Mkoko kisu
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 757
- 803
Uyo huwa ni mwanasiasa sio mtu wa iman ni bas tu mambo yetu ya kitanzania tunaishi kwa kujuana mwenye profesina ya udokta anakua mwalimu na mwalimu anakua dokta ksa wanajuana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaMpuuzi wewe umetumwa na mafisadi wenzako kuharibu kanisa la MUNGU, Dr Shoo hanunuliki tulieni wapuuzi nyie
NakaziaMnamuonea Askofu Shoo. System ya uongozi KKKT Askofu mkuu hana mamlaka ya kuingilia utawala wa Dayosis yeye ni kama mshauri tu
Naunga mkono hojaKKKT inapenda pesa sana.nimeacha kwenda kanisani kwa ajili ya sadaka za ovyo na watu kugeuza sehemu za vipavyo vyao.
KKKT imekuwa ofisi za walanguzi sasa
Yeye na matapeli wenzake ndiyo atachafukaHuyu hata haelewi anachosema; achana naye. KKKT ndiyo inayoongoza Tanzania kwa sasa kwa kuwa na watumishi wa Mungu wengi mahiri, bora sana na waadilifu pia. Inaonyesha hata wachungaji wa KKKT hawafahamu vizuri. Huwezi ukamtenganisha Mchungaji Kimaro na yule wa Mbezi Beach pamoja na mwingine yule wa Azania Front, na wengine wengi walioko kwenye kanisa hili. KKKT nawakubali sana wachungaji wao. Mtu akiichambua KKKT kwa namna hii, unaona wazi kabisa kuwa hajuia kabisa ni nini kinaendelea huko kwingine!
Toka umeacha kwenda kanisani KKKT imekwama kwa jambo lolote?KKKT inapenda pesa sana.nimeacha kwenda kanisani kwa ajili ya sadaka za ovyo na watu kugeuza sehemu za vipavyo vyao.
KKKT imekuwa ofisi za walanguzi sasa
Bashite mkubwa yuleNakazia
Wewe ndugu unaongea mambo ambayo huyajui kabisa,Shoo anapanga maaskofu kwa malengo ya kisiasa
Hata baadhi ya maaskofu hawajijui.Mtu anatoka sumbawanga anakwenda konde anatoa tamko eti maaskofu hatukujadili mgogolo wa konde wakati haikuwa agenda.Wenye agenda walishampata Mwakihaba.Shoo alikuwa shahidi nini wameamua wajumbe halali wa konde.Mnamuonea Askofu Shoo. System ya uongozi KKKT Askofu mkuu hana mamlaka ya kuingilia utawala wa Dayosis yeye ni kama mshauri tu
Utapoteza muda kumwelewesha.anadhani huwa kunakuwa fomu zakujaza ili ugombee uaskofu.Wewe ndugu unaongea mambo ambayo huyajui kabisa,
umekuja hapa kuchafua tu, wala muundo wa KKKT huujui na wala hutaujua.
Askofu hateuliwi, anachaguliwa na waumini wa eneo husika kwa kinyang'anyiro.
Jibu mujarabu!Mpuuzi wewe umetumwa na mafisadi wenzako kuharibu kanisa la MUNGU, Dr Shoo hanunuliki tulieni wapuuzi nyie
Shoo kavunja katibaJibu mujarabu!
Konde Askofu kiburi anataka kudondoka na Shoo!
Wafuasi wake hawakauki kumpiga vijembe Shoo!
Siwafahamu wala siyo mkeikeitii ila ukisikiliza mjadala Mwaikali anajiona perfect Sana, huo ni Ugonjwa mbaya!
Kwa 100% wewe ni mufilisi wa akili na nina ushahidi!Hajaondolewa, bado ni askofu halali, Mwakihaba apewe uaskofu wa machame