Kanisa la Askofu Charles Gadi, lamuandikia Rais Samia ujumbe mzito

Yule jamaa mbona mlikuwa hammwambii na mlikuwa kila siku mnaitisha makongamano kumsifia na kumpamba..

Tulikuwa tunawahesabu tu na sasa tunajua nani ni viongozi wa dini...Sheikh Issa Ponda, Askofu Bagonza, Askofu Mwamakula nk hawa ndio tunawasikiliza kwa sasa....
 
Nyumba zimevunjwa mwaka majuzi.. kwanini hawakumuandikia muhusika, wanamuandikia huyu mama sasaiv. Kama sio unafiki ni nini?
Hutaki mama aandikiwe wakati alikuwa makamu wa Rais.
 
Unaijua ku klax klan( kkk) ambayo ndo imekuwa extended to kkkt( ku klax klan tanzania). Hebu google afu ndo utajua unachoongea bro. Haya mambo ni hatari
 
Niwemugizi unamfahamu mkuu? Padre Raymond Saba unamjua? Vipi Askofu Bagonza?
Mkuu Pythagoras , ni vile tu niliandika kwa ufupi. Hao wachache walimama wao kama wao kwa hofu ya Mungu wao. Mie naongelea zile jumuia zao sijui TEC , jumuia ya Pentecost, CCT ambazo wakati wa JK walitoa sana matamko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…