connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,842
- 3,922
Huko ni kwenda mbali zaid, si kazi yao and i dont thin ni busara at all1. Kwa hali ilivyo Katoliki ni kama hawana Imani na Tume Huru. Pengine ni wakati sasa na wao wakaunda (parallel) tallying centre ili kujumlisha Kura katika kila kituo. Zambia na DRC kanisa lilisimamia haki hadi leo Kabila kastaafu huko DRC bila hivyo angekua bado madarakani.
2. Uzuri Kanisa Katoliki wana makanisa, vigango na jumuiya ndogondogo mpaka sehemu za vijijini hukoo kwa hiyo logistics ni rahisi tu.
**Mapadri punguzeni spana. Mnachanganya dini na siasa, tuwaeleweje?
Busara ni ipi Ndugu? Kujumlisha Kura nako si busara?Huko ni kwenda mbali zaid, si kazi yao and i dont thin ni busara at all
You do realize kura hazipigwi na waumini wa kanisa moja tu?Busara ni ipi Ndugu? Kujumlisha Kura nako si busara?
1. LHRC waliwahi kuwa na tallying centre 2020 walikua wanahesabu kura za nani? Veggies punguzeni woga. Best practice>>>> Zambia na DRC kwani hamna wananchi wa Imani nyingine?You do realize kura hazipigwi na waumini wa kanisa moja tu?
Wanahesabu kura za nani? Maana kuhesabu waumini tu haireflect kura za eneo husika
Transparency1. LHRC waliwahi kuwa na tallying centre 2020 walikua wanahesabu kura za nani? Veggies punguzeni woga. Best practice>>>> Zambia na DRC kwani hamna wananchi wa Imani nyingine?
2. Hata BAKWATA wakiweza kuweka parallel tallying centre Ruksa lengo ni kujiridhisha na kinachotangazwa na tume maana matokeo hayahojiwi popote.
Kazi ya mawakala wa vyama kwenye vyumba vya kuhesabu kura hadi mapadre na maaskofu wawe na vya kwao?Busara ni ipi Ndugu? Kujumlisha Kura nako si busara?
Hapa Cha msingi tugawane nchi tu1. Kwa hali ilivyo Katoliki ni kama hawana Imani na Tume Huru. Pengine ni wakati sasa na wao wakaunda (parallel) tallying centre ili kujumlisha Kura katika kila kituo. Zambia na DRC kanisa lilisimamia haki hadi leo Jenerali Joseph Kabila kastaafu huko DRC bila hivyo angekua bado madarakani.
2. Uzuri Kanisa Katoliki wana makanisa, vigango na jumuiya ndogondogo mpaka sehemu za vijijini hukoo kwa hiyo logistics ni rahisi tu. Taarifa zinaelekea kwa mfuatano huu >>> Mwenyekiti wa jumuiya -Katekista - Paroko - Askofu - Rais TEC
**Mapadri punguzeni spana. Mnachanganya dini na siasa, tuwaeleweje?
Kuna ubaya gani kila mtu akahesabu Kura baadae tuoanishe?Kazi ya mawakala wa vyama kwenye vyumba vya kuhesabu kura hadi mapadre na maaskofu wawe na vya kwao?
Siyo kazi ya kanisa1. Kwa hali ilivyo Katoliki ni kama hawana Imani na Tume Huru. Pengine ni wakati sasa na wao wakaunda (parallel) tallying centre ili kujumlisha Kura katika kila kituo. Zambia na DRC kanisa lilisimamia haki hadi leo Jenerali Joseph Kabila kastaafu huko DRC bila hivyo angekua bado madarakani.
2. Uzuri Kanisa Katoliki wana makanisa, vigango na jumuiya ndogondogo mpaka sehemu za vijijini hukoo kwa hiyo logistics ni rahisi tu. Taarifa zinaelekea kwa mfuatano huu >>> Mwenyekiti wa jumuiya -Katekista - Paroko - Askofu - Rais TEC
**Mapadri punguzeni spana. Mnachanganya dini na siasa, tuwaeleweje?
1. Chama Chao wanachokiunga mkono hakitashiriki uchaguzi kwa sababu ya no reform no election1. Kwa hali ilivyo Katoliki ni kama hawana Imani na Tume Huru. Pengine ni wakati sasa na wao wakaunda (parallel) tallying centre ili kujumlisha Kura katika kila kituo. Zambia na DRC kanisa lilisimamia haki hadi leo Jenerali Joseph Kabila kastaafu huko DRC bila hivyo angekua bado madarakani.
2. Uzuri Kanisa Katoliki wana makanisa, vigango na jumuiya ndogondogo mpaka sehemu za vijijini hukoo kwa hiyo logistics ni rahisi tu. Taarifa zinaelekea kwa mfuatano huu >>> Mwenyekiti wa jumuiya -Katekista - Paroko - Askofu - Rais TEC
**Mapadri punguzeni spana. Mnachanganya dini na siasa, tuwaeleweje?
Watu wanasema yule ni afisa kipenyo hawamgusi.Unataka Wapigwe na kuuliwa mmoja mmoja maana Wameanza na Charles Kitima na sasa hivi wanamsaka yule Askofu B nae wampige mabanzi ikiwezekana wakamtupe Ununio
Mdude bado mnamuongelea kwani mmemuona sehemu si wameshamfanyia mbaya hukoWatu wanasema yule ni afisa kipenyo hawamgusi.
Ingawaje na Mdude nae ndie lakini anapata rabsha rabsha.