Kanisa kenya limegeuka soko

Ndio ana Akili. Sasa watu wazima na akili zao wanakubali kuuziwa vitu kanisani na wametulia tuli, maana yake si Kawazidi akili?💁
Mchungaji kenya kaazisha biashara ndani ya kanisa na waumini wana nunua bidhaa hii ni ajabu af jirani ana jisufi yupo na akili mingi kwq hili hapana
 
Yesu alikataza kufanya biashara hekaluni na alizimwaga bidhaa chini leo hii wachungaji wamegeuza makanisa kuwa sehemu za kupata utajiri, pepo la utajiri limewapagaa wengi wao
 
Kwa haya maisha ukipata nafasi ya kuwateka watu akili na kutengeneza fedha fanya hivyo.
 
Yesu alikataza kufanya biashara hekaluni na alizimwaga bidhaa chini leo hii wachungaji wamegeuza makanisa kuwa sehemu za kupata utajiri, pepo la utajiri limewapagaa wengi wao
Na hao ukiwauliza kuhusu Yesu wanakwambia nini ? Nina uhakika ukiamua hakuna jambo ambalo katika Bible utakosa loophole ya kujitetea.., after all kumwaga bidhaa za watu ilikuwa so unChrist like, they guy who was always supposed to turn the other cheek;

Pia kama kuna maagano tofauti yaani la Kale.., Mara Jipya latest kuliko la Kale na vitu tofauti unasemaje hao jamaa wakikwambia kwamba kuna Agano tofauti wamepewa (kama kuna mtu aliweza kuambiwa / kuwa tested kwa kumtoa mwanae Kafara ingawa kuna Amri inasema usiue)

All in all kwenye mambo ya Imani kusema mwenzako anakosea iwapo wanaokwenda hawalazimishwi wala kuleta madhara kwa mtu baki.., basi sio ustaarabu kuanza kuhumu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…