Ndoa ni msingi wa familia. Na ndoa ni msingi wa Taifa bora.Kwaiyo unataka kusema nini?
Sawa ilaakina ndoa inayodumu kama za kimila.Ndoa ni msingi wa familia. Na ndoa ni msingi wa Taifa bora.
Ibada za Makanisa ziache kusisitiza Pesa na sadaka tu. Zifundishe na umuhimu wa ndoa mapema kujenga kizazi bora na kuepusha na uzinzi.
Hata waislamu wanajitahidi sana kusisitiza ndoa za mapema
Kila sehemu ni utaratibu waliojiwekea, kwamfano Finland vijana wanaruhusiwa kutest mitambo kabla ya kuishi pamoja lengo mtaazamane mfahamiane mkiridhika mnaoanaMakanisa mengi ya wakristo leo hasa makubwa kama RC na KKKT mafundisho yao hayafundishi umuhimu wa ndoa kwa vijana wao. Wasabato ndio waliobaki kusisitiza hilo.
Tazama picha za maharusi wao mume na mke wanavyokuwa wadogo
Ndoa za utotoni eti zinajenga bondTazama picha za maharusi wao mume na mke wanavyokuwa wadogo
Ndoa kama hii ni rahisi kujenga bond kubwa ya upendo maana mke na mume mnapita phase zote za maisha pamoja toka ujana wenu.
Na mwanamke anakuwa kwenye fertility age muda mrefuuu.
Hata waislamu pia wanafundisha sana na kusisitiza ndoa za mapema kuepuka zinaa
sasa usabato unatusaidia nini sisi tuwekee andiko na sio porojo......ulishawahi sali RC ww ukasikiliza mafundisho yao au Lutheran? ....................?na uo umri wa kuoa ni miaka mingapi na umri wa kuolewa n miaka mingap na kwenye mstari upi ndani ya bibliaMakanisa mengi ya wakristo leo hasa makubwa kama RC na KKKT mafundisho yao hayafundishi umuhimu wa ndoa kwa vijana wao. Wasabato ndio waliobaki kusisitiza hilo.
Tazama picha za maharusi wao mume na mke wanavyokuwa wadogo
View attachment 2950875
Ndoa kama hii ni rahisi kujenga bond kubwa ya upendo maana mke na mume mnapita phase zote za maisha pamoja toka ujana wenu.
Na mwanamke anakuwa kwenye fertility age muda mrefuuu.
Hata waislamu pia wanafundisha sana na kusisitiza ndoa za mapema kuepuka zinaa
Kaulize wakatoliki na walutheri kila kuchapo vijana wa kisabato wanao mabinti wa kikatoliki na kilutheri na ndoa hufungwa katoliki na Lutheran sio sabato
Point yangu iko kwenye usabatoni vile wana maadili sana!Kaulize wakatoliki na walutheri kila kuchapo vijana wa kisabato wanao mabinti wa kikatoliki na kilutheri na ndoa hufungwa katoliki na Lutheran sio sabato
Vijana wengi wa kisabato wanaongoza kuoa wasichana wa kilutheri na kikatoliki hawawataki mabinti wa kisabato sababu sijajua
Ila ndhani zamani labda mabinti wa kisabato walikuwa vizuri sio sasa hivi .Mabinti wengi tu wa kisabato ma bar maid na wana grocery na mahawara wasio wasabato kibaon nk ila sabato huenda kanisani
Sidhani kama mabinti wengi wa kisabato sasa hivi ni kama Mama zao .Sidhani wanebaki tu na sauti Nyerere ya kuimba kwaya tu
Wachungaji wa Sabato wana kazi ya ziada hasa kwa mabinti wa kisabato
Ongera sana mkuu.Mi nimeoa nikiwa 26 wife 24
Ndoa za namna hii mwanaume atakuwa chanzo cha matatizo. Kwasabb mwanamke huzeeka haraka, kama siyo mwili mzima, basi atazeeka kwa bibi (pauchi) na matiti, plus kuchokwa na mume.Ndoa kama hii ni rahisi kujenga bond kubwa ya upendo maana mke na mume mnapita phase zote za maisha pamoja toka ujana wenu.
Na mwanamke anakuwa kwenye fertility age muda mrefuuu.
Umeolewa na miaka mingapi?Sasa hivi kijana anatoka chuo na invoice ya deni la HESLB halafu aoe ghafla ndo atajua hajui. Hali kwa sasa imebadilika mno. Cha muhimu kila mtu afanye jambo sahihi kwa muda wake sahihi. Kuna wanaooa na miaka 22 na kuna wengine 40. Kila mtu na muda wake.