Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Siku wakiiba Kwenye Kaaba ( sijui Kuna vitu Gani ndani) ndio tutaelewa vzrMbona msikitin tunaibiwa sana viatu na spika, wezi hawana cha kuogopa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku wakiiba Kwenye Kaaba ( sijui Kuna vitu Gani ndani) ndio tutaelewa vzrMbona msikitin tunaibiwa sana viatu na spika, wezi hawana cha kuogopa
Kuna watu hawataki uhuru wa kuabudu, wanataka tulazimishwe Imani fulaniKemeeni hizi mbambamba si sawa kabisa.Kila mtu awe huru kuabudu anachotaka.
Mungu amekula vitasa vya wahuni😁 kwqnini ameshindwa kujitetéa Hadi avunjwe mguu kirahisi hivyo...enewei poleni sanaNaona wahuni wamembogozoa mungu yesu wameona wampe kilema kabisa.
Ngoja nimwite ndugu yangu semenya wa ukaldayo Stress Challenger aje amsaidie kumuunga mguu.
So huwa wanapiga goti mbele ya sanamu waliotengeneza na kuliomba!?Huyo sio yesu hiyo ni sanamu[emoji3][emoji3][emoji3]
Watu walishaiteka kaaba achana na kuiba , watu wakiamua lao ni kazi kuwatambuaSiku wakiiba Kwenye Kaaba ( sijui Kuna vitu Gani ndani) ndio tutaelewa vzr
Huwa munanifurahisha zaidi mnajua viatu ni uchafu lakini ninyi mnaingia nao katika makanisa nahisi hayo nayo ni machafu bila shaka ndio mana ni kawaida.Anaesema mbona msikitini wanaibiwa sana tu, msikitini wanaiba nini zaidi ya kuchukua ule uchafu wa viatu unaorundikwa kando ya mlango wa kuingilia? Tena wanaochukua huo uchafu ni waumini wao humohumo
😜😜😜😜😜Eheee endelea [emoji847][emoji847][emoji847]
Uchafu kwako , lakini wengine ni kitu muhimu kwao, watu hatufanani , aliebiwa laki na alie ibiwa elfu 2 hawa wote wameibiwa na kila mtu anajua machungu yake mwenyeweAnaesema mbona msikitini wanaibiwa sana tu, msikitini wanaiba nini zaidi ya kuchukua ule uchafu wa viatu unaorundikwa kando ya mlango wa kuingilia? Tena wanaochukua huo uchafu ni waumini wao humohumo
Kwahiyo unakubali kua kuingia na viatu kwenye Nyumba ya ibada ni kuingiza uchafu kwenye Nyumba ya Ibada?Anaesema mbona msikitini wanaibiwa sana tu, msikitini wanaiba nini zaidi ya kuchukua ule uchafu wa viatu unaorundikwa kando ya mlango wa kuingilia? Tena wanaochukua huo uchafu ni waumini wao humohumo
Unakumbuka tukio la ujambazi, lilotokea, mwaka juzi pale mbezi mwisho, kuelekea goba.Wanaenda kuiba hadi kanisani??? Hii hatari
Ukivaa kobazi lazima uchafue sakafu.Lakini kama unavaa viatu na hukai jangwani ukichunga mifugo ndani ya nyumba ya ibada unaingia tuu.Kumbuka hata kutawadha kulikuwa kwa ajili ya wafugaji wa jangwani.Mmedandia milaKwahiyo unakubali kua kuingia na viatu kwenye Nyumba ya ibada ni kuingiza uchafu kwenye Nyumba ya Ibada?
Unawashauri nini wanaoingia na viatu kwenye Nyumba za ibada?
Masikini naona mnavyojiendesha kwa matamanio na sio maandiko;Ukivaa kobazi lazima uchafue sakafu.Lakini kama unavaa viatu na hukai jangwani ukichunga mifugo ndani ya nyumba ya ibada unaingia tuu.Kumbuka hata kutawadha kulikuwa kwa ajili ya wafugaji wa jangwani.Mmedandia mila
Yesu si alikuwepo, roho mtakatifu alikuwepo vipi hakuona hilo tukio akatoa taarifa? Mpaka Yesu anavunjwa miguu yy yuko wapi?Narudia tena kuandika, hakuna mkristo wa dhehebu lolote anayeweza kwenda kwenye kanisa la wengine kufanya uharibifu na haiwezekani mshirika wa mahali anaposali anayeweza kuchukua hatua za kuharibu vitu vya kanisani anakosali labda awe na akili mbovu.
Hata wavuta bangi na walevi wanapaogopa sana kanisani. Kwa asili kanisa ni nyumba ya kuabudia Mungu hakuna aliyeweza kufanya uhuni ndani yake, na kama walifanikiwa kufanya uhuni cha moto walikipata bila mikonn ya wanadamu.
Kibaka au jambazi gani lisilo na hofu za kuingia kwenye nyumba za ibada za wengine kufanya ukora? Washirikina tu wenyewe wanapaogopa kama moto. Hawa watakuwa ni wahuni
Maswali hayo utawauliza wanao watakapokuwa wameshabanduliwa na kuharibiwa na hao unaowaita maparokoUmekula lakini na umeshiba?
Maswali hayo utawauliza wanao watakapokuwa wameshabanduliwa na kuharibiwa na hao unaowaita maparoko
Kipi kinaufanya msikiti kuwa mtakatifu?Humo mnamopigia mazoezi ya Kung fu na kumwaga mijasho?Masikini naona mnavyojiendesha kwa matamanio na sio maandiko;
Kutoka 3:5
Naye akasema, Usikaribie hapa; vua viatu vyako miguuni mwako; maana mahali hapo unaposimama ni nchi takatifu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sijui mimi kwani hapo nimetaja msikiti au unaanza kuhahahaha sasaKipi kinaufanya msikiti kuwa mtakatifu?Humo mnamopigia mazoezi ya Kung fu na kumwaga mijasho?
Wazazi wako wana hasara kubwa sana kwa akili hiyo aisee,unaweza kukuta eti na wewe una familia na inakutegemea uiongoze!Ukivaa kobazi lazima uchafue sakafu.Lakini kama unavaa viatu na hukai jangwani ukichunga mifugo ndani ya nyumba ya ibada unaingia tuu.Kumbuka hata kutawadha kulikuwa kwa ajili ya wafugaji wa jangwani.Mmedandia mila
Nasubiri link Boss [emoji4][emoji4][emoji4][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]