Itabidi ibada tufanyie majumbani kwetu wachungaji asilimia kubwa wameshakengeukaWakati mwingine huwa naogopa na kudhani kanisa lilishanyakuliwa halipo duniani tena imebaki giza tu watu wanajieendea hovyo kwa mambo yao. Mara chupi za upako, mara keki na sasa mikate. Injili feki zimekuwa nyingi mpaka inaogofya
Chizi bibi yakoKhaaa 😆😆😆🙌..kumbe machizi wa Mwampy wamo humu humu
😄😄Mm ningechukua ya Hela yangu aisee***** walai, na anawaambia hakuna chenji 🤣
Halafu kuna cheko moja la dharau kalitoa 😂🤣
tena wamekengeuka pakubwa mno, si wale wa zamani tuliowajua misimamo yao wanachofundishaItabidi ibada tufanyie majumbani kwetu wachungaji asilimia kubwa wameshakengeuka
Wanajifichaga tu 🤣🤣🤣Khaaa 😆😆😆🙌..kumbe machizi wa Mwampy wamo humu humu
Kenya wapo mbele na muda that why nimechukua ukoManabii na mitume wa Tanganyika hujaona biashara wanayofanya mkuu mpaka ukachukue mifano Kenya?
Huyo huyo anae sema ata nunua ndege kwasababu ya kusumbua watu akili tu anapita nayo mpaka mlangoniHuyu siye yule somebody Nganga?
Af una chukua mkate😄😄Mm ningechukua ya Hela yangu aisee
Comedian uyo ana nipa raha sana uyoPastor Ng’ang’a miyeyusho sana 😂
Ila huyu kawazidi wenzie maarifaAnaitwa Ngaga ni tapeli kama kina mwamposa,suguye,Mazinge na wengine wanaouzia watu maji mafuta chumvi vitambaa mchanga
Ahahh kama ndio nauli utatembea kwa mguuna hakuna chenji
na mazezeta yanasonga kwa mstari
Huyo huyo na hapo kawa ambia sadaka bado hamjatoa hii sio sadakaHuyu anaitwa Pastor Ng'ang'a, ni yule aliyetupa sadaka madhabahuni na kudai waumini wametoa kidogo
Ana vituko huyu huwa nikiingia TikTok lazima nimtafute nicheke kidogoMbona kama alianziq huku😁
View attachment 3189413