Sawa mkuuYESU ni Mungu na Kuna Mungu shida Iko wapi waislamu mnashida sana kwa kukumbusha Kuna watu wanaamin ngombe ndo Mungu wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuYESU ni Mungu na Kuna Mungu shida Iko wapi waislamu mnashida sana kwa kukumbusha Kuna watu wanaamin ngombe ndo Mungu wao
NANI KASEMA SADAKA ZISITOLEWE?Sasa ataenezaje neno la Mungu pasipo sadaka? Mahema yanayofungwa , viti vinavyotumika unafikiri Hela inatoka wap? Bado kusafirisha vifaa mkoa Hadi mkoa Kwa ajili ya mikutano, Bado watumishi wale na wanywe walau maji. Huoni vyote hivyo vinahitaji pesa? Bado pesa za kurusha matangazo Ili neno la Mungu lisikike. Hujalazimishwa kutoa ni hiari ya mtu.
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Misukule mnapigwa sadaka huku mapadri wakiendesha LANDCRUISERS.Hiyo namba 3, waumini tuko imara sana. Maana michango yote tunayochanga ni kwa ajili ya kulitegemeza Kanisa la Mungu.
Halafu ifikie wakati tuwe wakweli! Hakuna binadamu asiyeishi katika Jumuiya! Sasa kama wewe jumuiya yako ni ya wavuta bangi, inakuwaje tena unataka uzikwe na jumuiya nyingine?
Toa mwongozo basi usiishie kusikitika tu MKUU-NDU-GUYANGUInasikitisha sana lakini...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaambiwa
Petro alikua mvuvi
Paulo alikua mjenga turubai
Yesu alikua Fundi Selemara
Sasa km Mchungaji/Padri/Paroko wako hana kazi yoyote inayomuingizia kipato tofauti na Sadaka za kanisa lenu na michango ya ku-force kwenye Jumuiya kila Jumamosi au Jumatano ili yeye anehemeke elewa kwamba huyo hana tofauti na MWIZI
Nitarudi tena...
Asante sana mkuu,umeua bendi.Hiyo namba 3, waumini tuko imara sana. Maana michango yote tunayochanga ni kwa ajili ya kulitegemeza Kanisa la Mungu.
Halafu ifikie wakati tuwe wakweli! Hakuna binadamu asiyeishi katika Jumuiya! Sasa kama wewe jumuiya yako ni ya wavuta bangi, inakuwaje tena unataka uzikwe na jumuiya nyingine?
Tate unaupiga mwingi.Sasa usipomjengea nyumba Padre wako kupitia hicho kidogo unachotoa! Atamjengea nani? Halafu unaposema watumishi wa Kanisa wanaishi kifahari, una maana gani!
Ulitaka walale nje, watembee kwa muguu kuja kukupa huduma ya kiroho, wale vyakula vichafu ili waumwe matumbo na kushindwa kuendesha ibada/misa!!
Mimi ninachofahamu, hiyo michango ni ya hiyari! Na ukiona inakukwaza, hamia Kanisa/dhehebu lingine ambalo halina hiyo michango. Kulalamika tu pasipo kuchukua hatua, haitakusaidia kitu.
Hizi ndio changamoto za kanisa la Tanzania. Tuzidi kumuomba Mungu.
1. Mikutano ya The Big Octoba na The Big Novemba iliyokuwa inahuhubiri kuacha dhambi na kumrudia Kristo imekufa.
2. Mwamposa na Suguye wanauza vifaa vya uponyaji mafuta, maji, keki na vitambaa badala ya kuhubiri watu waache dhambi, pia hawataki kufungua matawi mikoani na kupanda makanisa.
3.RC nao wamechachamaa kwa michango kuanzia kwenye jumuiya hadi Parokiani. Huna hela huzikwi.
4. Mwakasege naye amechachamaa na masomo ya sadaka mwanzo mwisho, mfano semina ya Mbeya (26-30 Oct, 2022) somo ni sadaka tu hakuna kingine.
5. KKKT nao hawaeleweki wachungaji wanaowaiga wapentekosti/walokole ndio wanapata umaarufu mfano Kimaro na Mgogo wale wanaohubiri kilutheriluther hawana chao wala umaarufu.
6. TAG/EAGT hawana wainjilisti wakitaifa kama kina Moses Kulola wamebakia wapigaji tu.
7.Viongozi was dini kugombania mialiko sherehe za kitaifa ili wakalambe asali no aibu.
INAUMA SANA
Tutaelewana tuWatumishi wameitwa kuhubiri uchemi kibiblia? Mbona unatupiga fix jamani? Hao hao watumishi walioitwa kuhubiri uchumi wakitaka gari la kutembea wanaomba mchango kwa waumini na waumini wakitaka gari wanaambiwa waombewe na mhubiri aliyewaomba mchango. Kwa nini yeye mhubiri asiombe gari kwa njia ya maombi?
Unajua kuishi kifahariTate unaupiga mwingi.
Kweli kabisa mtumishi. Mungu awatie nguvu watumishi wa kweliKuna ombwe kubwa la Mungu Roho Mtakatifu anayetutia nguvu kumhubiri Yesu Kristo kwa usahihi
Sahihi kabisaYesu Kristo hakuja kufungua majengo ama taasisi ziitwazo Kanisa. Kimsingi Kanisa ni kusanyiko - congregation - eklesia. Kristo alikuja kutangaza habari njema ya ufalme wa Mungu. Taasisi zilizojiita "Kanisa" ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu, lakini mpango wa Mungu kumtafuta mwanadamu ni kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo.
Tumeitwa kuwa ufalme wa makuhani:
Ufunuo wa Yohana 5:9
Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulichinjwa, ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa,
Ufunuo wa Yohana 5:10
ukawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu wetu; nao watamiliki juu ya nchi.
Hawa ni wana wa ufalme wa makuhani kwa Mungu, kutoka dunia yote. Kumbuka Kristo katika mafundisho yake aliongelea agenda moja tu, UFALME WA MUNGU. Ili kuwa raia wa ufalme wa Mungu ni lazima uzaliwe huko, ndio maana ya kuzaliwa mara ya pili. Mungu ni Roho na ufalme wake ni wa kiroho. Huwezi kuwa mwana wa ufalme kwa jinsi ya kimwili bali kwa kuutiisha mwili ni kumfanya Roho atawale. Hili ndio aina ya Kanisa aliloacha Kristo, Kanisa la wamwabuduo halisi.
Makanisa mengi leo hii yapo kimwili tu huku yakijiita wana wa Mungu. Sio kila ajiitaye Mkristo ni mwana wa Mungu, church membership haikufanyi kuwa mwana. Ndio hizo taratibu na sheria nyingi za makanisa. Makanisa ya mali na mafanikio, makanisa yanayolilia milki za dunia. Hayo yanekoma kuwa makanisa ya Mungu aliye hai, ekklesia
Dini ni biashara skuhizi, ukitaka maisha mazuri fungua Kanisa.Hiyo namba 3, waumini tuko imara sana. Maana michango yote tunayochanga ni kwa ajili ya kulitegemeza Kanisa la Mungu
Ila pia siku ya pentekoste kwa wanafunzi wa Yesu 120 walipopokea Nguvu ya Roho Mtakatifu kama alivyowaahidi Yesu mwenyewe (Mdo 1:8) na kama ilivyonenwa na manabiiTofautisha upentekoste na Protestant. Upentekoste wa Sasa ulianza 1900's kwenye uhamsho wa Azusa kule marekani. Na muasisi ws vuguvugu la upentekoste ni mmarekani mweusi mch William Seymour.
Sadaka ya 5,000 kuna baadhi ya makanisa haipokelewi. Wanatangaza kabisa kuwa leo sadaka ni kuanzia 20K. Hiyo 5K rudi nayo tu nyumbani ukainywee hata bia ukipenda. Ukristo wa sasa huu acha tu!Bora utoe sadaka kuliko kununua bando la 5000 kufatilia UMBEA insta na fb
Majaribu ni mtihani wa kirohoHizi ndio changamoto za kanisa la Tanzania. Tuzidi kumuomba Mungu.
1. Mikutano ya The Big Octoba na The Big Novemba iliyokuwa inahuhubiri kuacha dhambi na kumrudia Kristo imekufa.
2. Mwamposa na Suguye wanauza vifaa vya uponyaji mafuta, maji, keki na vitambaa badala ya kuhubiri watu waache dhambi, pia hawataki kufungua matawi mikoani na kupanda makanisa.
3.RC nao wamechachamaa kwa michango kuanzia kwenye jumuiya hadi Parokiani. Huna hela huzikwi.
4. Mwakasege naye amechachamaa na masomo ya sadaka mwanzo mwisho, mfano semina ya Mbeya (26-30 Oct, 2022) somo ni sadaka tu hakuna kingine.
5. KKKT nao hawaeleweki wachungaji wanaowaiga wapentekosti/walokole ndio wanapata umaarufu mfano Kimaro na Mgogo wale wanaohubiri kilutheriluther hawana chao wala umaarufu.
6. TAG/EAGT hawana wainjilisti wakitaifa kama kina Moses Kulola wamebakia wapigaji tu.
7.Viongozi was dini kugombania mialiko sherehe za kitaifa ili wakalambe asali no aibu.
INAUMA SANA
Tunazidi kufunguka akili zetu ee Mungu tupe mwanga zaidi tuijue kweli yako!Hizi ndio changamoto za kanisa la Tanzania. Tuzidi kumuomba Mungu.
1. Mikutano ya The Big Octoba na The Big Novemba iliyokuwa inahuhubiri kuacha dhambi na kumrudia Kristo imekufa.
2. Mwamposa na Suguye wanauza vifaa vya uponyaji mafuta, maji, keki na vitambaa badala ya kuhubiri watu waache dhambi, pia hawataki kufungua matawi mikoani na kupanda makanisa.
3.RC nao wamechachamaa kwa michango kuanzia kwenye jumuiya hadi Parokiani. Huna hela huzikwi.
4. Mwakasege naye amechachamaa na masomo ya sadaka mwanzo mwisho, mfano semina ya Mbeya (26-30 Oct, 2022) somo ni sadaka tu hakuna kingine.
5. KKKT nao hawaeleweki wachungaji wanaowaiga wapentekosti/walokole ndio wanapata umaarufu mfano Kimaro na Mgogo wale wanaohubiri kilutheriluther hawana chao wala umaarufu.
6. TAG/EAGT hawana wainjilisti wakitaifa kama kina Moses Kulola wamebakia wapigaji tu.
7.Viongozi was dini kugombania mialiko sherehe za kitaifa ili wakalambe asali no aibu.
INAUMA SANA
😅😅😅Sasa hao ni wafanyabiasharaSadaka ya 5,000 kuna baadhi ya makanisa haipokelewi. Wanatangaza kabisa kuwa leo sadaka ni kuanzia 20K. Hiyo 5K rudi nayo tu nyumbani ukainywee hata bia ukipenda. Ukristo wa sasa huu acha tu!