Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia February, 26 2023

Hii mbungi ingepigwa msikitini sipati picha n'titi wake
 
Nikusaidieje [emoji848].Naona mmekutana Pipa na mfuniko.
Umeshindwa kujisaidia wewe mwenyewe utaweza kusaidia wengine?

Naona debe tupu huna hoja ya maana zaidi ya kuruka ruka tu kama Kangaroo.
 
Wahuni wamevunja mguu wa Brian Deacon. Sijui wataliomba hivyo hivyo sanamu lake likiwa lina ulemavu au wataliunga gundi kwenye ibada zao.
 
Leta link wewe,umejipa kazi mwenyewe na sasa unabwata bwata nini tena [emoji2957][emoji2957]

Popo wenu keshawaruhusu wanaume kuolewa haya wakumbatie Mapadri wako

 
Eheee endelea [emoji847][emoji847][emoji847]
 
Naunga mkono hoja, hao labda wametumwa na wamelipwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…