Kanisa Katoliki Vatican na ushawishi wake juu ya msamaha kwa Waziri Tariq Aziz. Mkristo kindakindaki na swahiba mkuu (Inner Circle) wa Saddam Hussein

Kanisa Katoliki Vatican na ushawishi wake juu ya msamaha kwa Waziri Tariq Aziz. Mkristo kindakindaki na swahiba mkuu (Inner Circle) wa Saddam Hussein

Berloscon wazir mkuu wa Italy😂😂. Alishatoka madarakan bana
Silvio Berlusconi alikuwa waziri mkuu wa Italy kuanzia May 2008 mpaka November 2011.

Tariq Aziz alihukumiwa kunyongwa mpaka kufa mwezi October mwaka 2010, wakati ambao Berlusconi akiwa bado madarakani.

Sasa kwanini unasema alishatoka madarakani?
 
Sawa chief nilifikir ni story ya karibun
Poa chief.

Kwa kuongezea tu ni kwamba, Berlusconi amekuwa Waziri mkuu wa Italy kwa kipindi cha jumla ya miaka tisa inayomfanya kuwa mtu pekee kushika kiti kile kwa muda mrefu sana katika historia ya Italy.

Tazama Timeline hapo chini;

10 May 1994 – 17 January 1995
11 June 2001 – 17 May 2006
8 May 2008 – 16 November 2011
 
Wanahofu ya kushindwa na Magufuli Wanajua Magufuli lazima ashinde kwa 98% ndio maana hawataki wapambane naye.
 
Back
Top Bottom