Kanuniya68
Senior Member
- May 26, 2013
- 157
- 44
Kuna kitu kimewekwa kwenye jenereta la kanisa na jengo la kitega uchumi la kkkt kijitonyama kilichosadikiwa ni bomu, bomu hilo lilikuwa limeunganishwa na kamba iliyopita ng'ambo ya pili lakini polisi wamewahi na kuja kulitegua na kuondoka nalo, polisi wamegoma kutoa maelezo kama kweli ni bomu au la.
Source mimi mwenyewe
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kimenuka tena..Hofu imetanda kanisa la Kkkt usharika wa kijitonyama Dar es salaa... Hali ni tete kweli kweli..
Kimerushwa kitu kikiwa ndani ya box karibu na trasfoma ya umeme iliyoko kanisani hapo..
Polis wamefika na kuchukua boxi hilo na kuondoka nalo
waandishi wazuiwa kupiga picha!
Kwa sababu wamegoma kutoa maelezo na wananchi tumehisi hivyo. Ndio maana nimeandika bomu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums