Kanisa Katoliki mnazingua, michango imekuwa kero

Katoliki bwana.

Zamani walikuwa wanatia sadaka randomly ila wakabadili gia angani wakalazimisha sadaka wananyanyuka benchi kwa benchi ili wakwepaji sadaka waaibike.
Ila kuna watu kwenye hizi dini wanapiga hela ndefu kupitia ulaghai wa kumtolea Mungu.
 
.KUU NIMEKUTAAA HAYA MALALAMIKO JUMUIYAA LEOO NAHISI MNABEMBELEZANA. NAFANYA WATU WASIPELEKE WATOTO. KUSALI WANAFANYA SEHEMU YAM ITAJI
 
Unachoandikaaa unasahauu kinakujumba na wewe unaehudhuria jumuiyaaa. Ninekyta malalamiko jumuiy..msifanye mitaji watotoo wetuuu mnatafuta dhambi
 
Mingine inazungushwa. Mi ni Mroma naelewa sana hizi changamoto. Si tulipigwa msalaba wa bati laki 8. Paroko kaja kujua msalaba umepandishwa Usiku wa manane
Sasa waumini unyonge ni mwisho.tuwe tunashauri twende hivi hili ndiyo kwa sasa na hili hapana kwa sasa.
 
Kwa hiyo kanisa lenu ufukara na kupretend maisha ni sifa.. hizi dini bana ndiomaana mnazidi kuwa machizi, hao wachungaji wanawaibia mamilion ya pesa kupitia michango ya pesa zenu, huku wakijifanya wanaishi maisha mnayoishi ninyi.

Mngetumia akili japo kidogo mngeona kuwa mafundisho ya hizo takataka zenu za makanisani ni tofauti na biblia, yaan mnaenda kinyume na biblia inavyotaka muwe.

Anyway, kama mnazipenda hizo dini kwanini mnalialia kukamuliwa pesa? Endeleeni kutoa sadaka mpaka mwisho wenu, maana ndio maisha mliyoyachagua.

Kiuhalisia sadaka ya kweli kwa kizazi hiki ni kuwasaidia masikini, wajane wenye uhitaji, wagonjwa na mayatima, tofauti na hapo mnapoteza bure hizo pesa zenu na hakuna linalobadirika ktk maisha yenu.

Mnapoteza muda wenu buree makanisani.
 
Pia suala la kujenga makanisa kila siku limekuwa kero sana. Kanisa moja likiisha tayari wanaleta mpango wa kujenga lingine. K.K.K.T Dar es Salaam na kanisa katoliki mjitafakari sana.
 
saivi wameanza kuwakamua madogo kwa "gia ya kuwazoesha kutoa wakiwa bado wadogo" wamegundua wazazi wamekuwa watata ila dogo akija kukulilia lazima mzazi ulegee mwenyewe
 
Hasa wale wanaohesabu sadaka na mweka hazina jaman hawa watu wanapiga sadaka hatar tumeshafukuza mmoja aibu tele na kanisan haji tena
 
Unyenyekevu uendane na kufikiri kwa akili. Tuanze kujua kuwa kuna mambo makuu mawili ktk hizi dini zetu;
1. Imani
2. Tafakari chanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…