kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia. Huwezi kuhubiri na kueneza duniani kama hakuna amani, na kazi ya kusimamia amani na utulivu ni kazi ya watawala(wanasiasa).
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema kitu chochote kwa raia waliokusanyika kanisani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema kitu chochote kwa raia waliokusanyika kanisani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.