Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Gari la 407M la kazi gani wakatiπππ‘ππ¦π ππ πͺππππ©ππ‘π§ππ¦π§π πͺππ¦ππππ§π’ πππ π¦ππ¨ππ¨π₯π¨ π₯πππ¦ π¦ππ ππ ππͺπ π π¦ππ πππ πͺπ ππ’ππ
Bodi ya Wadhamini wa Kanisa la Waadventista Wasabato imemuomba Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete (Mb), kufikisha salamu za shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa msamaha wa kodi na ushuru wa forodha wakati wa ununuzi wa magari ya kitume kwa ajili ya shughuli za Kanisa.
Ombi hilo limetolewa na Katibu Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wasabato, Mchungaji Enock Marwa Sando, Oktoba 24, 2026, wakati wa kupokea gari lililonunuliwa kwa michango ya waumini, wadau na marafiki wa Kanisa la Waadventista Wasabato, Jimbo Kuu la Mara (Mara Conference).
Gari hilo limegharimu jumla ya takribani shilingi milioni 407.4 na linatarajiwa kusaidia katika utekelezaji wa shughuli za kitume na huduma mbalimbali za Kanisa.
Kanisa la SDA nalo limeingiliwa na ushetani. Gari la milioni 400 la kazi gani? Hili kanisa lina mahitaji mengi ya muhimu kuliko hizo anasa za kununua LC300. Robert Heriel Mtibeli wewe kama msabato lisemee kanisa lako
Duh linahitaji ufafanuziAlafu kuna mtu anaoga anaenda kwenye hii sanaa...haha..
Mabwege ni wengi aisee....
Utume gani zaidi ya kuwapumbaza malofa...
Huyu Yesu angekuwa kama ninyi binadamu wa sasa hakika asingetoboa na sia ajabu asingerudi tena kwa baba.πππ‘ππ¦π ππ πͺππππ©ππ‘π§ππ¦π§π πͺππ¦ππππ§π’ πππ π¦ππ¨ππ¨π₯π¨ π₯πππ¦ π¦ππ ππ ππͺπ π π¦ππ πππ πͺπ ππ’ππ
Bodi ya Wadhamini wa Kanisa la Waadventista Wasabato imemuomba Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete (Mb), kufikisha salamu za shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa msamaha wa kodi na ushuru wa forodha wakati wa ununuzi wa magari ya kitume kwa ajili ya shughuli za Kanisa.
Ombi hilo limetolewa na Katibu Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wasabato, Mchungaji Enock Marwa Sando, Oktoba 24, 2026, wakati wa kupokea gari lililonunuliwa kwa michango ya waumini, wadau na marafiki wa Kanisa la Waadventista Wasabato, Jimbo Kuu la Mara (Mara Conference).
Gari hilo limegharimu jumla ya takribani shilingi milioni 407.4 na linatarajiwa kusaidia katika utekelezaji wa shughuli za kitume na huduma mbalimbali za Kanisa.
πππ‘ππ¦π ππ πͺππππ©ππ‘π§ππ¦π§π πͺππ¦ππππ§π’ πππ π¦ππ¨ππ¨π₯π¨ π₯πππ¦ π¦ππ ππ ππͺπ π π¦ππ πππ πͺπ ππ’ππ
Bodi ya Wadhamini wa Kanisa la Waadventista Wasabato imemuomba Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete (Mb), kufikisha salamu za shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa msamaha wa kodi na ushuru wa forodha wakati wa ununuzi wa magari ya kitume kwa ajili ya shughuli za Kanisa.
Ombi hilo limetolewa na Katibu Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wasabato, Mchungaji Enock Marwa Sando, Oktoba 24, 2026, wakati wa kupokea gari lililonunuliwa kwa michango ya waumini, wadau na marafiki wa Kanisa la Waadventista Wasabato, Jimbo Kuu la Mara (Mara Conference).
Gari hilo limegharimu jumla ya takribani shilingi milioni 407.4 na linatarajiwa kusaidia katika utekelezaji wa shughuli za kitume na huduma mbalimbali za Kanisa.
Zaburi 23 mstari wa kwanza....Bwana ndiye....Duh linahitaji ufafanuzi
Mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu!!! kweli mkuu, wakati mwingine inakuwa ni anasa tunarudi kulekule kwenye zama za martini rutherZaburi 23 mstari wa kwanza....Bwana ndiye....
well done wasabato kwa kutambua mchango wa serikali sikivu ya ccm kwenye ukuaji wa kanisa la kisabato Tanzaniaπππ‘ππ¦π ππ πͺππππ©ππ‘π§ππ¦π§π πͺππ¦ππππ§π’ πππ π¦ππ¨ππ¨π₯π¨ π₯πππ¦ π¦ππ ππ ππͺπ π π¦ππ πππ πͺπ ππ’ππ
Bodi ya Wadhamini wa Kanisa la Waadventista Wasabato imemuomba Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete (Mb), kufikisha salamu za shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa msamaha wa kodi na ushuru wa forodha wakati wa ununuzi wa magari ya kitume kwa ajili ya shughuli za Kanisa.
Ombi hilo limetolewa na Katibu Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wasabato, Mchungaji Enock Marwa Sando, Oktoba 24, 2026, wakati wa kupokea gari lililonunuliwa kwa michango ya waumini, wadau na marafiki wa Kanisa la Waadventista Wasabato, Jimbo Kuu la Mara (Mara Conference).
Gari hilo limegharimu jumla ya takribani shilingi milioni 407.4 na linatarajiwa kusaidia katika utekelezaji wa shughuli za kitume na huduma mbalimbali za Kanisa.
Yale ma V8 kwenye msafara wenu huyaoni? Kwani hamjui kwamba hakuna zahanati za kutosha?Gari la 407M la kazi gani wakati
Kanisa halina zahanati za kutosha, hii ingejenga zahanati au kituo cha afya.
Zingenunua hata TX mbili zingesaidia kuliko gari moja la anasq kama hili
Stupid so called mchungaji....maovu yaliyotendwa na serikali hayaoni na kuyakemeaπππ‘ππ¦π ππ πͺππππ©ππ‘π§ππ¦π§π πͺππ¦ππππ§π’ πππ π¦ππ¨ππ¨π₯π¨ π₯πππ¦ π¦ππ ππ ππͺπ π π¦ππ πππ πͺπ ππ’ππ
Bodi ya Wadhamini wa Kanisa la Waadventista Wasabato imemuomba Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete (Mb), kufikisha salamu za shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa msamaha wa kodi na ushuru wa forodha wakati wa ununuzi wa magari ya kitume kwa ajili ya shughuli za Kanisa.
Ombi hilo limetolewa na Katibu Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wasabato, Mchungaji Enock Marwa Sando, Oktoba 24, 2026, wakati wa kupokea gari lililonunuliwa kwa michango ya waumini, wadau na marafiki wa Kanisa la Waadventista Wasabato, Jimbo Kuu la Mara (Mara Conference).
Gari hilo limegharimu jumla ya takribani shilingi milioni 407.4 na linatarajiwa kusaidia katika utekelezaji wa shughuli za kitume na huduma mbalimbali za Kanisa.
Mimi nilianzia kanisa hili wazinguaji hatari! Shauri yao!Alafu kuna mtu anaoga anaenda kwenye hii sanaa...haha..
Mabwege ni wengi aisee....
Utume gani zaidi ya kuwapumbaza malofa...
Wakatoliki mna nongwa aiseeGari la 407M la kazi gani wakati