Kanisa limepiga marufuku wanasiasa kusalimia kanisani, wamekosea sana

Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.

Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.

Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Waambie serikalini waanzishe makanisa yao, yatayowapa fursa ya kusimama kwenye mimbali ka kuzingumza wanachotaka
 
Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.

Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.

Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Uzziah alipata matatizo makubwa sana kisa kujifanya kwenda kwenye madhabahu isiyomhusu. Yaani mwanasiasa anayeuwa watu then akae kuongea na waumini ambao ndugu zao wameuawa haingii akilini. Ni muhimu kutenda haki.
 
Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.

Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.

Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Kama umeandika kupata engagement, it is well and good
 
Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.

Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.

Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Anzisha kanisa lako liwe pango la wanasiasa waongo waongo. TEC tumechoka na huo.upuuzi
 
Utaratibu wa kanisa unatambulishwa kwa jina lako unasimama unawapungia mkono waimini, kama si kiongozi hauruhusiwi kupanda kwenye jukwaa la mapadri au wachungaji.
Mbona watu hupanda kupeleka sadaka, kubatiza, kupeleka shukrani, kusoma neno siku ya ndoa, wasaini vyeti vya ndoa na wapigapicha pia wakati mwingine hupanda?
 
Hii ni vita ya kidini sasa..
Wakatoliki hapa mnakosea sana.

Hii ni vita Dhidi ya Mama.
 
Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.

Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.

Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Kanisani nani amekuambia ni sehemu ya mamlaka za kidunia kutoa matamko yao na mipasho?
 
Wanasisa ndiyo waruhusiwe kuchanganya dini na siasa? Wanasiasa ndiyo waruhusiwe kuyageuza madhabahu kuwa uwanja wa kampeni zao na kampeni za hao wanaowatuma?
Mbona kanisa hata likiongelea masuala ya kijamii kama watu kutekwa, kuteswa na kuuawa ambao rightly so ni wajibu wao mnawalalamikia?
This double standard is pathetically ridiculous.
 
Kikawaida huwezi kutenganisha dini na siasa/serikali kwakua dini ilianzishwa kwa lengo la kulainisha/walainishaji ili watawala watawale kirahisi. Agents of colonialism walikuwepo kitengo cha dini hivyo kusema unawakataza wasiseme ni kama unajitekenya na kucheka mwenyewe maana imeandikwa na hao waandishi wa bible kua heshimu mamlaka ilioko juu sasa kupingana na mafundisho mufundishayo ni maigizo. Na dini husajiliwa na wanasiasa. Maana tofuti zao ni kua wanasiasa huaidi maisha bora duniani na wanadini huaidi maisha bora mbinguni xo wote ni wazee wa ahadi tu.
Hapo watamshughulikia tu! ni suala la muda.
ULichokisema upo sahihi, dini haipaswi kupingana na mamlaka, wanatakiwa kutii mamlaka, na ndio maana wameanza na hili
.. wameambiwa wasichanganye/ wasifanye siasa kwenye nyumba za ibada hivyo basi wametii hiyo amri kwa kuwaweka katazo la wanasiasa kuongea kwenye nyumba za ibada. Hawajakatazwa kushiriki ibada.
 
Huwezi kutishwa na kinyago ulichokichonga mwenyewe. Kama naweza kukusajiri naweza kukufuta pia. Serikali haina mpaka wa kuingia na kusema popote ambapo Kuna raia wake. Kama kanisani Kuna wabakaji na wakwepa kodi itawafuata huko huko wanakopatikana. Nyerere aliwahi kutaifisha mali za makanisa walimfanya nini?
Wanasiasa ambao ni waiba kura, watekaji, waiba fedha za umma, wazinzi, wafiraji, waongo, wamwagaji wa damu za watu, waabudu sanamu, ndio hao wanaoingia kwenye nyumba za ibada.

Kwa nini wakikumbushwa kuhusu kuziacha njia zao mbaya kwenye nyumba ambazo zipo kwa ajili hiyo wanakuwa wakali!!???

Unapoenda hospitali, unategemea uhubiriwe au utibiwe!!??
 
Kanisani nani amekuambia ni sehemu ya mamlaka za kidunia kutoa matamko yao na mipasho?
Sio mamlaka ya kidunia na wanachukua sadaka ? Si yangejengwa mbinguni haya mahekalu. Wewe angalia Rome Empire alafu uniambie sio mamlaka ya kidunia?
 
ULichokisema upo sahihi, dini haipaswi kupingana na mamlaka, wanatakiwa kutii mamlaka, na ndio maana wameanza na hili
.. wameambiwa wasichanganye/ wasifanye siasa kwenye nyumba za ibada hivyo basi wametii hiyo amri kwa kuwaweka katazo la wanasiasa kuongea kwenye nyumba za ibada. Hawajakatazwa kushiriki ibada.
Kwenye ile miimili ya 7 kidunia. Pope yuko pale juu alafu baada ya hapo wanakuja wanasiasa huku chini ndio utakuta viongozi wa dini (walainishaji:- utasikia tumeongea na viongozi wa dini wamesema tusiandamane tusije tukamwaga damu) na wadhibiti (dola/jeshi).
Na hawa si ndio waliosema ukipgwa shavu la kulia geuza na la kushoto?
 
Sio mamlaka ya kidunia na wanachukua sadaka ? Si yangejengwa mbinguni haya mahekalu. Wewe angalia Rome Empire alafu uniambie sio mamlaka ya kidunia?
Kanisani tunaenda kumuabudu Mungu, kinachohitajika pale ni ibada sio vitu vingine mkuu, mgeni atambulishe apunge mkono tumpokee, kama mgeni huyo ni Kuhani tutatamani kusikia chochote, kama sio Kuhani baada ya ibada akaione ofisi kama atakuwa na jambo
 
Back
Top Bottom