Wewe unachanganya mambo! Unatetea kitu gani hasa??Watu wanautaratibu wao, kanisa mbona limekua na mchango mkubwa ba lina mahusiano mazuri na serikali, hujui kuna mashirika ya kikanisa na kipapa yanatia huduma nyingi kwa jamii, hujui mashule, vyuo, mahospitali, zahanati n.k.Hayo yite huoni unaona ushirikiano wa kanisa na serikali ni pale viongozi wake wanapoenda kuongea madhabahunu.Umechanganyikiwa??Huwezi kutishwa na kinyago ulichokichonga mwenyewe. Kama naweza kukusajiri naweza kukufuta pia. Serikali haina mpaka wa kuingia na kusema popote ambapo Kuna raia wake. Kama kanisani Kuna wabakaji na wakwepa kodi itawafuata huko huko wanakopatikana. Nyerere aliwahi kutaifisha mali za makanisa walimfanya nini?