Kanisa kongwe Gaza limehifadhi Waislamu waliokimbia mabomu, limewapokea kwa upendo

Kwani nini issue hapo, hao kusherehekea Kristmasi January inahusianaje na kingereza.
Kimsingi mjifunze kitu, huo uzombi wa kulipukia watu mabomu ni ushetani.
Chuki mpaka unatafuta habari za uongo 😅😅
 
weweunaweza kuingia msikitini?
Kwa dharura kwanini nisiingie?

Nisiwe mnafiki,lakini mnihakikishie kwanza usalama wangu maana kama waumini wenyewe ni kama wewe unabagua hadi jengo ukijua mimi siyo muislam unanihakikishiaje usalama wangu?
 
Unaona hizo suti?ebu tulia angalia hizo picha.alafu nioneshe muislam yupo wapi ?picha zinaonesha kabisa watu wapo kanisani wanaendelea na ibada yeye anasema wapo kwenye hifadhi.kwenye hifadhi ungewaona wamesimama?hata watoto hawapo.aache uongo
Suti siyo tatizo,ni namna tu ya mwanadamu kutaka kujiweka sawa na wanaoingia humo.

Kwamba kwa kuvaa kwao suti ndiyo kuwafanye wasiwe waislam huo utakuwa ubishani wa kitoto
 
Suti siyo tatizo,ni namna tu ya mwanadamu kutaka kujiweka sawa na wanaoingia humo.

Kwamba kwa kuvaa kwao suti ndiyo kuwafanye wasiwe waislam huo utakuwa ubishani wa kitoto
Usinichoshe.angalia hizo picha kwa kutumia jamii forum Web.zimewekewa maelezo.una akili zitumie.
 
Unaweza kukuta hata magaidi ya hammas yamejificha huko kanisani

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Mods mtu anaweka picha alafu anaweka maelezo ya uongo anapotosha watu.mnaangalia tu.mnaonekana hampo makini.hizo picha ni za wakristo wa orthodox wakiwa kanisani GAZA.lakini mleta mada anabadilisha maelezo.anasema ni waislam waliokimbilia kanisani kupata hifadhi.mwiaho wa siku tunaonekana wote hatuna akili humu
 
Hizo picha zimetoka Al-Jazeera acha lawama
 
Muhimu sana mjifunze nini maana ya kuishi na watu, wewe huko Canada hao hao Wakristo ndio wamekuhifadhi.
Umeanza propaganda tena? Ungejua hao wayahudi hate Christians more than Muslims usingejikomba hivi. Hivi unajua waislam huko Israel ni wengi kuliko wakristo?
 
Hizo picha zimetoka Al-Jazeera acha lawama
Aibu naona mimi.ingia jamii forum kwa website.alafu fungus huu uzi.alafu bonyeza picha hizo.kuna maelezo ya kiingereza yapo.vinginevyo ukiendelea kubisha nitakuona akili huna
 
Wabatizwe kabsa waache ugaidi na kuvaa kobazi
 
Wewe jamaa ni mpumbavu,umekalia udini shwain,kwa taarifa yako palestina ina wakristo wengi tu na israel haina hata mkristo m1,makanisa yote ya jerusalem na yako chini ya usimamizi wa hao wapalestina wakristo,kwa kichwa chako kibovu unadhani zile missile zinawaua wapalestina waislam tu!
 
Wamesaliti wakitoka humo wauwawe.
 
Muhimu sana mjifunze nini maana ya kuishi na watu, wewe huko Canada hao hao Wakristo ndio wamekuhifadhi.

Hii post yako inaonyesha ni jinsi gani huna akili,palestian orthodox christian hawa bombu za israel aziwagusi kabisa sio?halafu umepata vilaza humu wanakusapoti,kuna milions of palestina christians wewe boya
 
Wakristo tunafundishwa UPENDO kwa watu wote, sio kuwaua wasio Wakristo

Inapendeza sana

Ndugu yangu Mlolongo Mjingamimi Kikwajuni One na FaizaFoxy karibuni katika Ibada ya Kanisa la Adventist Wasabato jumamosi ijayo ndugu zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…