Kanisa la wasabato ndio pekee linalofata neno Maana halisi ya Mke wa ujana wako. Ndoa zifungwe wote mkiwa wadogo

Tusichape tu wakuu..hii kuoa hamna alieoko tayar...c wa kike Wala kiume
 
Kuna uhusiano gani kati ya mtu kuamua kuoa na kanisa analosali? Kuoa/kuolewa ni utashi binafsi
 
Sijawahi kuona Wasabato wameongea mambo yao bila kujilinganisha na wengine hasa RC. Hivi RC ndiyo benchmark ya utakatifu wenu? Hamuwezi kuongea mambo yenu bila kujilinganisha nao?
 
Hivi wanaruhusu kufuga ndevu!!
 
Unaweza kudhibitisha kuwa ndoa ni dawa ya uzinzi?
 
Ungetuletea takwimu ili tujue pia kwa muda wa miaka kumi labda ndoa kadhaa za kisabato na kikatoliki zimedumu ngapi na zimevinjika ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…