Kanisa Katoliki sio sawa na CHADEMA, kulishambulia ni kuishambulia Vatican

Utashaanga mitano tena ya Mama wanaoishi tandale kwa mtogole watakuja kupinga huu ukweli ngoja tuone
 
Kwamba Kanisa Katoliki Tanzania ni kubwa kuliko Serikali? Haya yatakuwa maoni ya kijinga kuyaona leo kwenye Sikukuu ya Mei Mosi.
 
reaction ya pro-Catholic ni as if KITIMA ni JESUS na VATICAN ni peponi , watu wawe huru kulikosoa kanisa (Church Neocolo Critique) kama wao wanavyoikosoa s
Mkuu sio Wakatoliki wote tuko hivyo. Hao ni vijana wa Chadema wanaoamini Kanisa Katoliki Tanzania lipo upande wao sana kuliko kwingine na wanafikiri watalitumia kuitisha Serikali. Hawajui kuwa Kanisa Katoliki Tanzania ni sawa na NGO tu!
 
Huna akili, nilitaka kukutukana
 
Mnao jiita TISS, wenzenu wanzanzibari wamewazidi ndio
Wanzanzibari waliopenyezwa kwenye mfumo ndio wanaopanga na kutekeleza mauaji huku tanganyika

Quote Reply
 
VATICAN ,hio ndio kitu gani ? Halafu Chadema ikishinda uchaguzi mkuu tunaondoa ubalozi wa Vatikan hii Nchi haipo ni miradi wa kula hela tu.
 
soon watesi watajua hawajui
 
Jitekenye
 
Usalama wa Padri Kitima upo chini ya shirika hili, kumshambulia Padri Kitima ni kulishambulia Kanisa sio sawa na kumshambulia Kibao wa Chadema.
Kuna kitu kibaya kinaninijia kila siku, eti it is like Tanzania kuna kitu kinaweza kutokea anytime, sijajua ni kitu gani but it is like kuna kitu kinaweza kutokea
 
Lilikua wapi akishambuliwa?!..huo umahiri ni myth?
 
Vatican is justva rubbish as any other rubbish. Hii ni nchi huru achana na hako kainchi kakusadikika ht MAREKANI haiwezi kutuingilia. We nyumbu zero brain tunasubiri huyo msemaji wao atoe tamko. Vatican ni km msukule ni nchi ya kudhania. Mnajaribu kutafuta kila support kwasababu mmeshapuuzwa na watanzania na mmekwisha maumbwa nyie.
 
Nchi sahv ina vijana wapumbavu sana, sasa zombie km ww utaisaidia nini nchi? Useless sperm.
 
Umekiri mwenyewe kuwa Vatican ni nchi na ina watu 1,000 tu, lkn hujiulizi hao watu 1,000 wamewezaje kuwa na wafuasi zaidi ya 1.4 billion duniani how brave are they.

Wakitoa sadaka ya sh. 100 tu kila mmoja kwa siku wana sh ngapi, poor you.
Poor ur mom! Bloodfuckin bustard!
 
Mna mikwara ila waoga , 🤣 🤣 Mara nyingi ni fitina kama ni kiongozi wa dini ni vyema aachane na mambo ya siasa..Huko kwenye siasa atadhalilishwa sana ,aache ujinga ...Mbona wengi wametulia.
Siyo kudhalilishwa atamalizwa asiijaribu dola, hilo ni onyo tu wacha aendelee na kiherehere
 
Mwambieni huyo mpumbavu wenu atulize makalio hilo ni onyo tu. Hii ni nchi yenye uongozi tena imara hakuna wa kuichezea, atapotezwa na dola huyo bwege na hakuna atakayetoa ht pua nje
 
Hakuna bravery, hao ni waumini tu kama walivyo Wahindu 2 billion hakuna jipya hapo!

Afterall Vatican ni fake county kwa sababu raia wake wote Wana dual citizenships!
Hao nyumbu wanashika kila tawi wameshaishiwa hoja. Vatican ni mdudu gani mpk aitishe Tanzania a great nation
 
Kuna mtu kazuiwa kulikosoa Kanisa au kumpiga mtu kwa rungu ndiko unaita kukosoa.
hajaumizwa na serikali au Polisi, ma-padre wanaishi kidunia kama sisi ingawa ni watawa, na wanakuwa na bifu mtaani ambazo si related na kanisa wala siasa, hao wahuni wameitumia fursa ya yeye kuwa critic wa CCM na Serikali yake. Kitima hana madhara yoyote kwa system, ni mtu mdogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…