Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #21
Silvio Berlusconi alikuwa waziri mkuu wa Italy kuanzia May 2008 mpaka November 2011.Berloscon wazir mkuu wa Italy😂😂. Alishatoka madarakan bana
Sawa chief nilifikir ni story ya karibunSilvio Berlusconi alikuwa waziri mkuu wa Italy kuanzia May 2008 mpaka November 2011.
Tariq Aziz alihukumiwa kunyongwa mpaka kufa mwezi October mwaka 2010, wakati ambao Berlusconi akiwa bado madarakani.
Sasa kwanini unasema alishatoka madarakani?
Poa chief.Sawa chief nilifikir ni story ya karibun
mhhNdio mkuu
Sawa mkuuSwahafi alikuwa mzalendo na mwenye uchungu na nchi yake
Mkuu, huyu jamaa " Swahafi", what's his name in full?Swahafi alikuwa mzalendo na mwenye uchungu na nchi yake
My dearest brother, who's this guy Swahafi?Swahafi alikuwa mzalendo na mwenye uchungu na nchi yake
Unaweza kunijibu tafadhali kama hautojali mkuu?Swahafi alikuwa mzalendo na mwenye uchungu na nchi yake
Huyu pia alikuwa Waziri?Swahafi alikuwa mzalendo na mwenye uchungu na nchi yake
Sawa mkuu. Nipo jikoni niaandaa PART IITunasubiri kwa hamu
Wewe ni muungwana sanaSawa chief nilifikir ni story ya karibun
Uungwana wake ni nini hasa?Wewe ni muungwana sana
Njoo CCM tuijenge nchi hii achana na hao akina CHADEMASwahafi alikuwa mzalendo na mwenye uchungu na nchi yake
CUF ndio kabisaaaa wamefilisika mpaka seraSwahafi alikuwa mzalendo na mwenye uchungu na nchi yake
Chadema kumbuka shabiki anabadilika kutokana na treand but mwanachama ni royalSawa chief nilifikir ni story ya karibun
Usiwatukane CCM wala upinzani kuwa mwanasiasa boraChadema kumbuka shabiki anabadilika kutokana na treand but mwanachama ni royal
asante kwa ushauri. Lakini wapinzani wa tanzania wanakera sana.Usiwatukane CCM wala upinzani kuwa mwanasiasa bora
poa...asante kwa ushauri.
Wanahofu ya kushindwa na Magufuli Wanajua Magufuli lazima ashinde kwa 98% ndio maana hawataki wapambane naye.Poa chief.
Kwa kuongezea tu ni kwamba, Berlusconi amekuwa Waziri mkuu wa Italy kwa kipindi cha jumla ya miaka tisa inayomfanya kuwa mtu pekee kushika kiti kile kwa muda mrefu sana katika historia ya Italy.
Tazama Timeline hapo chini;
10 May 1994 – 17 January 1995
11 June 2001 – 17 May 2006
8 May 2008 – 16 November 2011