reaction ya pro-Catholic ni as if KITIMA ni JESUS na VATICAN ni peponiAcha mikwara mbuzi, Vatican ni nchi yenyewe watu 1000 tu hawana lolote! Wanaishia kwa sadaka Mali za wizi walizipora wakati wa ukoloni.
Kitima na CHADEMA mnakijua mlichofanyiana. Hii ni false flag attack lawama ziende kwa msiyempenda!
Hakuna kurudi nyuma! Kazi iendelee!
Aache kukemea wezi wa kura.Mna mikwara ila waoga , π€£ π€£ Mara nyingi ni fitina kama ni kiongozi wa dini ni vyema aachane na mambo ya siasa..Huko kwenye siasa atadhalilishwa sana ,aache ujinga ...Mbona wengi wametulia.
Kitima ndio Kanisa? Msipende kujipa umuhimu ambao hamna.Siasa za Tanzania ziishie Tanzania zisivuke mipaka. Chuki za serikali kwa Chadema zisiliingize Kanisa. Kanisa ni kubwa kuliko chama chochote cha siasa nchini, kiwe CCM au CHADEMA kimuundo, kiuchumi, kiuwezo, idadi ya wanachama. Lipo dunia nzima.
Ili Kanisa lijiendeshe duniani kiufasaha limeundwa na mashirika mengi mojawapo ni Shirika la 'Jesuit'.
JESUIT ni shirika la kijasusi la Kanisa Katoliki ni idara ya ulinzi na usalama ya kanisa Katoliki ni Polisi na 'TISS' ya Kanisa.
Hili shirika lipo hadi Tanzania. Linaundwa na makada wasomi kwenye fani zote, wapo madaktari, mainjinia, polisi, wanajeshi, wahasibu ina pia viongozi wakuu kwenye serikali nyingi duniani, lina watu wake kwenye idara nyeti za serikali, ina shule zake, vyuo vikuu vyake, na hospitali zake.
Uwezo wa shirika hili ni mkubwa kiasi kwamba linaweza kumuweka au kumuondoa kiongozi yeyote wa serikali hata Rais.
Usalama wa Makardinali, Mapadri, Maaskofu, Maparoko upo chini ya shirika hili na lina ripoti moja kwa moja Vatican. Padri au Askofu yeyote akidhuliwa Jesuits wa eneo hilo wanakuwa answerable.
Usalama wa Padri Kitima upo chini ya shirika hili, kumshambulia Padri Kitima ni kulishambulia Kanisa sio sawa na kumshambulia Kibao wa Chadema.
Hadi sasa taarifa za kushambuliwa kwake zipo Vatican zinafanyiwa kazi kwa umakini mkubwa, uzuri wa shirika hili huwa halikurupuki, halina papara hufanya kazi kwa usiri mkubwa, ripoti zake zinapotoka hutoka na matokeo chanya kwa Kanisa lakini zinaweza ziwe hasi kwa waliohusika.
Ex Jusuit.
Naomba Mods msiunganishe uzi huu una maudhui tofauti ya kuelimisha jamii.
Kamuulize Gadaffi kwa nini alikimbilia kwenye handaki.Acha mikwara mbuzi, Vatican ni nchi yenyewe watu 1000 tu hawana lolote! Wanaishia kwa sadaka Mali za wizi walizipora wakati wa ukoloni.
Kitima na CHADEMA mnakijua mlichofanyiana. Hii ni false flag attack lawama ziende kwa msiyempenda!
Hakuna kurudi nyuma! Kazi iendelee!
Kumbe Vatican ndio ilimtuma? So mtafanyaje kwani?Siasa za Tanzania ziishie Tanzania zisivuke mipaka. Chuki za serikali kwa Chadema zisiliingize Kanisa. Kanisa ni kubwa kuliko chama chochote cha siasa nchini, kiwe CCM au CHADEMA kimuundo, kiuchumi, kiuwezo, idadi ya wanachama. Lipo dunia nzima.
Ili Kanisa lijiendeshe duniani kiufasaha limeundwa na mashirika mengi mojawapo ni Shirika la 'Jesuit'.
JESUIT ni shirika la kijasusi la Kanisa Katoliki ni idara ya ulinzi na usalama ya kanisa Katoliki ni Polisi na 'TISS' ya Kanisa.
Hili shirika lipo hadi Tanzania. Linaundwa na makada wasomi kwenye fani zote, wapo madaktari, mainjinia, polisi, wanajeshi, wahasibu ina pia viongozi wakuu kwenye serikali nyingi duniani, lina watu wake kwenye idara nyeti za serikali, ina shule zake, vyuo vikuu vyake, na hospitali zake.
Uwezo wa shirika hili ni mkubwa kiasi kwamba linaweza kumuweka au kumuondoa kiongozi yeyote wa serikali hata Rais.
Usalama wa Makardinali, Mapadri, Maaskofu, Maparoko upo chini ya shirika hili na lina ripoti moja kwa moja Vatican. Padri au Askofu yeyote akidhuliwa Jesuits wa eneo hilo wanakuwa answerable.
Usalama wa Padri Kitima upo chini ya shirika hili, kumshambulia Padri Kitima ni kulishambulia Kanisa sio sawa na kumshambulia Kibao wa Chadema.
Hadi sasa taarifa za kushambuliwa kwake zipo Vatican zinafanyiwa kazi kwa umakini mkubwa, uzuri wa shirika hili huwa halikurupuki, halina papara hufanya kazi kwa usiri mkubwa, ripoti zake zinapotoka hutoka na matokeo chanya kwa Kanisa lakini zinaweza ziwe hasi kwa waliohusika.
Ex Jusuit.
Naomba Mods msiunganishe uzi huu una maudhui tofauti ya kuelimisha jamii.
Kuna mtu kazuiwa kulikosoa Kanisa au kumpiga mtu kwa rungu ndiko unaita kukosoa.reaction ya pro-Catholic ni as if KITIMA ni JESUS na VATICAN ni peponi, watu wawe huru kulikosoa kanisa (Church Neocolo Critique) kama wao wanavyoikosoa systen
Umekurupuka soma vizuri.Kumbe Vatican ndio ilimtuma? So mtafanyaje kwani?
Sisomi ujinga, Vatican ndio ilimtuma kufanya siasa?Umekurupuka soma vizuri.
Kama husomi ujinga nani kakuita huku kasome nyizi za kusifia wizi wa kuraSisomi ujinga, Vatican ndio ilimtuma kufanya siasa?
Nimekuja ku commentKama husomi ujinga nani kakuita huku
Unataka jeshi la polisi lipi?πHili jeshi linaloteka watu mchana kweupe na kwenda kuwatesa ndiyo lifanye uchungunguzi?
Aseeeeee! Hujui kitu kuhusu kanisa catholic kaa Kwa kutulia Ili uone kazi.Acha mikwara mbuzi, Vatican ni nchi yenyewe watu 1000 tu hawana lolote! Wanaishia kwa sadaka Mali za wizi walizipora wakati wa ukoloni.
Kitima na CHADEMA mnakijua mlichofanyiana. Hii ni false flag attack lawama ziende kwa msiyempenda!
Hakuna kurudi nyuma! Kazi iendelee!
Wameligoroga.Siasa za Tanzania ziishie Tanzania zisivuke mipaka. Chuki za serikali kwa Chadema zisiliingize Kanisa. Kanisa ni kubwa kuliko chama chochote cha siasa nchini, kiwe CCM au CHADEMA kimuundo, kiuchumi, kiuwezo, idadi ya wanachama. Lipo dunia nzima.
Ili Kanisa lijiendeshe duniani kiufasaha limeundwa na mashirika mengi mojawapo ni Shirika la 'Jesuit'.
JESUIT ni shirika la kijasusi la Kanisa Katoliki ni idara ya ulinzi na usalama ya kanisa Katoliki ni Polisi na 'TISS' ya Kanisa.
Hili shirika lipo hadi Tanzania. Linaundwa na makada wasomi kwenye fani zote, wapo madaktari, mainjinia, polisi, wanajeshi, wahasibu ina pia viongozi wakuu kwenye serikali nyingi duniani, lina watu wake kwenye idara nyeti za serikali, ina shule zake, vyuo vikuu vyake, na hospitali zake.
Uwezo wa shirika hili ni mkubwa kiasi kwamba linaweza kumuweka au kumuondoa kiongozi yeyote wa serikali hata Rais.
Usalama wa Makardinali, Mapadri, Maaskofu, Maparoko upo chini ya shirika hili na lina ripoti moja kwa moja Vatican. Padri au Askofu yeyote akidhuliwa Jesuits wa eneo hilo wanakuwa answerable.
Usalama wa Padri Kitima upo chini ya shirika hili, kumshambulia Padri Kitima ni kulishambulia Kanisa sio sawa na kumshambulia Kibao wa Chadema.
Hadi sasa taarifa za kushambuliwa kwake zipo Vatican zinafanyiwa kazi kwa umakini mkubwa, uzuri wa shirika hili huwa halikurupuki, halina papara hufanya kazi kwa usiri mkubwa, ripoti zake zinapotoka hutoka na matokeo chanya kwa Kanisa lakini zinaweza ziwe hasi kwa waliohusika.
Ex Jusuit.
Naomba Mods msiunganishe uzi huu una maudhui tofauti ya kuelimisha jamii.
Mshahara wa dhambi ni mauti. Walidhani wataonea wanyonge tu wasio na uwezo sasa wamejichanganya na kugusa pasipogusika!Kitendo cha kushambuliwa kwa Padri Dkt. Charles Kitima katika makazi yake, kama inavyoripotiwa, ni tendo la kishenzi linalohitaji kulaaniwa na kila mtu anayeipenda amani na utulivu wa Taifa letu la Tanzania. Hili sio suala la uhalifu wa kawaida, bali ni kitendo chenye nia mbaya ambacho kinaweza kuathiri umoja na mshikamano wa jamii yetu.
Naiomba Jeshi la Polisi la Tanzania (@tanpol) kufanya uchunguzi wa kina na wa haraka, na kutoa taarifa kwa umma kwa wakati ufaao. Natarajia kwamba wahusika wote waliotekeleza kitendo hiki watakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria kwa mujibu wa sheria za nchi yetu. Kitendo hiki ni cha aibu, kinyama, na kinaweza kusababisha athari mbaya kwa maendeleo ya amani na ustawi wa Taifa letu.
Pia, namtakia Padri Dkt. Charles Kitima apone haraka na Mungu ampe nguvu pamoja na familia yake katika kipindi hiki kigumu. Tujenge Taifa la amani, upendo, na haki kwa wote.
Jamaa kanifurahisha sanaTrump: Natamani niwe Papa wa Katoliki
πππΉπΏ
Kanisa halijawahi kukataa kukosolewa, ila sio kwa namna ya kuumiza viongozi ma watumishi wake.reaction ya pro-Catholic ni as if KITIMA ni JESUS na VATICAN ni peponi, watu wawe huru kulikosoa kanisa (Church Neocolo Critique) kama wao wanavyoikosoa systen