Kanisa la KKKT limekuwa na migogoro mingi chini ya uongozi wa Askofu Shoo, Maaskofu waazimie kumuondoa

Kanisa la KKKT limekuwa na migogoro mingi chini ya uongozi wa Askofu Shoo, Maaskofu waazimie kumuondoa

Uyo huwa ni mwanasiasa sio mtu wa iman ni bas tu mambo yetu ya kitanzania tunaishi kwa kujuana mwenye profesina ya udokta anakua mwalimu na mwalimu anakua dokta ksa wanajuana
 
Uyo huwa ni mwanasiasa sio mtu wa iman ni bas tu mambo yetu ya kitanzania tunaishi kwa kujuana mwenye profesina ya udokta anakua mwalimu na mwalimu anakua dokta ksa wanajuana
Kabisa
 
Huyu hata haelewi anachosema; achana naye. KKKT ndiyo inayoongoza Tanzania kwa sasa kwa kuwa na watumishi wa Mungu wengi mahiri, bora sana na waadilifu pia. Inaonyesha hata wachungaji wa KKKT hawafahamu vizuri. Huwezi ukamtenganisha Mchungaji Kimaro na yule wa Mbezi Beach pamoja na mwingine yule wa Azania Front, na wengine wengi walioko kwenye kanisa hili. KKKT nawakubali sana wachungaji wao. Mtu akiichambua KKKT kwa namna hii, unaona wazi kabisa kuwa hajuia kabisa ni nini kinaendelea huko kwingine!
Yeye na matapeli wenzake ndiyo atachafuka
 
KKKT inapenda pesa sana.nimeacha kwenda kanisani kwa ajili ya sadaka za ovyo na watu kugeuza sehemu za vipavyo vyao.

KKKT imekuwa ofisi za walanguzi sasa
Toka umeacha kwenda kanisani KKKT imekwama kwa jambo lolote?
 
Maeneo yote yanayoongozwa na watu wanaopenda haki shetani ujiinua; wapo watu wao Kanisani siyo sehemu takatifu Bali watakatifu ni viongozi wa kisiasa na hapo ndipo Dr. Shoo alipojipambanua vyema.

Unapoona kiongozi wa kiroho Kila mwanasiasa alipo yupo maana yake ana muda mwingi wakufanya siasa kuliko kufanya KAZI ya Mungu. Kukaa sana na wanasiasa kunakufanya umomonyoke kiroho na Kuanza kuwa vuguvugu Jambo linalopelelekea kushindwa kukemea maovu ya serikali ukijificha kwenye kifungu Cha mamlaka zimewekwa na Mungu.

Mamlaka nyingine katika upeo wa kibinadamu ambo pia in roho wa Mungu ndani yake zinaonekana wazi kwamba zimejiweka na hazikuwekwa na Mungu lakini Nani akemee?

KKKT itapata misukosuko mingi Kwa sababu watu wa mfumo wameamua kupambana nayo, wapo watu hawana Dini na wao kwao kutumia majukumu ya umma kubomoa Dini Ili watawala wasikosolewe ni ajira.

KKKT isiwaone Kwa jicho la kawaida wanaochochea migogoro, iwaone Kwa jicho la kiserikali. Ifunge na kuomba wafutiliwe mbali wanaoingia Kanisani kujitaftia wafuasi na kuambatana nao wakiamini wakiandamana mfumo utawalinda.

Dini zirudi kwenye basics, ziachane na upendeleo wa nafasi.
 
Shoo anapanga maaskofu kwa malengo ya kisiasa
Wewe ndugu unaongea mambo ambayo huyajui kabisa,
umekuja hapa kuchafua tu, wala muundo wa KKKT huujui na wala hutaujua.
Askofu hateuliwi, anachaguliwa na waumini wa eneo husika kwa kinyang'anyiro.
 
Mnamuonea Askofu Shoo. System ya uongozi KKKT Askofu mkuu hana mamlaka ya kuingilia utawala wa Dayosis yeye ni kama mshauri tu
Hata baadhi ya maaskofu hawajijui.Mtu anatoka sumbawanga anakwenda konde anatoa tamko eti maaskofu hatukujadili mgogolo wa konde wakati haikuwa agenda.Wenye agenda walishampata Mwakihaba.Shoo alikuwa shahidi nini wameamua wajumbe halali wa konde.
 
U
Wewe ndugu unaongea mambo ambayo huyajui kabisa,
umekuja hapa kuchafua tu, wala muundo wa KKKT huujui na wala hutaujua.
Askofu hateuliwi, anachaguliwa na waumini wa eneo husika kwa kinyang'anyiro.
Utapoteza muda kumwelewesha.anadhani huwa kunakuwa fomu zakujaza ili ugombee uaskofu.
Shoo alichaguliwa kuwa mkuu wa kanisa akiwa na mwaka 1.kihuduma,lakini baraza likawatupa wakingwe wote
 
Tofauti ya kanisa katoliki na KKKT ni hapa. Namna ya kudeal na matatizo ya ndani ya kanisa hasa kwa viongozi wakubwa wa kanisa
 
Wewe ndugu unaongea mambo ambayo huyajui kabisa,
umekuja hapa kuchafua tu, wala muundo wa KKKT huujui na wala hutaujua.
Askofu hateuliwi, anachaguliwa na waumini wa eneo husika kwa kinyang'anyiro.
Wanapangwa ili wateuliwe
 
Mpuuzi wewe umetumwa na mafisadi wenzako kuharibu kanisa la MUNGU, Dr Shoo hanunuliki tulieni wapuuzi nyie
Jibu mujarabu!
Konde Askofu kiburi anataka kudondoka na Shoo!
Wafuasi wake hawakauki kumpiga vijembe Shoo!

Siwafahamu wala siyo mkeikeitii ila ukisikiliza mjadala Mwaikali anajiona perfect Sana, huo ni Ugonjwa mbaya!
 
Wapogolo husema "Watili wandu murungu pa katali", wakimaanisha "Ogopa Watu Mungu yuko mbali".
 
Jibu mujarabu!
Konde Askofu kiburi anataka kudondoka na Shoo!
Wafuasi wake hawakauki kumpiga vijembe Shoo!

Siwafahamu wala siyo mkeikeitii ila ukisikiliza mjadala Mwaikali anajiona perfect Sana, huo ni Ugonjwa mbaya!
Shoo kavunja katiba
 
Back
Top Bottom