- Thread starter
- #61
Kama hujui chochote juu ya Kanisa na padri kaa chiniKitima ndio Kanisa? Msipende kujipa umuhimu ambao hamna.
Kama hujui chochote juu ya Kanisa na padri kaa chiniKitima ndio Kanisa? Msipende kujipa umuhimu ambao hamna.
Unataka nani aungane na wewe mnafikiNilichojifunza Kuna watu wanafiki sana humu, hukumu ya mashekhe walifurahia sana humu, leo upande umeguswa mwingine watu wanataka huruma. Hatuwezi tukaungana kwa unafiki
Jeshi la wokovu kama lililomtokea mwendazakeUnataka jeshi la polisi lipi?😂
Kuna sheria imevunjwa na huyo padre?...Sisomi ujinga, Vatican ndio ilimtuma kufanya siasa?
MJINGA WW. NN ALIKWAMBIA SIASA NA DINI ZINATOFAUTISHWA? KASOME MAANDIKO ACHA UFALA WWMna mikwara ila waoga , 🤣 🤣 Mara nyingi ni fitina kama ni kiongozi wa dini ni vyema aachane na mambo ya siasa..Huko kwenye siasa atadhalilishwa sana ,aache ujinga ...Mbona wengi wametulia.
Wahusika watasakwaKuna sheria imevunjwa na huyo padre?...
Kakosa nini?Siyo kudhalilishwa atamalizwa asiijaribu dola, hilo ni onyo tu wacha aendelee na kiherehere
Vipi DP WOLD mbona mlishindwa kuzuia.....mnapenda kujipa ukubwa msiokuwanoSiasa za Tanzania ziishie Tanzania zisivuke mipaka. Chuki za serikali kwa Chadema zisiliingize Kanisa. Kanisa ni kubwa kuliko chama chochote cha siasa nchini, kiwe CCM au CHADEMA kimuundo, kiuchumi, kiuwezo, idadi ya wanachama. Lipo dunia nzima.
Ili Kanisa lijiendeshe duniani kiufasaha limeundwa na mashirika mengi mojawapo ni Shirika la 'Jesuit'.
JESUIT ni shirika la kijasusi la Kanisa Katoliki ni idara ya ulinzi na usalama ya kanisa Katoliki ni Polisi na 'TISS' ya Kanisa.
Hili shirika lipo hadi Tanzania. Linaundwa na makada wasomi kwenye fani zote, wapo madaktari, mainjinia, polisi, wanajeshi, wahasibu ina pia viongozi wakuu kwenye serikali nyingi duniani, lina watu wake kwenye idara nyeti za serikali, ina shule zake, vyuo vikuu vyake, na hospitali zake.
Uwezo wa shirika hili ni mkubwa kiasi kwamba linaweza kumuweka au kumuondoa kiongozi yeyote wa serikali hata Rais.
Usalama wa Makardinali, Mapadri, Maaskofu, Maparoko upo chini ya shirika hili na lina ripoti moja kwa moja Vatican. Padri au Askofu yeyote akidhuliwa Jesuits wa eneo hilo wanakuwa answerable.
Usalama wa Padri Kitima upo chini ya shirika hili, kumshambulia Padri Kitima ni kulishambulia Kanisa sio sawa na kumshambulia Kibao wa Chadema.
Hadi sasa taarifa za kushambuliwa kwake zipo Vatican zinafanyiwa kazi kwa umakini mkubwa, uzuri wa shirika hili huwa halikurupuki, halina papara hufanya kazi kwa usiri mkubwa, ripoti zake zinapotoka hutoka na matokeo chanya kwa Kanisa lakini zinaweza ziwe hasi kwa waliohusika.
Ex Jusuit.
Naomba Mods msiunganishe uzi huu una maudhui tofauti ya kuelimisha jamii.
Wapuuzi hawa.Kitima ndio Kanisa? Msipende kujipa umuhimu ambao hamna.
Kkkenggge tu kama kkengge wengineAseeeeee! Hujui kitu kuhusu kanisa catholic kaa Kwa kutulia Ili uone kazi.
Kitima anaposhiriki siasa yeye ni mwananchi mkereketwa na critic wa serikali kama watu wengine, msipandishe hadhi sana, ni mwananchi kama wengine, na kazi/taaluma zote halali ni muhimu, kuwa padri siyo kitu specialKanisa halijawahi kukataa kukosolewa, ila sio kwa namna ya kuumiza viongozi ma watumishi wake.
Achana na huyo mjinga hajui history ya uhuru wa Tanganyika na kanisa catholicUmekiri mwenyewe kuwa Vatican ni nchi na ina watu 1,000 tu, lkn hujiulizi hao watu 1,000 wamewezaje kuwa na wafuasi zaidi ya 1.4 billion duniani how brave are they.
Wakitoa sadaka ya sh. 100 tu kila mmoja kwa siku wana sh ngapi, poor you.
Una uhakika hii ni nchi huru?Vatican is justva rubbish as any other rubbish. Hii ni nchi huru achana na hako kainchi kakusadikika ht MAREKANI haiwezi kutuingilia. We nyumbu zero brain tunasubiri huyo msemaji wao atoe tamko. Vatican ni km msukule ni nchi ya kudhania. Mnajaribu kutafuta kila support kwasababu mmeshapuuzwa na watanzania na mmekwisha maumbwa nyie.
Kunywa maji upumue.Vatican is justva rubbish as any other rubbish. Hii ni nchi huru achana na hako kainchi kakusadikika ht MAREKANI haiwezi kutuingilia. We nyumbu zero brain tunasubiri huyo msemaji wao atoe tamko. Vatican ni km msukule ni nchi ya kudhania. Mnajaribu kutafuta kila support kwasababu mmeshapuuzwa na watanzania na mmekwisha maumbwa nyie.
Kwahiyo dola ndilo limemshambuliaSiyo kudhalilishwa atamalizwa asiijaribu dola, hilo ni onyo tu wacha aendelee na kiherehere
Mbona unajibu kama mlevi?😂Jeshi la wokovu kama lililomtokea mwendazake