Kanisa la Askofu Charles Gadi, lamuandikia Rais Samia ujumbe mzito

Kanisa la Askofu Charles Gadi, lamuandikia Rais Samia ujumbe mzito

Yule jamaa mbona mlikuwa hammwambii na mlikuwa kila siku mnaitisha makongamano kumsifia na kumpamba..

Tulikuwa tunawahesabu tu na sasa tunajua nani ni viongozi wa dini...Sheikh Issa Ponda, Askofu Bagonza, Askofu Mwamakula nk hawa ndio tunawasikiliza kwa sasa....
 
Kutokujua kwako juhudi za kanisa kipind cha meko haimaanish hawakufanya , n wewe hujui

KKKT ilitishiwa hadi kufutiwa usajili umekalisha makalio unaandika ujinga, viongoz wa kanisa wangapi walikamatwa kuhojiwa uraia wao ? Kakobe hayakumkuta kanisani kwake ? Eti mkristo, mkristo usiejua hata moja la wa wakristo ?? Nyaraka za pasaka wakati zinaandikwa ulikua umefariki??
Unaijua ku klax klan( kkk) ambayo ndo imekuwa extended to kkkt( ku klax klan tanzania). Hebu google afu ndo utajua unachoongea bro. Haya mambo ni hatari
 
Niwemugizi unamfahamu mkuu? Padre Raymond Saba unamjua? Vipi Askofu Bagonza?
Mkuu Pythagoras , ni vile tu niliandika kwa ufupi. Hao wachache walimama wao kama wao kwa hofu ya Mungu wao. Mie naongelea zile jumuia zao sijui TEC , jumuia ya Pentecost, CCT ambazo wakati wa JK walitoa sana matamko
 


Ujumbe Muruwaa kabisa huu
westbrookswag.png
 
Back
Top Bottom