Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia February, 26 2023

Your browser is not able to display this video.
 
Hivi ni vitu vya kawaida sana.Ukweni kwa mdogo wangu wote familia nzima wamebadili dini wamekuwa wakatoliki safi kutoka Islam.Hakuna cha ajabu watu kubadili madhehebu/Dini.Tuendelee na link Mkuu [emoji4][emoji4]
Tuletee video tuone , usijipakazie

Kila siku nasema kuwa huna akili haya toa ushahidi wa hilo ulilosema ,umeona taarifa ya polisi ya kiuchunguzi muhusika ni nani ?

Ukiitwa juha itakuwa makosa ?
 
Tumia akili kidogo uliyobarikiwa kabla ya kukomenti, adui wa mtu ni mtu mwenyewe.

Acha vyombo husika viliishughulikie kwanza
Unachofanya ni kuchochea tatizo tu.
Ulimuonya sasa taarifa ya kiuchunguzi inamuacha uzi na kumuaibisha hivi sasa LOTH HEMA ananuka aibu.
 
Hawa watu wanasikitisha sana ,sasa hivi taarifa ya uchunguzi imebaini muhusika sijui watakuwa na lipi la kusema .
 
Kibaka na mwizi huwa wanaenda kuiba , humo ndani wamevunja tuu bila kuchukua chochote , means huyo mtu alikuwa na lengo lake tuu, ni kweli hakuna mkristo wala mpagani anayeweza fanya hv ,
Leta mrejesho wa taarifa ya kiuchunguzi ya polisi.
 
Tulionya kuwaachia huru wale jamaa,tusubiri mengi zaidi ya haya.
Ona jinsi ulivyokuwa jiwe lisilokuwa na akili haya toa ushahidi na tazama taarifa ya kiuchunguzi je ni sawa na unachodai ?
 
Kila siku nasema kuwa huna akili haya toa ushahidi wa hilo ulilosema ,umeona taarifa ya polisi ya kiuchunguzi muhusika ni nani ?

Ukiitwa juha itakuwa makosa ?
bado hujanitoa kwenye kwenye point, na daima hutanitoa, maaskofu wana hekima na busara kubwa kuweka mambo sawa. Lile jamabo ni la hatari sana, inatosha kutoa majibu walivyoweza kutoa. Kwa wenye akili kubwa tunajua hayo majibu yana maana gani. Akili ya kawaida haikubali mlevi aingie kanisani na kufanya uharibifu ule labda awe mwendawazimu. Dunia ndivyo ilivyo, rejea kwenye vita vya urusi na ukraine, bomu likaanguka ardhi ya paland, poland akaja juu akijiua na urusi kapiga ardhi yake. Na kwa vile ni mwanachama wa NATO, akajua NATO itaingia vitani rasmi kuipiga urusi. Marekani hii itakuwa balaa kubwa, akamaliza mzozo ule huku akijua ni nani aliyerusha kombora katika ardhi ya poland. Mambo mengine humalizwa kwa kwa hekima kubwa bila kusema uhalisia ili kuepusha madhara makubwa
 
Kwa hiyo Askofu wako ni muongo sio?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Maneno mengi debe tupu ,weka uchunguzi wako wenye ushahidi kama maneno tupu na kutumia akili ya kawaida hata mimi akili yangu ya kawaida inaniambia wewe ndiye uliyefanya hiko kitendo.
 
Kila siku nasema kuwa huna akili haya toa ushahidi wa hilo ulilosema ,umeona taarifa ya polisi ya kiuchunguzi muhusika ni nani ?

Ukiitwa juha itakuwa makosa ?
daima nitabaki kuona zaidi kuliko wewe. Hayo majibu si uhalisia hakuna mlevi anayeweza kufanya hayo kanisani labda mwendawazimu. Tungeambiwa ni mwendawazimu tungeamini. Mlevi hapana!
 
Maneno mengi debe tupu ,weka uchunguzi wako wenye ushahidi kama maneno tupu na kutumia akili ya kawaida hata mimi akili yangu ya kawaida inaniambia wewe ndiye uliyefanya hiko kitendo.
hapo sasa unatoka nje ya mistari. Jaribu kuipa akili yako uwezo wa kusikia na kuona zaidi unachoambiwa na kuaminishwa utajua ukweli wa mambo
 
Maneno mengi debe tupu ,weka uchunguzi wako wenye ushahidi kama maneno tupu na kutumia akili ya kawaida hata mimi akili yangu ya kawaida inaniambia wewe ndiye uliyefanya hiko kitendo.
jaribu kutafuta ukweli zaidi ya uchoambiwa na kuona. Tumia akili ya kawaida tu, common sense communication. Kuna mambo mengi yako kama yalivyo lakini ki uhalisia hayako hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…