Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia February, 26 2023

Unataka kumpelekea Roho Mtakatifu wako?[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] Maana Yesu ni majeruhi [emoji13][emoji13][emoji13]
Ndiyo Boss nasubiri nimpelekee,usijibaraguze tuma link tafadhari [emoji4][emoji4]
 
Mi naona kama yamevunjwavunjwa masanamu humo kanisani basi mvunjaji anaenda peponi moja kwa moja.

Sanamu unaita vitu vitakatifu kweli?

Mnamdhalilisha masihi kwa kumchongea sanamu.

Sanamu hilo sio YESU, wacha livunjwe miguu, huyo amewasaidia ku prove kwamba mnachemka kuabudu sanamu.
Yesu halisi haitaji binadamu ama vyombo vya dola kumtetea.

Eti ufunge novena kuomba mtu adhurike kwa sababu kamvunja miguu yesu wako wa mchongo, hiyo ni akili?

Mungu alie hai hawezi kudhurumiwa na mwanadamu aslani.

Yesu Masihi hawezi piganiwa na mwanadamu bali hujipigania mwenyewe.

Huyo alievunjwa miguu ni yesu wenu sio Yesu Masihi.

Huyo wenu ni yesu wa mchongo ndio maana ye kashindwa kujitetea ila nyie wjinga mishipa imewatoka kumtetea wakati ye hajui kinachoendelea[emoji1787]



Sasa mtakwenda kuliokota na kulitia supa grue na kurudishia !
Wajameni akili zetu zifanye kazi basi japo kiduchu
 
We mpuuuzi njoo ujionee umejibiwa huku
 
Da!
 
Hivi ni vitu vya kawaida sana.Ukweni kwa mdogo wangu wote familia nzima wamebadili dini wamekuwa wakatoliki safi kutoka Islam.Hakuna cha ajabu watu kubadili madhehebu/Dini.Tuendelee na link Mkuu [emoji4][emoji4]
 
Dini ya chuki,visasi, fitina na roho mbaya inajulikana
Kweli kabisa, ndiomaana mapadri wanauawa na kesi hakuna, mbaya zaidi wengine wanauawa ndani ya compound ya kanisa
 
Kweli kabisa, ndiomaana mapadri wanauawa na kesi hakuna, mbaya zaidi wengine wanauawa ndani ya compound ya kanisa
Magaidi wa uamsho waliokuwa wakiwashambulia mapadre wameachiwa huru baada ya mwenzao kuingia madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…