Acha kupotosha watu,imerushwa itv,mchungaji wakiwa na waumini kanisan walisikia mlipuko mkubwa mbele madhabahu walipokimbilia wakakuta madhabahu inaungua uku kilichorushwa(chupa iliyo na utambi na petrol) kikionekana mbele ya kanisa wakat linateketeaNi shoti ya umeme mleta mada amepotosha
mh kwakweli natamani uongozi wa Jk niufoward uishe mapema
Acha kupotosha watu,imerushwa itv,mchungaji wakiwa na waumini kanisan walisikia mlipuko mkubwa mbele madhabahu walipokimbilia wakakuta madhabahu inaungua uku kilichorushwa(chupa iliyo na utambi na petrol) kikionekana mbele ya kanisa wakat linateketea
naomba picha kabla sijatukana
Nimeiangalia hiyo taarifa nimeshangaa sana..... Watanzania tunakoelekea si kuzuri
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Tekbir
Kama Policcm wangeachana na CHADEMA na kuanza kufanya kazi zao kwa mujibu wa sharia, matukio kama haya yasingetokea. Waislamu na Wakristo tuungane kuiondoa CCM madarakani 2015, otherwise matunda ya Uhuru tutayasikia tuu
Hapo watu wamekwisha jenga hisia......dini fulani hiyo.
Iyo tv ya manyaunyau nayo tv,hao walionekana wakikimbia yalikuwa majini,iyo shoti madhabauni umetokea wapi,bibli inatumia umeme mpaka ipige shoti nakuungua.,hayo majini yako peleka ukouko kwenu..hakuna ushirikiano kati ya macho yako, maskio na ubongo. Ujasiri wa kukimbilia moto tz unatoka wapi? Unawezekana? Ww ndio mpotoshaji ukisahau kuwa hata sisi tuna tv na tumeona
Kuna mtu kule Facebook kwenye group la wasafiri wa kwenda mbinguni alikuwa anawafundisha waislamu wenzake jinsi ya kutengeneza bomu la petrol kwa kutumia petrol, chupa na utambi atafutwe haraka. Post yake bado itakuwepo pale.
Hivi, ni kuwa polisi imeshindwa kabisa kukamata wale wa olasaiti? Kwa style hii, makanisa mengi sana yatachomwa moto maana wachomaji na walipuaji wanajua polisi hawawezi watafuta na sembuse kuwakamata, wanasubiri ushahidi wa ofisini.
nimesikia mlinzi wa kanisa hilo anashikiliwa kwa uchunguzi zaidi dah chonde chonde tuvumiliane tusilipe kisasi kwa wasiostahili.
akili matope, kwann usihisi ni kugombea uongozi na mali esp sadaka