Kanisa Katoliki sio sawa na CHADEMA, kulishambulia ni kuishambulia Vatican

Nilichojifunza Kuna watu wanafiki sana humu, hukumu ya mashekhe walifurahia sana humu, leo upande umeguswa mwingine watu wanataka huruma. Hatuwezi tukaungana kwa unafiki
Unataka nani aungane na wewe mnafiki
 
Acha ujinga wewe mshaurini Padre aache ulevi, anaendekeza pombe hadi anaanguka chooni kuficha aibu anasingiza kashambuliwa, kama padre ni muongo hivyo nyie waumini mna hali gani?
 
Mna mikwara ila waoga , 🤣 🤣 Mara nyingi ni fitina kama ni kiongozi wa dini ni vyema aachane na mambo ya siasa..Huko kwenye siasa atadhalilishwa sana ,aache ujinga ...Mbona wengi wametulia.
MJINGA WW. NN ALIKWAMBIA SIASA NA DINI ZINATOFAUTISHWA? KASOME MAANDIKO ACHA UFALA WW
 
Vipi DP WOLD mbona mlishindwa kuzuia.....mnapenda kujipa ukubwa msiokuwano
 
Siongi mkono mashambulizi dhidi ya mtu yoyote lakini hizo nguvu za Vatican ama kanisa katoliki ni vitisho vya kitoto tu na havina maana yoyote. Kanisa katoliki ama Vatican halina mamlaka ya kumuweka ama kumuondoa rais yoyote Duniani.
 
Kushambuliwa kwa Fr. Kitima ni kushambuliwa kwa Watatokiki na wapenda haki wote Tanzania.
 
Kanisa halijawahi kukataa kukosolewa, ila sio kwa namna ya kuumiza viongozi ma watumishi wake.
Kitima anaposhiriki siasa yeye ni mwananchi mkereketwa na critic wa serikali kama watu wengine, msipandishe hadhi sana, ni mwananchi kama wengine, na kazi/taaluma zote halali ni muhimu, kuwa padri siyo kitu special
 
Umekiri mwenyewe kuwa Vatican ni nchi na ina watu 1,000 tu, lkn hujiulizi hao watu 1,000 wamewezaje kuwa na wafuasi zaidi ya 1.4 billion duniani how brave are they.

Wakitoa sadaka ya sh. 100 tu kila mmoja kwa siku wana sh ngapi, poor you.
Achana na huyo mjinga hajui history ya uhuru wa Tanganyika na kanisa catholic
 
Una uhakika hii ni nchi huru?
 
Kunywa maji upumue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…