Kanisa limepiga marufuku wanasiasa kusalimia kanisani, wamekosea sana

Kanisa limepiga marufuku wanasiasa kusalimia kanisani, wamekosea sana

hutaki mwanasiasa asalimie kanisa af unataka achangie mifuko Mia ya cement ......
Wash e NZI kweli.

Mwanasiasa asipopewa priority kanisani, viongozi wa dini watalala njaa.
 
Kanisani tunaenda kumuabudu Mungu, kinachohitajika pale ni ibada sio vitu vingine mkuu, mgeni atambulishe apunge mkono tumpokee, kama mgeni huyo ni Kuhani tutatamani kusikia chochote, kama sio Kuhani baada ya ibada akaione ofisi kama atakuwa na jambo

Zile milioni ishirini ishirini mnazowataka wachangie baada ya kusalimia kanisa make sure mnageukia njia nyingine ya kuchangishana.
 
Kanisani tunaenda kumuabudu Mungu, kinachohitajika pale ni ibada sio vitu vingine mkuu, mgeni atambulishe apunge mkono tumpokee, kama mgeni huyo ni Kuhani tutatamani kusikia chochote, kama sio Kuhani baada ya ibada akaione ofisi kama atakuwa na jambo
Mbona kwenye majukwa ya kisiasa pia viongozi wa dini hupewa nafasi yakuongea mambo yao na ibada?
 
Kwenye ile miimili ya 7 kidunia. Pope yuko pale juu alafu baada ya hapo wanakuja wanasiasa huku chini ndio utakuta viongozi wa dini (walainishaji:- utasikia tumeongea na viongozi wa dini wamesema tusiandamane tusije tukamwaga damu) na wadhibiti (dola/jeshi).
Na hawa si ndio waliosema ukipgwa shavu la kulia geuza na la kushoto?
Maana ya 'ukipigwa shavu la kushoto, geuza na kulia' ni kwamba usilipe kisasi. Hawajalipa kisasi, hawewi kufanya hivyo ni kinyume na Imani, "wametii amri ya mamlaka"
 
Maana ya 'ukipigwa shavu la kushoto, geuza na kulia' ni kwamba usilipe kisasi. Hawajalipa kisasi, hawewi kufanya hivyo ni kinyume na Imani, "wametii amri ya mamlaka"
Usilipe kisasi na ugeuze shavu la kushoto? Wakati Taifa teule (Israel) la Mungu wao analipa kisasi huko Gaza na Iran? Ni ajabu kweli?
 
Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.

Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.

Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Umesahau ile kauli ya kuchanganya dini na siasa?
 
Kanisa katoliki limetumika sana kwenye siasa baada ya Dr Kitila kupigwa na majibu wanayotoa wazee wa kazi wakaona waje na hilo katazo kitu ambacho ni kama wamechelewa kufanya hivyo..
 
Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.

Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.

Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Ni sawa tu mimbari ya nyumba za dini itumike kwa mambo ya dini tu
 
Usilipe kisasi na ugeuze shavu la kushoto? Wakati Taifa teule (Israel) la Mungu wao analipa kisasi huko Gaza na Iran? Ni ajabu kweli?
Ooh, kumbe mjadala ni kuhusu Israel! Huku, sina ufahamu na yanayojili maana Mimi si muumini wao. Nilikuwa tu nakujibu hoja Yako juu ya kauli ya kanisa kuhusu wanasiasa.
 
Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.

Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.

Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Hizo ndizo fikra za mwanaccm
 
kwamba wajatiwe umeme kwasababu wamekataa kuchanganya dini na siasa?
Kanisa lina nguvu hilo utashangaa wamevuta umeme na maji straight from Vatican
 
Huwezi kutishwa na kinyago ulichokichonga mwenyewe. Kama naweza kukusajiri naweza kukufuta pia. Serikali haina mpaka wa kuingia na kusema popote ambapo Kuna raia wake. Kama kanisani Kuna wabakaji na wakwepa kodi itawafuata huko huko wanakopatikana. Nyerere aliwahi kutaifisha mali za makanisa walimfanya nini?
Hiyo serikali unayozungumzia ni mashetani? Au ni waumini hao hao ambao wanaenda kuungama na kuabudu kanisani? Nyingi kukundi Cha watu wachache mnadhani mnaweza kulitisha kanisa? Waseminari wako kila engo humo unakokuita serikalini ni niwatiifu kwa mamlaka ya kanisa kuliko unavyofikiri wamepikwa wakapikika
 
Kinachowachelewesha kulifuta kanisa katoliki ni nini sasa. Acha maneno mengi, fanya kwa vitendo.
RC ni taasisi yenye heshima na uwekezaji mkubwa, lakini kama akitokea mtumishi wa kanisa anawashwawashwa na kutaka kuligeuza kanisa jukwaa kuipinga serikali kwa wazi au kwa kificho kupitia kanisa, mtumishi huyo lazima atakumbushwa tu kuwa hata yeye ni raia kama raia wengine, yuko chini ya Rais ya Jamhuri ya Muungano. There is no a safe zone kwa mtu yeyote ambae yuko tanzania. Tunafahamu kuwa kanisa linakusanya fedha nyingi sana kutoka kwa ra
Mnasema tusichanganye dini na siasa,sasa kosa lao n nn
Serikali haina dini yake ila raia wake wanazo dini zake. Serikali haiwezi kuzuiwa kuingia popole walipo raia wake. Kuna dhana potovu ya viongozi wa dini kudhani kuwa wale waumini ni mali yao wanaweza kuwamiliki na kuwaamrisha kufanya lolote. Dhana hii mbovu ndiyo aliyonayo Gwajima kudhani kuwa wale waumini ni mali yake binafsi.

Kanisa linahitaji wanasiasa ili kuwepo lakini wanasiasa hawahitaji kanisa kuwepo kwao. Siku moja Tanzania inaweza kupata mwanasiasa ambae atatunga sera ya kuyafuta makanisa na misikiti yote na ikawa hivyo.

Tunajua kuwa makanisa na misikiti ni njia moja ya uwekezaji kama uwekezaji mwingine ule. Wanakusanya kodi (sadaka, fungu la kumi, sadaka za kujimaliza na michango miiiiingi) ya kila siku, wiki, mwezi na mwaka isiyowanufaisha waumini. Ni wafanyabiashara kama wafanyabiashara wengine tu. Ada ya shule zao ni kubwa sana kwa wote bila kujali waumini wao au la. Hata waumini wao wanashindwa kulipa gharama za matibabu kwenye hospitali za kanisa na kwenda kutibiwa hospitali za serikali za serikali au kwenda kwa waganga kutibiwa. Wasifikiri wanasiasa hawalijui hilo.
 
Huo uliosema ni upuuzi sawa na upuuzi mwingine tu. Kwani Israel inalindwa na Mungu au inalindwa na Marekani? Kwenye vita watu wanaabudu makanisani au wanakusanywa kwenye makambi ya wakimbizi?
Mheshimiwa mtukufu kwani na kule Israel wanakolindwa na Marekani wanapotezwa kama ndugu yetu Mdude na Soka?
Damu ya Mdude Nyangali ilimwagwa kama maji,na polisi bado wapo ofisini wanachunguza aisee.
Huduma za kijamii zinaendelea na hata wewe unaendelea kutojali,ila Kanisa kuzuia taarabu umetoa macho kama mjusi.
Kwanza Tulia alisema wakati huu wa uchaguzi hawataki kwenda mbinguni.
 
Wewe unachanganya mambo! Unatetea kitu gani hasa??Watu wanautaratibu wao, kanisa mbona limekua na mchango mkubwa ba lina mahusiano mazuri na serikali, hujui kuna mashirika ya kikanisa na kipapa yanatia huduma nyingi kwa jamii, hujui mashule, vyuo, mahospitali, zahanati n.k.Hayo yite huoni unaona ushirikiano wa kanisa na serikali ni pale viongozi wake wanapoenda kuongea madhabahunu.Umechanganyikiwa??
Hayo mashirika ya dini unayosema yanafanya biashara kama wafanyabiashara wengine, wamekuwa wakisamehewa kodi kwa miaka mingi na kuruhusiwa kukusanya kodi (sadaka na michango) nyingi sana kutoka kwa raia. Bila shaka unazijua idadi na aina ya sadaka na michango wanayokusanya hawa mabwana. Je, unajua ukubwa wa ardhi ya tanzania ambayo iko chini ya kanisa? Hebu nyamaza kama hujui.
 
Wewe ukiambiwa watekaji na wabakaji na wezi waje wasalimie familia yako huku majirani wakijua tabia zao na watoto wako,utakubali!!?Nilishasema chama dola waache kwenda ibadani waende baa
 
Du umefika mbali, hakuna taasisi ambayo serikali haiwezi kuifuta kama sababu za wazi za kuifuta zipo. Sema tu RC hakuna wahuni wengi, lakini kama ubakaji na ulawiti utakuwa dhahiri au kuthibitika kuwa ni maficho ya mercenaries utaona kivumbi chake. Kule Ukraine wamefuta Orthodox churches.
Orthodox ni kanisa la Urusi baada ya vila ndo hayo yametokea, Narudoa tena serikali haiwezi kuiguta RC, sababu ziko wazi RC ni kubwa kuliko Ccm na majamaa yameenda shule sio mafala, kuna majadusi huko RC wako na intelligence kuliko TISS
 
Hayo mashirika ya dini unayosema yanafanya biashara kama wafanyabiashara wengine, wamekuwa wakisamehewa kodi kwa miaka mingi na kuruhusiwa kukusanya kodi (sadaka na michango) nyingi sana kutoka kwa raia. Bila shaka unazijua idadi na aina ya sadaka na michango wanayokusanya hawa mabwana. Je, unajua ukubwa wa ardhi ya tanzania ambayo iko chini ya kanisa? Hebu nyamaza kama hujui.
Umenipa uelewa wa ziada kwenye "Tax = Sadak/Zakh/charity/ u name it"
Kuna watu wanajiita waroma lakini wakitaka kwenda Vatican lazima waombe kwa magoti viza permit tena ya muda tu hasa za kazi za ndani na hawaruhusiwi kumbusu papa, mara kibao wanabaguliwa na Popes.
 
Back
Top Bottom