Kanisa la Tanzania linapitia kipindi kigumu sana. Mungu alinusuru

NANI KASEMA SADAKA ZISITOLEWE?
SOMA UELEWE NDIO UCHANGIE!

SADAKA ZIAMBATANE NA MAFUNDISHO SAHIHI!

BADALA YA KUHUBIRI INJILI SEMINA NZIMA UNAHUBIRI SADAKA TU NA KUGAWA BAHASHA MARA TATU TATU???!!!

MBONA HUKEMEI DHAMBI? INJILI HALISI YA KUZALIWA, KUTESWA, KUFA NA KUFUFUKA KWA YESU IMEISHIA WAPI?

MSITAPELI WATU KWA KUWA HAWAWEZI KUHOJI WALA MAANDIKO HAWAJUI/HAWASOMI BIBLIA.

Mtume Paulo alisema MTU yoyote akiwaletea Injili tofauti na hii ya kufa na kufufuka kwa Yesu pamoja na tumaini lililopo mbele yetu na alaaniwe!!!!

MLAANIWE ENYI MATAPELI!!!
 
Misukule mnapigwa sadaka huku mapadri wakiendesha LANDCRUISERS.

Tate umepotoka Mkuu- ndu-gu-yangu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Asante sana mkuu,umeua bendi.
 
Tate unaupiga mwingi.
 
Kuna ombwe kubwa la Mungu Roho Mtakatifu anayetutia nguvu kumhubiri Yesu Kristo kwa usahihi
 
Tutaelewana tu
 
Sahihi kabisa
 
Tofautisha upentekoste na Protestant. Upentekoste wa Sasa ulianza 1900's kwenye uhamsho wa Azusa kule marekani. Na muasisi ws vuguvugu la upentekoste ni mmarekani mweusi mch William Seymour.
Ila pia siku ya pentekoste kwa wanafunzi wa Yesu 120 walipopokea Nguvu ya Roho Mtakatifu kama alivyowaahidi Yesu mwenyewe (Mdo 1:8) na kama ilivyonenwa na manabii
 
Majaribu ni mtihani wa kiroho
 
Tunazidi kufunguka akili zetu ee Mungu tupe mwanga zaidi tuijue kweli yako!
 
Sadaka ya 5,000 kuna baadhi ya makanisa haipokelewi. Wanatangaza kabisa kuwa leo sadaka ni kuanzia 20K. Hiyo 5K rudi nayo tu nyumbani ukainywee hata bia ukipenda. Ukristo wa sasa huu acha tu!
😅😅😅Sasa hao ni wafanyabiashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…