Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushawahi kumuona mtu kavaa kanzu disko?Mkuu Kwa hiyo Mtu akivaa suti anakua sio muislam
Inamaana huyu wa chini sio muislam kisa kaulamba msuti wa bei Kali 😂😂😂View attachment 2783971
HayaaUmeishia wapi? Naona full stop katikati ya maandishi
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Waislam hawavai suti?Unaona kabisa watu wamekula suti
Canada gani bwana, huyo si yuko hapo Keko Mwanga tena eti amefuga na njiwa.Muhimu sana mjifunze nini maana ya kuishi na watu, wewe huko Canada hao hao Wakristo ndio wamekuhifadhi.
Unaweza kukuta hata magaidi ya hammas yamejificha huko kanisani
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Umeanza propaganda tena? Ungejua hao wayahudi hate Christians more than Muslims usingejikomba hivi. Hivi unajua waislam huko Israel ni wengi kuliko wakristo?
Wewe jamaa ni mpumbavu,umekalia udini shwain,kwa taarifa yako palestina ina wakristo wengi tu na israel haina hata mkristo m1,makanisa yote ya jerusalem na yako chini ya usimamizi wa hao wapalestina wakristo,kwa kichwa chako kibovu unadhani zile missile zinawaua wapalestina waislam tu!
View attachment 2783895
Hii post yako inaonyesha ni jinsi gani huna akili,palestian orthodox christian hawa bombu za israel aziwagusi kabisa sio?halafu umepata vilaza humu wanakusapoti,kuna milions of palestina christians wewe boya
Aman iwe kwao na vizazi vinavyo kuja ➕Mpaka Kuingia humo maana yake ubatizo tayari, au wewe ndugu yangu unataka maji matakatifu ya nini wakati wamejisalimisha tayari?
Hiyo ni christmas mass.Bado ndani mabenchi ni mengi kuliko wauminiUna muona muislam hata mmoja hapo?
Huna akili,so orthodox wa kipalestina bomb za israel zikiwafikia awafi?acha kufurahia vita we msenge yan huko kwenu kenya mlivyokuzwa kichuki chuki mkawa ampendani wenyewe kwa ukabila kumekuharibu kabisaSiajelewa unlia lia nini, kwani orthodox sio Wakristo? Au shida nini haswa, kaeni mjifunze kitu, mumefundishwa vibaya sana kwenye hayo madrassa yenu, maisha ya kuua na chuki.
Kwa taarifa yako mimi niko hapa israel na ni muislam na sijawahi kubaguliwa kwa udini hapa,na tena at least uislam una nguvu kiasi baada ya jewish,hawa jamaa washaachana na akili za kitumwa za kidini kama mlivyo huko uchafuni,hii vita ni ya waarabu na wayahudi hamna vita ya kidiniNdugu zako wamepokewa kwa amani na upendo, wanaonyeshwa jinsi gani ya kuishi bila chuki au kujilipua mabomu.
Huna akili,so orthodox wa kipalestina bomb za israel zikiwafikia awafi?acha kufurahia vita we msenge yan huko kwenu kenya mlivyokuzwa kichuki chuki mkawa ampendani wenyewe kwa ukabila kumekuharibu kabisa
Kwa taarifa yako mimi niko hapa israel na ni muislam na sijawahi kubaguliwa kwa udini hapa,na tena at least uislam una nguvu kiasi baada ya jewish,hawa jamaa washaachana na akili za kitumwa za kidini kama mlivyo huko uchafuni,hii vita ni ya waarabu na wayahudi hamna vita ya kidini
Israel ipi, ya Pale Buza au.....
Nafikri mpaka sasa akili imewaingia, tafuta MB utizame haya mapicha Mapicha: Majengo ya Gaza yamebaki magofu, yaani ghost town, jamani HAMAS waliwaza nini
View attachment 2784177
Wewe endelea kuzoa mavi hapo kibera na akili yako mbovu,mnavyoichukulia hali hii vita hadi mnajitoa akili!