Kanisa Katoliki sio sawa na CHADEMA, kulishambulia ni kuishambulia Vatican

Nilitaka kusema kitu.... Au basi ngoja ninyamaze
 
umesema ukweli na kwa maana hiyo vatican iache kuishgambulia serikali ya awamu ya sita ambayo kiongozi wake ni mwislam

by the way ,una uhakika kwamba Padri kushambuliwa serikali inahusika?
 
Kamuulize Gadaffi kwa nini alikimbilia kwenye handaki.
Usichanganye visa na dhuluma za mabeberu na dini , hadi leo trump anawalaumu democrats kwa kilichofanyika iraq na libya, ule ni wizi tu kama wizi mwingine
Na sasahivi wanamlenga traore, embu nendeni shule mkaelimika haya mnayokngea ndio madhara ya poor education mnayoipata hamjui hata mifumo ya kidunia inaendaje mnabakia kushupaza shingo tu, muulize kitima dp world wapo dunia nzima kuanzia uingereza ,hadi australia yeye kadanganya watu eti wamekuja kueneza uislamu hivyo ni akili zile?
 
serikali ya CCM ishayachoka madraka...kila kitu kina mwanzo na mwisho wake
 
USHAURI WANGU KWA MARA NYINGINE, NIOMBE VYAMA VYOTE VYA SIASA NCHINI TANZANIA VIFUTWE AU VISIMAMISHWE KAZI KUPISHA UCHUNGUZI JUU YA TUHUMA ZA UTEKAJI,USHAMBULIAJI NA MAUWAJI YANAYOTOKEA NCHINI..KUTOKUFANYA HVO KUNAHATARISHA AMANI HUKU WANANCHI WAKIISHI KWA WASIWASI NA KUTOKUWA NA IMANI NA JESHI LAO PENDWA LA POLISI.
 
Unataka pilisi wajichunguze? Kile kikosi cha wasiojulikana kinachofanya huu uovu kinaundwa na baadhi ya polsi, TSS na TPF.
Duh,
Tatizo ni serikali kujaza makada wa ccm kwenye hivyo vyombo vya dola
 
Basi usiandae handaki tutakutana ICC kuelezea mabeberu.

Kwani Gadaffi kuna beberi alimfuata au ni rRaia walimshambulia?
 
Hujui unachosema time will tell
 
Msishiriki shughuli za kisiasa halaf mseme nyie ni vatcan, vatcan ndo kitu gani bwana. Acha anyoshwe kama kweli kaanza siasa avue joho avae gwanda akae kwenye mstari. Hawa mapoyoyo ndo wamesababisha israel wapiga hafi misikiti sababu wanawaficha wanajeshi humo
 
Basi usiandae handaki tutakutana ICC kuelezea mabeberu.

Kwani Gadaffi kuna beberi alimfuata au ni rRaia walimshambulia?
Ndio maana nasema elimu yetu ndio tatizo, ina maana hujui kama pale congo hadi vitoto vidogo vinageuzwa kuwa waasi ukiacha watu wazima,
waasi ni lazima wapate silaha ,support na maelekezo kutoka kwa wataalamu kwenye eneo hilo, silaha pesa na hata vyombo vya habari hununuliwa ili kutimiza ajenda
Waasi wa libya walikuwa na hivyo vyote na museveni na viongozi wa africa walikuwa wanaenda libya kwenye ndege serikali ya marekani iliwaambia tutalipua hadi hiyo ndege yenu huku msikanyage
Unajua kama boko harama wanapata hela kutoka usaid? Trump katoa siri
Hii dunia ni ya kibepari mataifa makubwa wanaangalia wapi watavuna tu na siyo kingine, leo canada inataka kuporwa na marekani
Greenland nayo inaporwa kimabavu
Huyu traore siyoni akifanikiwa kupambana na ubeberu hana miaka mingi, waasi watapewa silaha na hela kumuondoa ndio mifumo ya kibepari inavyofanya kazi
 
Hii ilienda too far. Makazi ya mapadre kwanza hata kuingia ingia tu raia ni kwa utaratibu maalum. Pale Kurasini sawa kuna wakati semina mbalimbali zinaendelea ila ni sehemu yenye heshima zake. Mbaya zaidi taarifa ilianza kwa kutaka kumchafua.

Likely Mdude ni product ya kutaka kuzima yaliyotokea kwa Kitima. Ealigundua walivuka mipaka. Na somehow wamefanikiwa maana focus imehamia kwa yule ambaye hajapatukana hadi sasa. But wamesahau congregations za jumapili. Kule church hata wale ambao wanaishi vijiji hawakusikia Padre kavamiwa na serikali watasikia. This is going to be very bad, inategemea watakuja na uchunguzi gani.

Ukweli ni kuwa viongozi wa kanisa taaluma zimelala, calculated response inayoweza kufuata serikali isianze kulialia. Hii inafika hadi Vatican, means dunia nzima, wasidhani hili ni kanisa la Malasusa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…