Kanisa Katoliki undeni (Parallel) tallying centre ili kujiridhisha na matokeo ya Tume Huru

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,842
Reaction score
3,922
1. Kwa hali ilivyo Katoliki ni kama hawana Imani na Tume Huru. Pengine ni wakati sasa na wao wakaunda (parallel) tallying centre ili kujumlisha Kura katika kila kituo. Zambia na DRC kanisa lilisimamia haki hadi leo Jenerali Joseph Kabila kastaafu huko DRC bila hivyo angekua bado madarakani.

2. Uzuri Kanisa Katoliki wana makanisa, vigango na jumuiya ndogondogo mpaka sehemu za vijijini hukoo kwa hiyo logistics ni rahisi tu. Taarifa zinaelekea kwa mfuatano huu >>> Mwenyekiti wa jumuiya -Katekista - Paroko - Askofu - Rais TEC

**Mapadri punguzeni spana. Mnachanganya dini na siasa, tuwaeleweje?
 
shida inakuja huyu mtawala atakimbilia udini wake au zanzibar wake kuwa nyie ni wahini
 
1. Kwa hali ilivyo Katoliki ni kama hawana Imani na Tume Huru. Pengine ni wakati sasa na wao wakaunda (parallel) tallying centre ili kujumlisha Kura katika kila kituo. Zambia na DRC kanisa lilisimamia haki hadi leo Kabila kastaafu huko DRC bila hivyo angekua bado madarakani.

2. Uzuri Kanisa Katoliki wana makanisa, vigango na jumuiya ndogondogo mpaka sehemu za vijijini hukoo kwa hiyo logistics ni rahisi tu.

**Mapadri punguzeni spana. Mnachanganya dini na siasa, tuwaeleweje?
Huko ni kwenda mbali zaid, si kazi yao and i dont thin ni busara at all
 
Unataka Wapigwe na kuuliwa mmoja mmoja maana Wameanza na Charles Kitima na sasa hivi wanamsaka yule Askofu B nae wampige mabanzi ikiwezekana wakamtupe Ununio
 
Busara ni ipi Ndugu? Kujumlisha Kura nako si busara?
You do realize kura hazipigwi na waumini wa kanisa moja tu?
Wanahesabu kura za nani? Maana kuhesabu waumini tu haireflect kura za eneo husika
 
Na zile sheria zenu za kanisa katoliki za kukataa kuzika baadhi ya waumini wenu vipi serekali iingilie kuja kuwalazimisha mkazike?
 
You do realize kura hazipigwi na waumini wa kanisa moja tu?
Wanahesabu kura za nani? Maana kuhesabu waumini tu haireflect kura za eneo husika
1. LHRC waliwahi kuwa na tallying centre 2020 walikua wanahesabu kura za nani? Veggies punguzeni woga. Best practice>>>> Zambia na DRC kwani hamna wananchi wa Imani nyingine?

2. Hata BAKWATA wakiweza kuweka parallel tallying centre Ruksa lengo ni kujiridhisha na kinachotangazwa na tume maana matokeo hayahojiwi popote.
 
Transparency
 
1. Kwa hali ilivyo Katoliki ni kama hawana Imani na Tume Huru. Pengine ni wakati sasa na wao wakaunda (parallel) tallying centre ili kujumlisha Kura katika kila kituo. Zambia na DRC kanisa lilisimamia haki hadi leo Jenerali Joseph Kabila kastaafu huko DRC bila hivyo angekua bado madarakani.

2. Uzuri Kanisa Katoliki wana makanisa, vigango na jumuiya ndogondogo mpaka sehemu za vijijini hukoo kwa hiyo logistics ni rahisi tu. Taarifa zinaelekea kwa mfuatano huu >>> Mwenyekiti wa jumuiya -Katekista - Paroko - Askofu - Rais TEC

**Mapadri punguzeni spana. Mnachanganya dini na siasa, tuwaeleweje?
Hapa Cha msingi tugawane nchi tu
Wakristo wachukue lake zone kuanzia tabora na Muslims wachukue coast zone kuanzia singida kurudi mpaka pwani...hii itaondoa mivutano na kelele
 
1. Kwa hali ilivyo Katoliki ni kama hawana Imani na Tume Huru. Pengine ni wakati sasa na wao wakaunda (parallel) tallying centre ili kujumlisha Kura katika kila kituo. Zambia na DRC kanisa lilisimamia haki hadi leo Jenerali Joseph Kabila kastaafu huko DRC bila hivyo angekua bado madarakani.

2. Uzuri Kanisa Katoliki wana makanisa, vigango na jumuiya ndogondogo mpaka sehemu za vijijini hukoo kwa hiyo logistics ni rahisi tu. Taarifa zinaelekea kwa mfuatano huu >>> Mwenyekiti wa jumuiya -Katekista - Paroko - Askofu - Rais TEC

**Mapadri punguzeni spana. Mnachanganya dini na siasa, tuwaeleweje?
Siyo kazi ya kanisa
 
1. Chama Chao wanachokiunga mkono hakitashiriki uchaguzi kwa sababu ya no reform no election
2. Wafanye hivyo wakose misamaha ya Kodi inayopitishwa kwa jina kanisa
3. Kanini haziruhu asiehusika kuwepo sehemu ya kuhesabia kura na kujumuisha wala simu haziruhusiwi. Watapataje matokeo ya kura kwa usahihi?
 
Unataka Wapigwe na kuuliwa mmoja mmoja maana Wameanza na Charles Kitima na sasa hivi wanamsaka yule Askofu B nae wampige mabanzi ikiwezekana wakamtupe Ununio
Watu wanasema yule ni afisa kipenyo hawamgusi.
Ingawaje na Mdude nae ndie lakini anapata rabsha rabsha.
 
Mdude bado mnamuongelea kwani mmemuona sehemu si wameshamfanyia mbaya huko
 
Back
Top Bottom