi, upendo na ukweli,
+ Wolfgang Pisa, OFMCap
Askofu wa Lindi na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)
View attachment 3697014
Hakuna zuio!, hakuna tamko!, kwasababu hayo maombi Yao hayana madhara kwa mamlaka!. Wangesema wataandamqna tungeogopa kidogo!, ila kufanya maombi tu?!.Nasubiri kuona watakuja na zuio la aina gani
Tusubiri tangazo na tamko ?
Hakuna mkatoliki anayempinga Askofu wakeMimi ni Mkatoliki niliyepokea Sakramenti zote kama MLEI isipokuwa Sakramenti ya Mpako Mtakatifu wa Wagonjwa kwa maana ya;
i) Nimebatizwa katika Kanisa la Mtakatifu Peter Oystebay mwaka 1978.
ii) Nimepokea Ekaristi Takatifu mwaka 1985 Parokia Mpya (wakati huo) ya Mtakatifu Maximilian Kolbe, Mwenge.
iii) Nimepokea Sakramenti Takatifu ya Kipaimara Parokia ya Kabashana, Buyango, Jimbo Katoliki Bukoba mwaka 1988.
iv) Nimefunga Ndoa Takatifu mwaka 2005 katika Parokia ya Mt. Justine Bujora (kwenye nyoka za Wasukuma, ahahahahaha) mwaka 2005.
Pia ni Mwana Jumuiya ndogo ndogo mwenye IMANI THABITI na dini yangu ya Kanisa Moja Katoliki la Mitume LAKINI sipo tayari kushiriki UJINGA unaoenezwa na kusambazwa na wajinga wajinga!
Asante sana kwa mtazamo mzuri ulionao! Kuna wanaodhani dr.Samia Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania anaogopa kelele za makanisani!.Hahahahaaaa!
Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, Wala sio mdhaifu wa kuhangaika na vijivineno vya mawakala wa mashetani........atawapotezea tu kama anavyowapotezea mara zote. Hawajaanza Leo, hawatomaliza kesho.