Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #21
Silvio Berlusconi alikuwa waziri mkuu wa Italy kuanzia May 2008 mpaka November 2011.Berloscon wazir mkuu wa Italy😂😂. Alishatoka madarakan bana
Tariq Aziz alihukumiwa kunyongwa mpaka kufa mwezi October mwaka 2010, wakati ambao Berlusconi akiwa bado madarakani.
Sasa kwanini unasema alishatoka madarakani?